Hahaha Ushimen siku kuu kama hizi wamama tunajitoa... sawa mnatupatia pesa. Sisi tunazunguka kununua mahitaji yenu na watoto, tuna watafutia mahitaji na wazazi wenu kama wapo, tunafanya yote yanayotakiwa kuanzia kuwafikisha ibadani watoto, tuandaa vyakula na sasa tumewaacha wanandugu wababa mnaongea mambo ya familia hapa tunawahudumia vinywaji..... mkishakunywa tunahakikisha usalama wenu na watoto, tunahakikisha mmelala..... hapo tunaanza kusafisha nyumba huku tukiandaa kitu mtakachokunywa kesho asubuhi kuondoa hangover... na tunafurahia haya yote



Wamama Hoyeeèe