ndiyo alikuwepo!Kwani Anne kilango alikuwa kwenye kinyang'anyiro cha kugombea Uspika wa bunge?
kusema ukweli kwa wagomgea uspika ambao ni Mabere Nyaucho Marando na mtu mmoja wa ccm kati ya anna makinda, anna abdala msekwa na kate kamba. Marando ni mgombea pekee ambaye anakubalika kwenye umma wa watanzania na wapenda maendeleo na wapenda demokrasia ndani ya bunge.
Tatizo ni kwamba wabunge wa ccm watapiga kula kichama na si kwa kidemokrasia kuchagua wamtakae, wanaogopa kama wabunge wa ccm watagundulika kumpigia marando basi watakuwa na hali mbali. Hivyo votes will be on party line hasa ccm, then wapinzani watampigia marando lakini kura za cuf sina hakika kama zote zitanda kwa marando.
Kama kweli ccm itapata kiti cha uspika siku moja ngumi zinaweza rushwa bungeni maana spika atakuwa dikiteta wa hali ya juu kuwafurahisha mafisadi, ccm chama tawala na serikali yake.
Endeleeni kujidanganya....Hivi ni mbunge yupi wa CUF unayemjua? Hivi ni lini uliona kuna kiongozi ama mbunge wa CUF anaside tofauti na maamuzi ya Chama? Hivi unajua feelings za CUF dhidi ya Chadema katika masuala ya Ushirikiano na uhusiano wake na siasa na hisia za udini kama ilivyo kwa upande wa Chadema? Hivi chini ya uenyekiti wa Mbowe ambaye aliwahi kusema hadharani kuwa hawezi kushirikiana na CUf kwa kuwa ni chama cha udini kweli unategemea any collaboration kutoka kwa CUF? Na vipi propaganda za uchaguzi ambapo Chadema walishikilia kuwa CUF wanandoa ya kubaka demokrasia na CCM na hata kukebehi mafanikio ya CUF Zanzibar? Hivi unajua ni watu wangapi ndani ya CUF ambao walikuwa wazito serikalini na wanamjua vilivyo Mabere Marando ambao hawatakuwa tayari kuona akifanikiwa kupata nafasi hiyo?
Mazingira ya kushirikiana yanatakiwa yajengwe kabla lakini sio kutegemea sentiments na mahitaji ya muda mfupi......Kuheshimiana na kuthaminiana ni moja ya hatua muhimu ya kujenga mazingira hayo hata kama mnatofautiana lakini kama ambavyo wapambe, wafuasi na baadhi ya viongozi wa Chadema wanavyopenda kufanya.......siasa za chuki, fitina na kebehi sio siasa endelevu zinazohitajika kulikomboa taifa letu kwa maana halisi ya ukombozi (sio our turn to eat kind of Ukombozi ambao tunauona sasa)
Sichukii Chadema lakini nachukia mwenendo wao wa kukosa uthubutu wa kujisahihisha na kuharibu all the potentials walizonazo kuwa Chama Mbadala Makini mradi waweze kufanikisha matamanio ya muda mfupi kisiasa na maslahi ya Mbowe.......
Lakini pia humu ndani kuna watu wanapenda kuongozwa na emmotions zao bila hata kuthubutu kujua undani wa siasa za nchi yetu, na bahati mbaya wapo baadhi ya viongozi wa Chadema wanachukulia jukwaa hili kama uwanja wa ushauri kwao na kujikuta wanaingia mkenge kila wakati............
Piga picha ifuatayo ya safu ya hoja Nzitto kwa maslahi ya taifa:
1. Spika - Marando - (Muunda Kamati)
2. Tindu Lissu - Hoja binafsi ya Katiba
3. Mwakyembe - Mwenyekiti wa Tume Maalumu ya Kuunda Katiba Mpya
4. Zitto Kabwe - Mjumbe wa Kamati
5. Halima Mdee - Mjumbe wa Kamati na Katibu wa Kamati
6. Anne Kilango - Mjumbe wa Kamati
7. Freeman Mbowe - Mjumbe wa Kamati
8. Hamadi Rashidi - Makamu Mwenyekiti wa Kamati
.
.
.
Hebu nimalizieni kamati hii ya watu 10 itakayoleta Tanzania Mpya . . . . Mmmh! Au naota tu?
huyo ni nimrod mkono mbunge wenu aliyepita bila kupingwaWhat the hell, Hivi Mabere Marando si ndio wakili wa Valambhia ambaye pamoja na yule haramia wa Ireland waliingiza mkenge serikali katika manunuzi ya silaha miaka ya themanini na sasa wanapigania kulipwa zaidi ya bilioni hamsini kutoka katika hazina yetu na yeye Marando anawazuia wanafamilia wa Valambhia kusettle case for 3 Bilion ili yeye na wenzake wa BOT waendelee kula malipo ya uwakili?
This is too much............
Wewe ni pumbavu maana masuala yanayohusu Chadema yanakuhusu nini? wewe unadhani mambo yetu lazima yawe photo copy ya ccm?Sasa udini uko wapi? Niambie wewe udini wangu uko wapi? I love Issa Bin Maryam just like everybody else.
I tell the way it is, Chadema wanafki. Mnaongelea utawala bora and only CCM gets to actually do it.
Niambie wewe, how did Mabere Marando nominated as Chadema candidate for speaker? au wenye chama chao wamekaa huko Kilimanjaro wakaamua kwamba Marando (the most obsocure politician in this country) achaguliwe?
And you make noise when CC that represents makada wa CCM, choose their candidate. kama sio unafki huo ni nini?
Wewe zumbukuku ni mmoja wao maana unaongozwa na chuki za dini tu na beef yako kwa Mbowe baada ya Zitto kutopata uenyekiti. Ulidhani Zitto akipata uenyekiti utatibu njaa zako. Kaa uko uko ccm (Chaka chua matokeo) tuachie Chadema yetu. Umeula wa chuya kaka!Endeleeni kujidanganya....Hivi ni mbunge yupi wa CUF unayemjua? Hivi ni lini uliona kuna kiongozi ama mbunge wa CUF anaside tofauti na maamuzi ya Chama? Hivi unajua feelings za CUF dhidi ya Chadema katika masuala ya Ushirikiano na uhusiano wake na siasa na hisia za udini kama ilivyo kwa upande wa Chadema? Hivi chini ya uenyekiti wa Mbowe ambaye aliwahi kusema hadharani kuwa hawezi kushirikiana na CUf kwa kuwa ni chama cha udini kweli unategemea any collaboration kutoka kwa CUF? Na vipi propaganda za uchaguzi ambapo Chadema walishikilia kuwa CUF wanandoa ya kubaka demokrasia na CCM na hata kukebehi mafanikio ya CUF Zanzibar? Hivi unajua ni watu wangapi ndani ya CUF ambao walikuwa wazito serikalini na wanamjua vilivyo Mabere Marando ambao hawatakuwa tayari kuona akifanikiwa kupata nafasi hiyo?
Mazingira ya kushirikiana yanatakiwa yajengwe kabla lakini sio kutegemea sentiments na mahitaji ya muda mfupi......Kuheshimiana na kuthaminiana ni moja ya hatua muhimu ya kujenga mazingira hayo hata kama mnatofautiana lakini kama ambavyo wapambe, wafuasi na baadhi ya viongozi wa Chadema wanavyopenda kufanya.......siasa za chuki, fitina na kebehi sio siasa endelevu zinazohitajika kulikomboa taifa letu kwa maana halisi ya ukombozi (sio our turn to eat kind of Ukombozi ambao tunauona sasa)
Sichukii Chadema lakini nachukia mwenendo wao wa kukosa uthubutu wa kujisahihisha na kuharibu all the potentials walizonazo kuwa Chama Mbadala Makini mradi waweze kufanikisha matamanio ya muda mfupi kisiasa na maslahi ya Mbowe.......
Lakini pia humu ndani kuna watu wanapenda kuongozwa na emmotions zao bila hata kuthubutu kujua undani wa siasa za nchi yetu, na bahati mbaya wapo baadhi ya viongozi wa Chadema wanachukulia jukwaa hili kama uwanja wa ushauri kwao na kujikuta wanaingia mkenge kila wakati............
Mama wa Kipare akisalimiana na mtami wake kwa kicheko kikubwaaaaaaaaaView attachment 16716
Na hapa ni wana kamati wanapongezana baada ya Katiba mpya.....
Udini? kivipi? how do u come to a conclusion kwamba mimi ni mdini? yaani mkizidiwa hoja mnaweka udini. Huu ndio ukweli, if you are for utawala bora, halafu unamfagilia Marando kuwa spika. Ni unafki. Nukta. We are talking about Mabere Nyaucho Marando here. Unamjua huyu jamaa au unafuata upepo tu?Wewe ni pumbavu maana masuala yanayohusu Chadema yanakuhusu nini? wewe unadhani mambo yetu lazima yawe photo copy ya ccm?
Hakuna wajinga kama nyie ccm maana watu 37 wanawaamulia watu milioni 5 na nyie mnaingia mkenge na kujivuna eti nyie ndio wenye domokrasia. Kwa nini kama nyie mnajua kuchagua hakuleta majina yote kwa wabunge wao waangalie yupi anafaa na yupi hafai?
Kaa kimya bwana na udini wako. Nyie ndio mnajifanya kwamba ccm ni mali ya dini yenu!
CCM wametoa form za speaker kwa kila mwanachama, then CC imekaa ikapitisha majina matatu, halafu wabunge wakampitisha Anna Makinda. Transparent and clean process
Yule Mwanasiasa machachari wa mageuzi Mpiganaji Mabere Nyaucho Marando, amechukua form ya kugombea Uspika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano kupitia CHADEMA.
Pamoja na yeye kuna vijana wengine kama watatu waliojitokeza kupitia CHADEMA. (Source: ITV News Bulletin)
Kama muujiza ukitokea na Marando akawa Spika wa Bunge, basi Katiba Mpya iko mbioni kupatikana kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015. Pia itakuwa ni pigo kubwa kwa Mafisadi wote.
Ustaadhi! Sidhani kama unajua ulichokiandika kama kina mantiki wala mashiko hata kidogo! Kigezo cha kuwa mgombea Uspika wa CCM lazima awe anavaa sikieti mbona unajifanya umesahau? Kama issue ni transparency and clean process kwanini Makamba alisema lazima awe mwanamke? Hebu acha kuleta tope hapa. Elewa CHADEMA hakihitaji copy and paste kutoka CCM A ama B (CUF)
Asante kwa kumsaidia huyu maana nadhani hana kichwa ila bakuli la uji maana haya hayahitaji kwenda chekechea kuyaelewa. Bado anaendeleza nyimbo za ccm ilitupatia majimbo. Sijui majimbo hayo ni ya babake?Ustaadhi! Sidhani kama unajua ulichokiandika kama kina mantiki wala mashiko hata kidogo! Kigezo cha kuwa mgombea Uspika wa CCM lazima awe anavaa sikieti mbona unajifanya umesahau? Kama issue ni transparency and clean process kwanini Makamba alisema lazima awe mwanamke? Hebu acha kuleta tope hapa. Elewa CHADEMA hakihitaji copy and paste kutoka CCM A ama B (CUF)
So, hamkuwa na wanawake Arusha? na hamkuwa na wanawake Mwanza? au hamkuwa na wanawake Kigoma? Hamkuwa na wanawake Iringa? na vipi Mbulu, Musoma and the like? Hizi nyimbo tulishazichoka!Mchungaji--
The largest voting block in our electorate is women. You go ahead and patronize them. They will make you pay. 2015 sio mbali. Kauli Mbiu "CCM inawawezesha kina mama" they win them by 70% and they have another 5 years.
This is politics kaka, its not a pulpit.
So, hamkuwa na wanawake Arusha? na hamkuwa na wanawake Mwanza? au hamkuwa na wanawake Kigoma? Hamkuwa na wanawake Iringa? na vipi Mbulu, Musoma and the like? Hizi nyimbo tulishazichoka!