Mabere Marando awania Uspika kupitia CHADEMA

Mabere Marando awania Uspika kupitia CHADEMA

Ushabiki ni kitu hatari sana. Watu wanaacha kutumia akili zao walizopewa na Allah kwa sababu ya ushabiki. Mabere Marando of all the people mnataka awe speaker. Dude's client is Jitu Patel for effin sake. He destroyed NCCR Mageuzi. He has no spine, whose political affiliations changes with the current upepo wa siasa.

Also, unafiki wenu utawasuta. CCM used kura za maoni kuchukua wagombea wa ubunge, you guys went behind closed doors. CCM used central committee kuchuja maspika, nyie mmetuletea jina tu la Mabere Marando hata hatujui kapitaje. CCM is more democratic than chama chenu cha kizushi. Ila kwa ushabiki wenu mmekuwa vipofu wa kujadili and you just hate, hate, and hate.

You used to hate on CUF, and now you want their votes. wtf? mmeshatuona sie waTanzania wapumbavu eeh?

Mkuu Sele, kwa akili za kawaida tu ni rahisi mtu kuona ulivyozama kwenye chuki na ni wazi chuki hii ni ya kidini. Yanapokuja masuala ya kitaifa ni vizuri ukayaapproach kwa hoja kuliko kuweka ubongo pembeni na kutangaza chuki. Unahitaji kujifunza misingi ya saikolojia na sosholojia, vinginevyo utakufa na chuki na peponi hutoenda. Ukiweza kujifunza jifunze. Tazama approach ya mwenzako Ustaadh hapo juu, safi sana.
 
Mkuu Sele, kwa akili za kawaida tu ni rahisi mtu kuona ulivyozama kwenye chuki na ni wazi chuki hii ni ya kidini. Yanapokuja masuala ya kitaifa ni vizuri ukayaapproach kwa hoja kuliko kuweka ubongo pembeni na kutangaza chuki. Unahitaji kujifunza misingi ya saikolojia na sosholojia, vinginevyo utakufa na chuki na peponi hutoenda. Ukiweza kujifunza jifunze. Tazama approach ya mwenzako Ustaadh hapo juu, safi sana.
Sasa udini uko wapi? Niambie wewe udini wangu uko wapi? I love Issa Bin Maryam just like everybody else.

I tell the way it is, Chadema wanafki. Mnaongelea utawala bora and only CCM gets to actually do it.

Niambie wewe, how did Mabere Marando nominated as Chadema candidate for speaker? au wenye chama chao wamekaa huko Kilimanjaro wakaamua kwamba Marando (the most obsocure politician in this country) achaguliwe?

And you make noise when CC that represents makada wa CCM, choose their candidate. kama sio unafki huo ni nini?
 
Shukurani na endeleeni kujidanganya na siasa zenu za ndoto.......
Hivi wewe umelogwa au ni shule inakutatiza?unashindawa kuona mustakbali wa taifa una baki unashabikia upumbavu!
Ningekua karibu na wewe ningekuchapa kibao uamke usingizini uliko lala fofoo!aghrr unatia hasira we mtu!sijui huelewi Nchi inakokwenda au ni ubishi tu!
Mrandao akisimama atakua mwiba mbaya sana kwa mafisadi, mliokua mnamtaka chenge ndo huyo chali!ole wenu mafisadi mwaka huu
 
Baada ya CCM kuvurunda kwenye uchaguzi na kuamua kuchakachua, sasa naona wanataka kulichakachua na bunge letu kwa kutuwekea mwongoza mijadala ambaye ni kilaza!
 
wange kuwa wanataka akina mama wangesema mapema wanaweake wa shoka waingie humo kama Anna Kajumulo Tibaijuka
 
wameona wana gombea mazumbukuku wao ndio wana kuja tuna taka akina mama, kweli utawala huu unatuachia historia ya aina yake.
 
Jamani mbona mnamtaja Marando tu, vipi Hamad Rashid wa CUF? Nimesoma Mwanahalisi jana limeandika wote wawili hawa ni candidates wa upinzani ila kuna mazungumzo ya kumsimamisha mmoja.
Have CHADEMA and CUF reached a compromise on that yet?
 
Jamani mbona mnamtaja Marando tu, vipi Hamad Rashid wa CUF? Nimesoma Mwanahalisi jana limeandika wote wawili hawa ni candidates wa upinzani ila kuna mazungumzo ya kumsimamisha mmoja.
Have CHADEMA and CUF reached a compromise on that yet?

nadhani tayari, kuna gazeti leo limeandika, wapinzan wamsimamisha mabere marando
 
Marando ni bora kuliko yeyote kati ya hao waliopitishwa thithiem yao na zaid sana ni mwanamageuzi wa muda mrefu na alishakichoka chama cha mchuruko muda mrefu na hata kama hajakuwa mtulivu ataogopa sauti ya wapinzani na pia nina matumaini makubwa kwa kura za siri ambapo kuna vichwa safi ndani ya wabunge wa ccm. Ambao wameshaona kuwa chama kimepoteza mwelekeo hivyo wao hatapoteza uzalendo wao madhubuti kwa taifa hili lenye miaka 49 huku bado likiwa linaitwa changa na hawata ipigia kura hiyo picha iliyowekwa na ccm.ili kuwadhiti wapinzani na na kutengenezea njia mafisadi na majambazi wa nchi hii
 
hii ni gap lkn hata hivyo kama wakipiga kura za usiri basi kuna uwezekano mkubwa wa baadhi ya wabunge wa ccm kumpigia marando.lkn kma itakua ni kura za wazi basi nidhamu ya uoga wa chama itachukua mkondo wake.spika anaekuja kma ni kutoka ccm kuna uwezekano mkubwa akawa anakua controlled remotely ili kuepusha kile kilichotokea kwa kina lowassa
 
Uchakachuaji hadi Bungeni? Watachakachuaje? Ina maana wagombea hawana wawakilishi, yaani mawakala au wao wenyewe kusimamia kura zao haiwezekani?
 
Acheni kujidanganya.

Kwanza majina hayo matatu yakitoka hapo yanakwenda katika caucas ya CCM ambapo watachangua mtu mmoja tu na ni wazi atakuwa Anna Makinda. Ukweli ni kuwa kati ya wote hao ni Anna Makinda tu mwenye uwezo, ukomavu na uhusiano mzuri na wabunge walio wengi kiasi cha kumuwezesha kushinda katika party caucus na pia bungeni

Pili, baada ya kuwatukana, kuwakejeli na kuwakashifu CUF kwa miezi yote hii na sasa mnalazimisha bingwa wa utengano katika upinzani Mbowe kuwa kiongozi wa upinzani bado mnajidanganya kuwa CUF hao hao ndio watakaowabebea mgombea wa wenu..Marando?

Acheni siasa za kujidanganya...

Cjui ni lini hawa watu wenye siasa za kihafidhina za nchi za jangwani wataelimika na kuona siasa na utumishi wa wananchi na si uhasama wa kidini na ukanda. Utakuta kanda zao ndo zinapigwa umaskini wa kufa mtu lakini hawajifunzi. Wanajilipua mabomu na kuachwa wanaungua wenyewe huku wengine wakiendelea na maisha lakini hawajifunzi.
Amkeni ndugu zangu tunataka Spika mzuri, Spika wa upinzani atakuwa wa watanzania wote kwa faida yetu sote. Spika huyo atfaidisha tanzania wote wakiwepo CCM, CHADEMA, CUF na wote watanznia wasokuwa na vyama.
 
hii ni gap lkn hata hivyo kama wakipiga kura za usiri basi kuna uwezekano mkubwa wa baadhi ya wabunge wa ccm kumpigia marando.lkn kma itakua ni kura za wazi basi nidhamu ya uoga wa chama itachukua mkondo wake.spika anaekuja kma ni kutoka ccm kuna uwezekano mkubwa akawa anakua controlled remotely ili kuepusha kile kilichotokea kwa kina lowassapfddz
 
Asante Rutashubanyuma, nina swali dogo.....ni kwa nini CCM wanaruhusiwa kuchagua watu watatu kugombea na upinzani wanatoa mmoja tu?

Clarification kidogo itasaidia sana kuelewa hili suala kwani nilitegemea CCM wasimamishe mtu mmoja.

Hii itakuwa nzuri kama kila mmoja kati ya wagombea hao watatu akipata 1/3 ya kura za wana CCM (maana yake wakigawana kura)
Marando anaweza akaibuka kidedea kwa kura za Wabunge wa upinzani tu kama kura za wanasisi m zitakuwa zimegawanywa evenly! Mungu yuko upande wetu wazalendo wa nchi hii. usiwaogope Mafisadi.
 
Kitu ambacho ninajua kwa Uhakika: Hata Marando akishinda kura bado zitachakachuliwa ili Makinda ashinde.

Hongera Anna Makinda in advance Spika wa Kwanza Mwanamke.

Shida niliyonayo ni kuwa sijaona record yake yoyote ya utendaji inayonifanya nivutiwe naye.

Anna Abdalah, is just another Pius Msekwa. I hope Uspika si Ufalme. Nimemsikia toka naanza Primary School miaka ya nyuma sana. sijui mpaka leo anafanya nini kwenye siasa. Uroho wa Madaraka ndiyo huu, in an original terms.

sio kumsikia siku nyingi tu, ni mke wa mzee msekwa vile vile
 
Sasa udini uko wapi? Niambie wewe udini wangu uko wapi? I love Issa Bin Maryam just like everybody else.

I tell the way it is, Chadema wanafki. Mnaongelea utawala bora and only CCM gets to actually do it.

Niambie wewe, how did Mabere Marando nominated as Chadema candidate for speaker? au wenye chama chao wamekaa huko Kilimanjaro wakaamua kwamba Marando (the most obsocure politician in this country) achaguliwe?

And you make noise when CC that represents makada wa CCM, choose their candidate. kama sio unafki huo ni nini?
Sele you are old enough to understand but your are still expressing stupid views. Niambie kama Marando anatoka Kilimanjaro.
 
Marando - Mpambanaji! Give me a pause!

Marando hawezi tena kupata post ya "kuchaguliwa kwa kura"

Ni hayo tu kwa leo
 
Just curiosity and thinking out of the box, Sita atakuwa PM manake pinda msaada wake mdogo katika kuipeleka CCM mbele. Tofuti na Rutashubanyuma anavyotaka tufikiri hawajamaa ni smart na wanajua kucheza na akili za watu ambao sio great thinker.
Siku mbili hizi means a lot katika politike za bongo na CCM wanajua walipokosea.

Go extra one mile in thinking!! Hawa jamaa walitaka kumnyang'anya kadi yao ya CCM majuzi, leo wamemvua uspika for just a simple reason ya kuwaweka mademu kushika hiyo nafasi, TAKAKURU were used to clip his wings kwa kumbambikia mkewe Mr.Six kukamatwa na rushwa halafu leo waje wampe au hata kumfikiria u PM? Haiwezekani!!!!! Hiyo imetoka na muda si muda watamweka kwenye a forgoten list kama walivyomfanya Mzee Malecela, Hawa Ngulume,Butiku, Kolimba, Mangula na watu wengine waliokuwa na msimamo wa kuipenda nchi yao.

Ukitaka kujua hao sisi m ni watu wa namna gani kumbuka safari ya Makamba kwenda Urambo kuzungumza na Mama yake Mhe.Sita, kumbuka alivyojikosha na kumbuka maneno ya Kikwete alipokwenda kwenye kampeni pale. Usingetegemea haya yote kutokea!! Hawa walimzunguka zunguka wakiogopa kuwa angeweza kuhama chama baada ya kuanzishwa kwa CCJ, waliogopa kuwa angekuwa a great material kama yeye na wapiganaji wengine dhidi ya ufisadi wangehamia upinzani.

Sasa ili mradi wameisha rudi madarakani hawamhitaji tena na wako tayari kwa lolote hata akihama chama chao!!! lakini kwa kuwa watz wengi si jasiri, hawezi thubutu kuhamia CHADEMA! Kwa watu kukosa ujasili na kuendekeza njaa zao, ccm inakuwa inajidanganya kuwa chama kina nguvu kubwa.
 
Hawa mademu wote kutoka Chaka Chua Matokeo hawafai, Marando Spika mtarajiwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom