Times have changed, and never will they change back. Ndiyo maana mume akaambiwa aishi na mkewe kwa akili. It does not mean yeye ana akili kuliko, au awe na akili kuliko mwanamke, bali atumie akili zaidi kuliko hisia na mihemko. Mwanaume akitumia akili yake vizuri, lazima ndoa yake iwe stable na idumu, hata kama alibahatisha kumkwaa mwanamke pasuakichwa, eikeiei kivuruge.Utandawazi unatupeleka kasi lakini tujue tuu kuna vitu havitabadilika..... Kwa asili na kwa imani zetu mwanamke ndio mwangalizi wa nyumba na mwanaume ndio mpangaji na mtafutaji mkuu.
Mwanamke akipata mume ana kila kitu atapumzika ila mwanaume ukipata mke mwenye kila kitu usilale, tumia nafasi hiyo kufanya mambo yakayokuwezesha kusimama kama baba na ukaweza kuisimamia familia. Diamond angekua mzembe hajishughulishi Leo hii zari angekua hata hamuongelei. Wanawake akili zetu anazijua aliyetuumba tuu hahahaaa
So issue siyo umakini ila ni pesa!!??? Nilijua tu utaingia 18. Mwanamke hana anachohitaji kwa mwanaume zaidi ya pesa over.Sasa kama huna pesa endelea kuzitafuta. Mwanaume ndio kichwa kiongozi na mlinzi wa familia yake.
Kuwa mume ni jukumu kubwa sana, muombe pia Mungu akupe mke atayekusaidia kwa maombi na kukusaidia kupata amani ya moyo
Aliniambia mzee mmoja yeye akiwa hana pesa ya kuhudumia familia hapatagi hata hizo nguvu za kitandani. Akaongeza unapata wapi mzuka wakati anayekupa raha huwezi kumtunza?Ni kwel mkuu,mwanaume ambae hana pesa huwa na mapenz ya kwel na humhudumia mke wake ipasavyo ktandan kwa kumpga shipa la kimkakati.....najsemea Mimi wakati sina hela
Ukweli mchungu huu. Nguvu za mwanaume ziko kwenye uchumi.Aliniambia mzee mmoja yeye akiwa hana pesa ya kuhudumia familia hapatagi hata hizo nguvu za kitandani. Akaongeza unapata wapi mzuka wakati anayekupa raha huwezi kumtunza?
Samahani mkuu....Ndoa ni utumwa kama utumwa mwingine tu, sema ndoa ni utumwa wa hiari!
Samahani mkuu....
Ivi una wazazi..??
Zamani za kale mababu zetu waliokua na utajiri wa mifugo na mashamba ndio walioweza kuishi na wanawake muda mrefu na wanawake waliowaanda. Tafuta mali/pesa uweze kutunza familia yako uone kama kutakua na shidaSo issue siyo umakini ila ni pesa!!??? Nilijua tu utaingia 18. Mwanamke hana anachohitaji kwa mwanaume zaidi ya pesa over.
Mkuu, hakuna mahusiano kati ya pesa na ndoa nzuri. Lakini niwajibu wa kila mwanaume kufanya kazi/kutafuta pesa, hata kama hana ndoa.Katafute pesa/kazi ya uhakika ili uwe na ndoa nzuri
Aliniambia mzee mmoja yeye akiwa hana pesa ya kuhudumia familia hapatagi hata hizo nguvu za kitandani. Akaongeza unapata wapi mzuka wakati anayekupa raha huwezi kumtunza?
Ili nijue kama ulilelewa kwenye ndoa ama na mzazi mmoja..??Wazazi wanaingiaje hapo Mzee!
Asanteeeee🥂Times have changed, and never will they change back. Ndiyo maana mume akaambiwa aishi na mkewe kwa akili. It does not mean yeye ana akili kuliko, au awe na akili kuliko mwanamke, bali atumie akili zaidi kuliko hisia na mihemko. Mwanaume akitumia akili yake vizuri, lazima ndoa yake iwe stable na idumu, hata kama alibahatisha kumkwaa mwanamke pasuakichwa, eikeiei kivuruge.
Huyo mzee alishindwa tu kukuelewesha.Aliniambia mzee mmoja yeye akiwa hana pesa ya kuhudumia familia hapatagi hata hizo nguvu za kitandani. Akaongeza unapata wapi mzuka wakati anayekupa raha huwezi kumtunza?
Samahani mkuu....Hivi kwani 'raha' huwa ni ya kupewa?
Hiyo ni stress😂😂😂😂Ni kwel mkuu,mwanaume ambae hana pesa huwa na mapenz ya kwel na humhudumia mke wake ipasavyo ktandan kwa kumpga shipa la kimkakati.....najsemea Mimi wakati sina hela
Kuna time hua napata shida sana pale ninapo soma hoja za kuhusu ndoa kutoka kwa mtu ambae hajaingia hata kwenye ndoa.So issue siyo umakini ila ni pesa!!??? Nilijua tu utaingia 18. Mwanamke hana anachohitaji kwa mwanaume zaidi ya pesa over.
Ili nijue kama ulilelewa kwenye ndoa ama na mzazi mmoja..??
Pengine ulipata shida ya malezi, then ukawa affect kwa kujazwa maneno na mzazi mmoja hadi ukaichukia ndoa...
Samahani mkuu....
Ivi, upo kwenye ndoa..??