Mabere Marando awania Uspika kupitia CHADEMA

Mabere Marando awania Uspika kupitia CHADEMA

Mpumbavu ni wewe unayeendekeza UDINI ambao hata mwalimu nyerere aliupiga vita. Nenda msikitini **** mkubwa! Nyooo!!! Ondoka kwenye hii forum unatia shombo!!!

Mkuu punguza maneno makali mweee! You can get your point across without strong language. By the way why all of a sudden everything has become "udini" now?
 
Mkuu punguza maneno makali mweee! You can get your point across without strong language. By the way why all of a sudden everything has become "udini" now?

Asante sana Mwanafalsafa1. Tatizo ni baadhi hakuna hoja waliyonayo zaidi ya kuongea pumbu humu jf. by the way, you are well understood!!!
 
Asante sana Mwanafalsafa1. Tatizo ni baadhi hakuna hoja waliyonayo zaidi ya kuongea pumbu humu jf. by the way, you are well understood!!!

Sorry, kwenye nyekundu nilikuwa namaanisha Pumba.
 
Asante sana Mwanafalsafa1. Tatizo ni baadhi hakuna hoja waliyonayo zaidi ya kuongea pumbu humu jf. by the way, you are well understood!!!

We achana now mkuu. Unajua chizi alieuchu akikuibia nguo ukaanza kumfukuza na wewe ukiwa uchi watazamaji hawata ona tofauti. Just take it easy. Pole pole wataelewa somo.
 
sitaki kuamini ikwete na kampeni zoote, majivuno leo hii anafyata kwa naslahi ya lowasa,rostam na chenge, this is awkward and tremendous. kama kweli Mungu yupo JK hii awamu yako imeanza na failure kubwa sana na hutofika mbali kwa hali hii, nchi itakushinda. sio dua la kuku i mean it , and it wilkl happen, soma alama za nyakati hii sio 70's- 90's mkulu, watch out hao kina mama ni bogus, makinda ana ties na kina lowasa na rostam ila wewe upo kimya, one day u will quote these senteses and it will b woe and cry to you
 
Ushabiki ni kitu hatari sana. Watu wanaacha kutumia akili zao walizopewa na Allah kwa sababu ya ushabiki. Mabere Marando of all the people mnataka awe speaker. Dude's client is Jitu Patel for effin sake. He destroyed NCCR Mageuzi. He has no spine, whose political affiliations changes with the current upepo wa siasa.

Also, unafiki wenu utawasuta. CCM used kura za maoni kuchukua wagombea wa ubunge, you guys went behind closed doors. CCM used central committee kuchuja maspika, nyie mmetuletea jina tu la Mabere Marando hata hatujui kapitaje. CCM is more democratic than chama chenu cha kizushi. Ila kwa ushabiki wenu mmekuwa vipofu wa kujadili and you just hate, hate, and hate.

You used to hate on CUF, and now you want their votes. wtf? mmeshatuona sie waTanzania wapumbavu eeh?
Sele,

Kwanza hongera kwa kushinda kwa CCM

Pili, i must say two wrongs wont make it right... CCM WAMECHEMSHA NA CHADEMA WAMECHEMSHA KWENYE HILI LA USPIKA
 
We achana now mkuu. Unajua chizi alieuchu akikuibia nguo ukaanza kumfukuza na wewe ukiwa uchi watazamaji hawata ona tofauti. Just take it easy. Pole pole wataelewa somo.

Anyway, tukirudi kwenye point ya msingi ni kweli kuwa CHADEMA wanahitaji kura zote za wapinzani bungeni, lakini hata hivyo ninaimani kuwa kama mambo yataenda sawa, hata CCM asilimia zakutosha zinaweza kumpigia kura Marando kutokana kitendo walichofanyiwa na CC. Wakati wa kutangaza uchukuaji wa fomu za kugombea uspika, hawakuainisha jinsia inayotakiwa, matokeo yake baada yakuona Sitta anacontest na wameona anakubalika kwa wengi, wakaona bora waingize jinsia.

Wakati wa madiliko unanukia, 5 years is not so far that way!
 
Mkuu punguza maneno makali mweee! You can get your point across without strong language. By the way why all of a sudden everything has become "udini" now?
Mwanafalsafa... tumechakachua JF wenyewe kwa kuwa very aggresive when addressing our views

mpe wiki mbili atatulia, mie nshapoa
 
Mwanafalsafa... tumechakachua JF wenyewe kwa kuwa very aggresive when addressing our views

mpe wiki mbili atatulia, mie nshapoa

Asante Acid, wakati mwingine hasira inatokea ghafla pale unapoona mtu anaongea ujinga wakati ukweli anaujua, na ukizingatia humu JF kuna changamoto nyingi zinazoielimisha jamii kujua hali ya mambo. Na hasira inapotokea mtu anashindwa kujicontrol, japokuwa maneno makali wakati mwingine yanatoa lesson to awkwards!
 
