Mabilionea wa Mwanza respect and silence

Mabilionea wa Mwanza respect and silence

Muulizen gachuma alihojiwa na radio free akadai mwanza kunawatu wanamiliki pesa nying benk kuliko yeye.yeye in jina tu
 
Arusha ndio Tanzania wewe sio kwamba wanajitangaza mkuu, Arusha na moshi watu wanasaka hela, unafikiri kwa nini serikali inaogopa kuendesha nchi kwa majimbo? Kaskazini ndio ingekuwa makao makuu ya kipato kwa nchi hii., na kuhakikishia mwanamke mmoja wa kaskazini ni wanawake 100 wa pwani katika uwezo wa kukuza uchumi wa familia.
Kwenye kuchangia pato la taifa arusha ipo chini ya shinyanga na iringa, au utajir wenu ni zile kelele za subaru second hand mkuu?
 
Kwenye kuchangia pato la taifa arusha ipo chini ya shinyanga na iringa, au utajir wenu ni zile kelele za subaru second hand mkuu?
Tunachangia maendeleo ya mikoa yetu na familia zetu, umeona Arusha na Kilimanjaro wakipewa chakula cha msaada? Shin yanga wameachia migodi yao wawekezaji ambao ndio wanaochangia pato la taifa, wananchi wake hali zao unazionaje? Jaribu kufikiri nje ya box, z
 
Mkuu mbona msaada huwa inapelekwa arumeru,tarakea,mwanga au hao mnawatenga? By the way arusha na moshi ni mikoa ya mbwembwe na wala sio utajiri
 
Mkuu mbona msaada huwa inapelekwa arumeru,tarakea,mwanga au hao mnawatenga? By the way arusha na moshi ni mikoa ya mbwembwe na wala sio utajiri
Sikulazimishi ila ndivyo ilivyo hutaki acha.
 
Mkuu Jamaa Anazo Nyingi Asilimia Kubwa Ya Meli Unazoziona Ziwa Victoria Ni Za Chacha Gitano Anazo Za Abiria Na Mizigo ... Halafu Unaonekana Una Ubishi Wa Asili Hebu Tuambie Huo Ukweli Kuhusu NG'OLO SAFARIS
Naomba nikuulize swali moja
Unamjua mmilik Wa Lenny hotel geita???
 
Back
Top Bottom