Mabinti ambao hamjaingia kwenye ndoa

Mabinti ambao hamjaingia kwenye ndoa

Aliniambia mzee mmoja yeye akiwa hana pesa ya kuhudumia familia hapatagi hata hizo nguvu za kitandani. Akaongeza unapata wapi mzuka wakati anayekupa raha huwezi kumtunza?
Wakati sina pesa nilikuwa najtuma sana ktandan maana skuwa na cha zaidi cha kumpa mwanamke,Kuna wanawake walikuwa wanantunza majumban mwao natumika kama sex mashine,ila nilikuwa siuliz hela ya chakula inatoka wapi
 
Wakati sina pesa nilikuwa najtuma sana ktandan maana skuwa na cha zaidi cha kumpa mwanamke,Kuna wanawake walikuwa wanantunza majumban mwao natumika kama sex mashine,ila nilikuwa siuliz hela ya chakula inatoka wapi
Huu ndio moja kati ya ulemavu niliokua nauzungumzia hapo mwanzo.....😂😂😂
 
Sio lazima usome wala ujifunze mkuu....
Pengine mwaka wa saba ukiwa kwenye ndoa lakini haujui hata ni ipi nafasi/wajibu wako kama mume ndani ya ndoa...
Na napenda sana kuwashauri watu kwamba, Kama hauna furaha ndani ya ndoa yako kwanini unaendelea kuishi kwenye mateso..?? Then unja ndoa hiyo, kisha utapata wa kukufaa
Nani kakwambia hana furaha!!?? Napingana huo upuuzi wenu mnaowajaza vijana cause nayaishi maisha ya ndoa na najua nini mwanamke anahitaji kwa mwanaume na nini mume anahitaji kwa mkewe.
 
Kumbe Senior kabisa..

Miaka saba chamani,

Nilisema siku ya harusi kabisa kama nisingekuta bikra harusi hii isingefungishwa hapa kanisani, na huyu mchumba wangu asingevaa shela jeupe.

Kuvaa shela jeupe wakati huna bikra ni sawa na kufunika uchafu na kitambaa cheupe
 
Ukiona unapewa huduma nzuri ujue kabisa huyo binti akiwa na wewe anakua hana stress kabisaaa. Utakua na wewe uko vizuri kwenye kumhudumia hahahaa. Yaani umemkamilisha
Halafu asela utoto tulia upate huduma ndogondogo na kubwa kubwa 😂😂😂😂😂
Inawezakana , nahisi kama nimekuwa faraja kwake. Ila wakati mwingine ka roho hakajozea kuitwa baby , mala love yaani ..mala ile kufatana . Nilipanga nimpige tukio ila kila nikitamza namna alivyo jitoa nasikia roho yangu inananiambia unajitafutia laana kijana... kwa kuumuza mtu alie kupa moyo wake asilimia zote
 
Miaka saba chamani,

Nilisema siku ya harusi kabisa kama nisingekuta bikra harusi hii isingefungishwa hapa kanisani, na huyu mchumba wangu asingevaa shela jeupe.

Kuvaa shela jeupe wakati huna bikra ni sawa na kufunika uchafu na kitambaa cheupe
Mshukuru Mungu, maana bila shaka wewe haukuwa bikra.. haukupaswa kabisa kuvaa suti. Ulitakiwa kuvaa bukita.. ila sema mfumo dume ulikuokoa tu
 
Sisi huwa tuna waambia vijana ukitaka mke waulize wale wanaume wanao mzunguka huyo mwanamke na kwa mabinti wakitaka waume, basi wawaangalie wanaume wanao mzunguka mtu huyo.Kawaida kila jambo hurudishwa kwa watu wake.

Leo hii shida huanzia katika kutafuta mwenza na vile vipaumbele. Nakomea hapa, bila shaka nimeeleweka.

Vijana wakitaka mke waulize wanaume wanaonzunguka, mabinti wakitaka mme pia waangalie wanaume wanaomzunguka... inaonekana wanaume tu ndo wajuvi wa yote!
 
Katafute pesa/kazi ya uhakika ili uwe na ndoa nzuri
Pesa kiasi gani inayotakiwa ili uwe na ndoa nzuri?

Jeff bozzes ni bilionea namba moja lakini pesa zake hazikuweza kumsaidia kuinusuru ndoa yake iwe nzuri....so what's your recommendation here?
 
Wanawake wote wameumbika hivyo.
Na asije akakudanganya mtu, utii sio utumwa.....
Hivi ni vijimaneno tu vya vijana wasio penda kuwajibika na mwisho wamebaki kulaumu jamii, wazazi na hata wachumba wanapo waacha kwasababu hakuna mwanamke ambae anapenda kuishi pasipo kujua hatma ya her own future..

Wanawake wanatakiwa kuwatii Wanaume na Wanaume wanatakiwa kuwapenda wake zao

Mwanamke Kumtii mume ni pamoja na kujiheshimu na kumheshimu, kutokufanya chochote hata kiwe chema kiasi gani bila ridhaa yake, kumtunza yeye na mali zake zote ikiwa ni pamoja na mji wenu, watoto wenu na mengine mengi....

Mwanaume Kumpenda mke ni kumchukua kwa wazazi wake, kumhudumia, kumlinda na kumhakikishia usalama wa maisha yake, yako, mali na watoto wenu.....

Huwezi kufanya hivyo ndoa itakua ngumu tuu sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom