Mabloo Twitter kuna madem wakali

Mabloo Twitter kuna madem wakali

Kule kuna na vitu watu hawaelewi yaani.
Watu wako kule for purpose..

Sasa wewe nenda kule kijinga kijinga tuu [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pasono hiyo vipi jamani!! Hutaki kuwainua wapwa wajasiriamali eeeh
 
Mabloo wote wa jf

Huu ni uchunguz mdogo nilioufanya kule Twitter

1. Madem wanaotumia Twitter wengi ni wenye elim ya kueleweka

2. Madem wazur wengi wapo Twitter

3. Madem wakishua wengi wako Twitter

4. Madem wajanja na walioruka ruka ng'ambo wako twitter

5. Madem wengi hawafanyi kazi serikalini wengi wao ni kwenye ngo's na taasis za kimataifa

6. Madem wa Twitter wanafuatilia sana ligi za ulaya na mpira kwa ujumla

7. Madem wa Twitter wachache sana ambao ni single mother

8. Madem wa Twitter sio wa kuwapeleka Lodge za 15000

9. Madem waliopo Twitter wengi wanafanya kazi za ofisin wameajiriwa sio zile za kuuza maduka au kuuza shughuli za ujasiriamali

10. Kama uwezo wako ni mdogo Twitter hutaiweza kuitumia

11. Kudate na mdada ambaye ni meneja tawi flani ofisi flan ni kawaida

12. Wanatumia iPhone na Samsung


Mabloo msikurupuke mkija Twitter



Save a brother
sana kama yule demu anaitwa shangazi ni balaa
 
Back
Top Bottom