Mabere Marando awania Uspika kupitia CHADEMA

Mabere Marando awania Uspika kupitia CHADEMA

Asante Rutashubanyuma, nina swali dogo.....ni kwa nini CCM wanaruhusiwa kuchagua watu watatu kugombea na upinzani wanatoa mmoja tu?

Clarification kidogo itasaidia sana kuelewa hili suala kwani nilitegemea CCM wasimamishe mtu mmoja.

CCM wanadhani wakati huu ni ule wa Chama kimoja. Walifikiri kwamba wapinzani hawatateuwa mtu kugombea!!!!
 
Bado tunasafari ndefu sana kwa mwendo huu wa ccm.makamba atakua amefurahi sana
 
Acheni kujidanganya.

Kwanza majina hayo matatu yakitoka hapo yanakwenda katika caucas ya CCM ambapo watachangua mtu mmoja tu na ni wazi atakuwa Anna Makinda. Ukweli ni kuwa kati ya wote hao ni Anna Makinda tu mwenye uwezo, ukomavu na uhusiano mzuri na wabunge walio wengi kiasi cha kumuwezesha kushinda katika party caucus na pia bungeni

Pili, baada ya kuwatukana, kuwakejeli na kuwakashifu CUF kwa miezi yote hii na sasa mnalazimisha bingwa wa utengano katika upinzani Mbowe kuwa kiongozi wa upinzani bado mnajidanganya kuwa CUF hao hao ndio watakaowabebea mgombea wa wenu..Marando?

Acheni siasa za kujidanganya...

kumbe unatoka morogoro nilitaka nishangae
 
Vita vya panzi vya CCM furaha ya kunguru. Ngoja uone kama Spika kama hatatoka Chadema. Kambi ya Sitta yote itahamia kwa Marando. Na wabaya wote wa Anna Makinda watahamia kwa Marando. Hapo ndipo katiba itakapo badilishwa na Rais kushtakiwa Mahakamani. Sidhani kama wataweza kuchakachua kura za uspika. Kampeni ya Dr. Slaa inahamia Bungeni. Kazi bado mbichi, Kikwete hajawa rais bado.
 
Shukurani na endeleeni kujidanganya na siasa zenu za ndoto.......
Na wewe endelea na siasa zako za udini hazitakufikisha kokote maana tulishakung'amua. Ndio sababu unajikomba jikomba kwa Zitto......
 
EE Mungu mwenye huruma, tuangalie sisi waja wako wa Tanzania. Amen
Ndugu zangu naomba tuwe tayari, miaka mitano inayokuja nchi yetu itakuwa au imeuzwa au Mungu atupe nguvu tutakuwa kumeshachinjana.
CC hawakuwachagua wanawake kwamba wanawapenda sana, wanajua mafisadi watakalo na hao akina mama watakuwa wanaambiwa nani aruhusiwe kusema nini katika Bunge.
JK damu ya Watanzania na wale wote watakao kufa katika miaka mitano ijayo kulinda haki zao hiko mikononi mwako, na mabaya yote yakupate wewe na familia yako siyo nchi yetu.
MUNGU IBARIKI TANZANI, TUEPUSHE NA HILA ZAO.
 
Acheni kujidanganya.

Kwanza majina hayo matatu yakitoka hapo yanakwenda katika caucas ya CCM ambapo watachangua mtu mmoja tu na ni wazi atakuwa Anna Makinda. Ukweli ni kuwa kati ya wote hao ni Anna Makinda tu mwenye uwezo, ukomavu na uhusiano mzuri na wabunge walio wengi kiasi cha kumuwezesha kushinda katika party caucus na pia bungeni

Pili, baada ya kuwatukana, kuwakejeli na kuwakashifu CUF kwa miezi yote hii na sasa mnalazimisha bingwa wa utengano katika upinzani Mbowe kuwa kiongozi wa upinzani bado mnajidanganya kuwa CUF hao hao ndio watakaowabebea mgombea wa wenu..Marando?

Acheni siasa za kujidanganya...

Another Pumba From Omar
Chama chako ni Zitto au Ridhiwani? weka bayana tukujue, wakati wa kampeni ulikuwa CCM sasa umerudi CUF kwa mbali Zitto, Who are you brother
 
kusema ukweli kwa wagomgea uspika ambao ni Mabere Nyaucho Marando na mtu mmoja wa ccm kati ya anna makinda, anna abdala msekwa na kate kamba. Marando ni mgombea pekee ambaye anakubalika kwenye umma wa watanzania na wapenda maendeleo na wapenda demokrasia ndani ya bunge.
Tatizo ni kwamba wabunge wa ccm watapiga kula kichama na si kwa kidemokrasia kuchagua wamtakae, wanaogopa kama wabunge wa ccm watagundulika kumpigia marando basi watakuwa na hali mbali. Hivyo votes will be on party line hasa ccm, then wapinzani watampigia marando lakini kura za cuf sina hakika kama zote zitanda kwa marando.
Kama kweli ccm itapata kiti cha uspika siku moja ngumi zinaweza rushwa bungeni maana spika atakuwa dikiteta wa hali ya juu kuwafurahisha mafisadi, ccm chama tawala na serikali yake.
 
CCM bwana wamemtosa Sitaaaaaaaaaaaaa
Am sure wanaweza mpitisha Makinda ambae to me ni sawa na kutokuwa na speaker bse wapinzani hawataongea na bunge litarudi enzi za pius msekwa.
Nishawai hudhuria mikutano yake ana ubabe fulani na kukumbatia chama ndo sera yake
 
Just curiosity and thinking out of the box, Sita atakuwa PM manake pinda msaada wake mdogo katika kuipeleka CCM mbele. Tofuti na Rutashubanyuma anavyotaka tufikiri hawajamaa ni smart na wanajua kucheza na akili za watu ambao sio great thinker.
Siku mbili hizi means a lot katika politike za bongo na CCM wanajua walipokosea.
 
Marando ni ccm na mtu wa usalama, kwa hiyo atawapoteza chadema. Wawe waangalifu, wangempa muda wa kumchunguza kwanza.

Mabere Marando ataibuka mshindi ktk kugombea u-Spika kwa vile kura za wabunge wa CCM zitagawanyika baina ya hawa wanawake wao watatu. Kinachotakiwa ni wana-Chadema, wana-CUF na yeyote miongoni mwa wabunge wa CCM anayetakia mema nchi yetu, kumpigia Marando kura na kulete haya mabadiliko sasa badala ya kungoja hadi 2015.

Nina hakika kama Spika wa Bunge letu atatoka Chadema, Bunge litaweza kushughulikia uozo ulioko ktk Idara za Umma kwa uwazi na ufanisi zaidi, licha ya mawaziri wa Serikali kuteuliwa na J.K.
 
Ushabiki ni kitu hatari sana. Watu wanaacha kutumia akili zao walizopewa na Allah kwa sababu ya ushabiki. Mabere Marando of all the people mnataka awe speaker. Dude's client is Jitu Patel for effin sake. He destroyed NCCR Mageuzi. He has no spine, whose political affiliations changes with the current upepo wa siasa.

Also, unafiki wenu utawasuta. CCM used kura za maoni kuchukua wagombea wa ubunge, you guys went behind closed doors. CCM used central committee kuchuja maspika, nyie mmetuletea jina tu la Mabere Marando hata hatujui kapitaje. CCM is more democratic than chama chenu cha kizushi. Ila kwa ushabiki wenu mmekuwa vipofu wa kujadili and you just hate, hate, and hate.

You used to hate on CUF, and now you want their votes. wtf? mmeshatuona sie waTanzania wapumbavu eeh?
 
Huyo Anna Abdalah bado ni mke wa Pius Msekwa? Pius Msekwa sialikwisha wahi kuwa Spika wa Bunge lile butu kwa miaka kumi? Huu sasa utani, usultani mpaka kwenye kiti cha uspika? Msekwa anataka kurudi bungeni kwa mlango wa uwani? CCM sasa wamezidi!
 
Makinda namfahamu vyema kwa ubakaji wa demokrasia ya bunge.
Kate Kamba bibie wa dili za chini ya kapeti naamini hapo ccm wamejiwekea wasaidizi watatu wa zirail na wanapaswa kuchagua mmoja. lol
 
Ushabiki ni kitu hatari sana. Watu wanaacha kutumia akili zao walizopewa na Allah kwa sababu ya ushabiki. Mabere Marando of all the people mnataka awe speaker. Dude's client is Jitu Patel for effin sake. He destroyed NCCR Mageuzi. He has no spine, whose political affiliations changes with the current upepo wa siasa.

Also, unafiki wenu utawasuta. CCM used kura za maoni kuchukua wagombea wa ubunge, you guys went behind closed doors. CCM used central committee kuchuja maspika, nyie mmetuletea jina tu la Mabere Marando hata hatujui kapitaje. CCM is more democratic than chama chenu cha kizushi. Ila kwa ushabiki wenu mmekuwa vipofu wa kujadili and you just hate, hate, and hate.

You used to hate on CUF, and now you want their votes. wtf? mmeshatuona sie waTanzania wapumbavu eeh?


Mpumbavu ni wewe unayeendekeza UDINI ambao hata mwalimu nyerere aliupiga vita. Nenda msikitini **** mkubwa! Nyooo!!! Ondoka kwenye hii forum unatia shombo!!!
 
Wakuu nadhani uchaguzi ulikwisha na aliyechakachua alichakachua

Hili la spika ni utata mbaratata.... siamini kama Marando was the best choice, hasa ukizingatia kwamba he has been all over politics for a while especially dirty tricks and whatever tricks

whoever win nitashangilia ila naomba tu agenda ya efficiency, transparency and accountability i-prevail
 
Habari hii imenukuliwa na TBC sasa hivi kuwa ni kwa mujibu wa naibu katibu mkuu Mh. Zitto Kabwe

Hivi naibu k/mkuu wa chadema ni Mnyika au zitto? Naomba niweke sawa katika hili tafadhali
 
Mabere Marando has a very small chance of winning because of the circumstance:

1. Even with the division among party members, CCM has previously shown loyalty to the party when it comes to competing with other parties. This is what I call a "them vs. us" mentality. So even if there are divisions among themselves it is hard to see Mr. Marando winning without a good bulk of CCM votes with which he can not win.

2. Besides CCM votes, Marando will still need votes from other opposition parties mainly CUF. This is because Chadema in itself does not have enough votes themselves to pass Marando. Considering the lack of opposition party unity in the past I think it is safe to presume that CUF votes are likely to go his way.

3. The CCM candidate is going to be a woman. I guarantee you that all women MPs will vote for their fellow women regardless of any party affiliation. Considering that women in the Bunge are in the 30 percent or so range, they are a strong minority. And I assure you CCM has done this on purpose.

Now don't get me wrong people I'm not saying Marando can't win. i am saying that his chances are very slim. If Chadema wanted to produce the first opposition speaker of parliament they should have done the following:

1. Make amends with other opposition parties. There are still some battle wounds and many opposition parties I'm sad to say will not be open to supporting a fellow opposition. This is because everyone in the opposition wants to be the one who makes history. They would rather CCM wins because it is the norm then let an opposition party which is not theres make history.

2. Chadema should have put in place a better candidate than Marando. Someone who commands a lot of respect within the circle of MPS. Mind you I say within the circle of MPs because it is MPs who are going to vote not the wananchi. Dr. Slaa would have been the perfect candidate had he not already ran for the presidency. Another name that might have done the trick is probably Mbowe, or a young MP like Mnyika or to even the gender odds even a lady like Halima Mndee.

Well people let's wait and see but one thing is for sure. Change is definitely on the way.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom