Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,515
- 112,126
Kuna siku niliwai kumwambia paroko flani kwamba..... Hana uwezo wa kufundisha/kujadili/kuzungumzia ndoa kwasababu hajui nini kilichopo ndani ya ndoa kwakua hajawai kuishi na mke...😂😂Bado haina uhusiano, kuzaa/kuzaliwa na kuoa ni vitu tofauti kabisa.