Mabere Marando awania Uspika kupitia CHADEMA

Tafadhali wapinzani wote twawaombeni muungane mumpe kura marando, hata nyie wa sisiem wapinga ufisadi piga kura kwa Marando, bila hivyo naliona bunge la sasa kuwa baya sana kama enzi za chama kimoja, mtakuwa kama picha tu mnayesubiri kupewa posho tuu.

Kwani ni nani anayehesabu kura za mshindi wa kiti cha uspika??
 
Acheni kujidanganya.

Kwanza majina hayo matatu yakitoka hapo yanakwenda katika caucas ya CCM ambapo watachangua mtu mmoja tu na ni wazi atakuwa Anna Makinda. Ukweli ni kuwa kati ya wote hao ni Anna Makinda tu mwenye uwezo, ukomavu na uhusiano mzuri na wabunge walio wengi kiasi cha kumuwezesha kushinda katika party caucus na pia bungeni

Pili, baada ya kuwatukana, kuwakejeli na kuwakashifu CUF kwa miezi yote hii na sasa mnalazimisha bingwa wa utengano katika upinzani Mbowe kuwa kiongozi wa upinzani bado mnajidanganya kuwa CUF hao hao ndio watakaowabebea mgombea wa wenu..Marando?

Acheni siasa za kujidanganya...
Wewe ni mdini mkubwa sana!
 
Nguvu ya mafisadi inatisha,Kikwete zam yako inakuja watakupangia hata namna ya kuunda Serekali ndio maana tulisema Kikwete hafai kuongoza hii nchi
 
Asante Rutashubanyuma, nina swali dogo.....ni kwa nini CCM wanaruhusiwa kuchagua watu watatu kugombea na upinzani wanatoa mmoja tu?

Clarification kidogo itasaidia sana kuelewa hili suala kwani nilitegemea CCM wasimamishe mtu mmoja.

Kesho tar 11/11/2010 wabunge wa CCM watamchagua mmoja kati ya hao watatu ili agombee uspika.

Ila CCM inazidi kujimaliza. kumng'oa Sitta wamekosea. Vp viongozi wa juu wanashindwa kusoma alama za nyakati? Hawataweza hata kidogo kuzuia mabadiliko chanya.

Ijumaa tar 12/11/2010 ndio uchaguzi wa spika wa bunge unafanyika.

Wabunge walio makini ndani ya CCM Mabere Marando anaomba kura zenu.

Mungu ibariki Tanzania. All the best Mabere Marando.
 
Wamemuondoa Sitta kwa vigezo gani au ni priority zao ccm. Lakini tujiulize wamefanya hivi kwa manufaa ya nani,yao au ya taifa. Kiufupi wameahirisha matatizo kwani wahusika wabo wapo pamoja ndani ya ccm. Mwenye uelewa anieleweshe spika anawezaje kuzuia hoja ikiwa kuna kanuni zinazomwongoza na je spika akitumia madaraka vibaya kama ubabe hata sehemu ambapo utaratibu na kanuni zinaruhusu mbunge kufanya yale spika anayopinga kuna hatua gani zinazozoweza kuchukuliwa.
 
Acheni kujidanganya.

Kwanza majina hayo matatu yakitoka hapo yanakwenda katika caucas ya CCM ambapo watachangua mtu mmoja tu na ni wazi atakuwa Anna Makinda. Ukweli ni kuwa kati ya wote hao ni Anna Makinda tu mwenye uwezo, ukomavu na uhusiano mzuri na wabunge walio wengi kiasi cha kumuwezesha kushinda katika party caucus na pia bungeni

Pili, baada ya kuwatukana, kuwakejeli na kuwakashifu CUF kwa miezi yote hii na sasa mnalazimisha bingwa wa utengano katika upinzani Mbowe kuwa kiongozi wa upinzani bado mnajidanganya kuwa CUF hao hao ndio watakaowabebea mgombea wa wenu..Marando?

Acheni siasa za kujidanganya...

Hebu niambie idadi ya wabunge wa CUF ni wangapi na wa CHADEMA ni wangapi mpaka Mbowe aombe kura kwa CUF? View attachment 16691
 
Kwa hawa wabunge wa CCM hapo maslahi ya chama yanawekwa mbele na sio ya nchi.
 
Mhe. Six kwa hiyo kitu mbaya waliokufanyia sisiem
Kambi yako yote hamishia kwa Marando....PERIOD!!!!!
 
Yeah najua Stta na kambi yake watampa kura sasa wapinzani tukiungana itakuwa saaaaaaaaaaaaaaaaafi dunia nzima!
 
naona baada ya nec na ccm kuchakachua uchaguzi mkuu, sasa cc-ccm imepata mbawa za kuchakachua uchaguzi wa spika, naona ccm kwa kuendeleza nia ya kukumbatia mafisadi, si muda mrefu misaada itakatwa, labda hapo nidhamu ndio itakapo jengeka.
naona kiza kingi kwa tanzania ya baadae maana mafisudi wanataka kuiimarisha mizizi yao, sasa wanyonge watatokea wapi? sheria mkononi kama ya vibaka?
 
Hata kama Marando hatashinda lakini kura zikazidi idadi ya wapinzai message itakuwa sent.
 
Acheni kujidanganya.

Kwanza majina hayo matatu yakitoka hapo yanakwenda katika caucas ya CCM ambapo watachangua mtu mmoja tu na ni wazi atakuwa Anna Makinda. Ukweli ni kuwa kati ya wote hao ni Anna Makinda tu mwenye uwezo, ukomavu na uhusiano mzuri na wabunge walio wengi kiasi cha kumuwezesha kushinda katika party caucus na pia bungeni

Pili, baada ya kuwatukana, kuwakejeli na kuwakashifu CUF kwa miezi yote hii na sasa mnalazimisha bingwa wa utengano katika upinzani Mbowe kuwa kiongozi wa upinzani bado mnajidanganya kuwa CUF hao hao ndio watakaowabebea mgombea wa wenu..Marando?

Acheni siasa za kujidanganya...

Imbecile
 
For those MPs who will consult their decorum faculties in voting to elect the house speaker, Marando is their ultimate choice for the nation's well being agenda, but those with ccm fog at the back of their medulla n'oblangata, i am afraid the country is going to be drawn into farther deep quagmire!

WICH E DHANO:israel:
 
hapa CUF Chadema na vyama vingine inabidi waungane kuwang'oa hawa mamama maana hawajaja huku kwa mazuri.

for my vision hata kama walitukanana basi waweke tofauti zao pembeni CCM isitoe watu hawa VERY WEAK waliowekwa na LOWASA, ROSTAM na CHENGE mabaoo ni wahujumu uchumi na nadaraka ya nchi hii.
 
For those MPs who will consult their decorum faculties in voting to elect the house speaker, Marando is their ultimate choice for the nation's well being agenda, but those with ccm fog at the back of their medulla n'oblangata, i am afraid the country is going to be drawn into farther deep quagmire!

WICH E DHANO:israel:
Thanks,
You are real a Great Thinker
 
Back
Top Bottom