Anyway, tukirudi kwenye point ya msingi ni kweli kuwa CHADEMA wanahitaji kura zote za wapinzani bungeni, lakini hata hivyo ninaimani kuwa kama mambo yataenda sawa, hata CCM asilimia zakutosha zinaweza kumpigia kura Marando kutokana kitendo walichofanyiwa na CC. Wakati wa kutangaza uchukuaji wa fomu za kugombea uspika, hawakuainisha jinsia inayotakiwa, matokeo yake baada yakuona Sitta anacontest na wameona anakubalika kwa wengi, wakaona bora waingize jinsia.

Wakati wa madiliko unanukia, 5 years is not so far that way!

Basi Chadema inabidi ianze kulobby wabunge wengi iwezekanavyo. Wawafuate wapinzani wenzao wawaombe kuwa. Wawafuate wanaccm ambao kwa namna moja ama nyingine wamekereka na aidha matokeo ya uchaguzi au NEC. Huu ndio muda wao. Wabunge wote wa Chadema kuanzia muda huu waweke goal ya kuongea na mbunge angalau mmoja asie wachadema na ajaribu kumconvince kupiga kura Marando.
 
Mwanafalsafa... tumechakachua JF wenyewe kwa kuwa very aggresive when addressing our views

mpe wiki mbili atatulia, mie nshapoa

JF is a very emotional place mkuu. Sometime mizuka lazima ipande ha ha. Ila kuna members navalue sana michango yao kwa hiyo nikiona wanapo elekea ni kula ban lazima niwashtue kidogo.
 
Baada ya CC ya CCM kujitwanga risasi ya begani kufuatia uteuzi wa wanawake wanaofahamika kwa udhaifu wa kutopambana na ufisadi...........nyota ya gwiji wa kupambana na ufisadi Mheshimiwa Mabere Marando yaelekea kuwa na mvuto mkali kwenye kinyang'anyiro hicho.............

Ikumbukwe Marando aliwahi kuwa Mbunge wa Afrika Mashariki na wabunge wa CCM walimwona ndiye anayefaa kuiwakilisha kambi ya upinzani...........

Wabunge karibu wote wa upinzani watamchagua Marando na wabunge vijana wa CCM wanatarajiwa kufanya hivyo kwa nia ya kutuma ujumbe mzito kwa wapigakura bunge hili halitaki utani na ufisadi kama CC ilivyojidhalilisha............

Mheshimiwa Anna Makinda pamoja na kuwa alikuwa Naibu Spika lakini anafahamika kwa kuvunja mijadala mizito ndani ya bunge hilo..................kwa visingizio vya kanuni za bunge au maswali kutoka nje ya sera husika................wabunge wengi hawampendi kwa sababu ya kuliendesha bunge hilo kwa ridhaa yake binafsi au kuwafurahisha wanamtandao..................Ikumbukwe mwaka 1995 alikuwa Mwenyekitebe wa Kampeni za JK na jina lake lilikuwa linatajwa kuwa angelikuwa PM....................yawezekana hizi sasa ni wakati wa kulipwa fadhila ............

Anna Abdallah ni mkongwe wa siasa lakini wengi wanamwona hana upeo wa kuhimili matarajio ya wapigakura wa Karne hii ya 21..........Hivyo hauziki hata kidogo........

Kate Kamba ni msomi mzuri lakini katika Ukatibu Mkuu wake wa UWT hajawahi kupambana na ufisadi au hata kuukemea na hivyo si jemedari wa kutumainiwa..........................

Kama nia ilikuwa ni wanawake mbona mpambanaji mzuri wa ufisadi Mheshimiwa Anne Kilango mbona kaachwa?

Sababu nzito ya wabunge wa CCM kuyakataa mapendekezo ya CC ni kupinga udikteta wa wazi wa kugeuzwa mhuri kwa wabunge wa CCM.................ungelitegemea CC ya Karne ya 21 kuwaachia wabunge wenyewe wajichagulie wampendaye lakini hizi mbeleko za hao akina mama zina lenga kudhoofisha vita dhidi ya ufisadi na huu ni uthibitisho mwingine JK ni kinara wa ufisadi hapa nchini na kamwe tusimtegemee kuutokomeza................

hukuona mkuu kazi ya vijisenti ilikuwa kumng'oa Sitta bila kuonekana kuwa katemwa!
 
CCM bwana wamemtosa Sitaaaaaaaaaaaaa
Am sure wanaweza mpitisha Makinda ambae to me ni sawa na kutokuwa na speaker bse wapinzani hawataongea na bunge litarudi enzi za pius msekwa.
Nishawai hudhuria mikutano yake ana ubabe fulani na kukumbatia chama ndo sera yake
\

NJOWEPO, nkunaliana na wewe huyu mama dikteta sana, hafai hafai katika bunge kama hili......... narudia kusema tena.. makinda hafai..
 
Acheni kujidanganya.

Kwanza majina hayo matatu yakitoka hapo yanakwenda katika caucas ya CCM ambapo watachangua mtu mmoja tu na ni wazi atakuwa Anna Makinda. Ukweli ni kuwa kati ya wote hao ni Anna Makinda tu mwenye uwezo, ukomavu na uhusiano mzuri na wabunge walio wengi kiasi cha kumuwezesha kushinda katika party caucus na pia bungeni

Pili, baada ya kuwatukana, kuwakejeli na kuwakashifu CUF kwa miezi yote hii na sasa mnalazimisha bingwa wa utengano katika upinzani Mbowe kuwa kiongozi wa upinzani bado mnajidanganya kuwa CUF hao hao ndio watakaowabebea mgombea wa wenu..Marando?

Acheni siasa za kujidanganya...

Omarilyas sidhani kwamba ni CUF ndiyo inayoombwa bali ni wabunge wote wale wenye uzalendo na wanaotanguliza maslahi ya taifa mbele ya chama. Nina hakika kwamba ukiwaacha viongozi wachache wa CUF waliotanguliza maslahi na wako tayari kushirikiana hata na shetani kulinda maslahi hayo, wapo ambao wana mtizamo tofauti. Na sidhani kama wote ndani ya CCM watampa kura mgombea huyo Ana Makinda na hivyo hivyo kwa CUF na vyama vingine kama NCCR. Janja ya CCM ni kuwa huenda wakatumia njia za hila katika zoezi hilo kama vitisho na kura za wazi kwa nia ya kufanikisha sera yao ya uchakachuaji wa kura.

Achana na chuki zako dhidi ya Chadema.
 
Sele,

Kwanza hongera kwa kushinda kwa CCM

Pili, i must say two wrongs wont make it right... CCM WAMECHEMSHA NA CHADEMA WAMECHEMSHA KWENYE HILI LA USPIKA

Acid kaka, shukrani. Mapambano yanazidi kuendelea, for us who think change must come from within, na wapiganaji wa upinzani. I think we all love our country, ila tunachukua njia mbili tofauti. CCM played it right, kuwapiga chini Chenge na Sitta, and setting up Anna Abdallah to be the next speaker. Ila Chadema kumpitisha Marando bila sisi kujua kapitaje ni kutuchezea, also this is the same guy who anawatetea watu wa EPA, na aliyeiua NCCR. Inakuwaje wana mapinduzi kama Chadema wampe free pass?
 
Selemani unaposema Marando katetea watu wa EPA una maana gani ? Sote twajua kuwa waliopanga EPA, Kikwete akiwa kinara wao na akilindwa na Mkapa, hakuna hata moja aliyeshtakiwa. Labda unataka kutuambia kuwa EPA iliidhinishwa na Jeetu Patel. Mbona nyie wezi mnatugeuza Watanzania kama vile hatuna akili ? Je, unajua ni sababu gani haya majizi yanang'ang'ania madaraka ? Je, unajua kwa nini haya majizi hayataki Sitta awe Spika ? Je unajua kwa nini imebidi Uchaguzi Mkuu ukachakachuliwe ? Selamani or whoever you are, kadanganyeni huko huko, msituletee utumbo hapa JF - eti Marando anatetea EPA. Unakumbuka list of shame ya Mwembeyanga ? Nani katika hiyo orodha ya Mafisadi Marando anamtetea ? Wewe, watu wanautafuta Uraisi hadi karibu wafie majukwaani, wewe hata hugutuki. Acheni upuuzi wenu, haya mambo yana mwisho na siku ipo tu - all you are doing is postponing your agony, but for how long ?
 
Hii mechi ilishachezwa siku nyingi na kamati ya Mzee Mwinyi - piga ua Anna Makinda ndiye Spika! Zengwe lilishaandaliwa kwa "Six" kutokana na "kutokushikamana" na chama chake. Mzee wa vijisenti alikuwa anacheza sinema kwa maagizo ya 'wabaya' wa "Six" inashangaza "Six" hakung'amua hilo dili. Labda alishajua lakini hakuwa na cha kufanya hasa ukizingatia aliponea chupuchupu 'kuvuliwa uanachama'. Kwa hiyo hii danganya toto kuwa wameona kina mama nao waongoze mhimili wa dola - ni changa la macho. "Six" wameamua kumkomalia ajue kuwa mafisadi wana nguvu sana. "Six" hana jinsi isipokuwa kupiga magoti na kunyenyekea vinginevyo huu utakuwa ubunge wake wa mwisho!
 
Habari hii imenukuliwa na TBC sasa hivi kuwa ni kwa mujibu wa naibu katibu mkuu Mh. Zitto Kabwe

Hivi Chadema hawakuwa na Mtu mwingine makini zaid ya Huyu Marando? kwanini wasimpe huyo mwanasheria Lissu au Yule Profesa Baregu? kama shida ni mwanasheria? Huyu Marando ...wengi wa wapinzani wanashaka nae...ni kama vile kelele za watu wanaopiga dhidi ya CCM na hawasikilizwi...the same kelele zinazopigwa kwa Uongozi wa Chadema hazisikilizwi...?

Nafikiri na nyinyi mnaanza kulipa Fadhila mapema kwa debe alilopiga....!!! au mmeona atashindwa ili mumtoe kimasomaso?..ok Let us see..kile kinachopingwa dhidi ya CCM ndicho kinachotokea ktk Vyama vya Upinzani..
 
Back
Top Bottom