Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,596
- 5,584
Zamani matajiri ndio waliitwa mumiani siku hizi ni freemasonsMaskini akiwa hana hela kila kitu kwake ni kibaya ili kujifariji

Kinachoitwa maendeleo leo, basi ujue ni maondoleo!!!
Usafiri wa mabasi ya siku hizi yananikera sana!
Mabasi mengi hasa haya ya kichina namaanisha Yutong yamefungwa Air conditioner, watu wengi hawajui ufanyaji kazi wa hizi AC.
AC kazi yake sio kuingiza hewa mpya ndani ya chumba ama ndani ya gari bali kuipoza hewa hiyo hiyo unayoivuta.
Wenye mabasi hunikera wanaposema "abiria fungeni madirisha tumewasha AC" yaani maana yake tuendelee kuvuta hewa ya Carbon dioxide ambayo tumeishaipumua.
Hivyo safari nzima mnavuta hewa ile ile, hii ndo sababu ya watu kujisikia hovyo wakati wa safari.
Hata design yenyewe ya mabasi hayana ventilation ukiwa umefunga madirisha.
Hivi hawa TBS hawaoni ubora wa haya mabasi kweli!
naungana na mleta mada japo wengi mumechangia kishabiki, niliwahi kusafiri na bus la musoma express kutoka mwanza kwenda musoma hili bus ac yake ilikuwa mbovu, kufika igoma tuliishiwa hewa dereva akaamua kuacha mlango wazi kufika eneo la kanyama ilibidi bus liingie kwenye kituo cha mafuta abiria wote wakashuka likaagizwa bus jingine.Kinachoitwa maendeleo leo, basi ujue ni maondoleo!!!
Usafiri wa mabasi ya siku hizi yananikera sana!
Mabasi mengi hasa haya ya kichina namaanisha Yutong yamefungwa Air conditioner, watu wengi hawajui ufanyaji kazi wa hizi AC.
AC kazi yake sio kuingiza hewa mpya ndani ya chumba ama ndani ya gari bali kuipoza hewa hiyo hiyo unayoivuta.
Wenye mabasi hunikera wanaposema "abiria fungeni madirisha tumewasha AC" yaani maana yake tuendelee kuvuta hewa ya Carbon dioxide ambayo tumeishaipumua.
Hivyo safari nzima mnavuta hewa ile ile, hii ndo sababu ya watu kujisikia hovyo wakati wa safari.
Hata design yenyewe ya mabasi hayana ventilation ukiwa umefunga madirisha.
Hivi hawa TBS hawaoni ubora wa haya mabasi kweli!
Waeza uwaJamaa mmoja aanzisha uzi na kutokomea kusiko julikanaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sema mkuu kama huna kazii unaweza kujiulizaa sukari ya kwenye miwa inatoka wapi akati miwa inaota mchangani??[emoji23][emoji23][emoji119]
hata mimi ningekimbia [emoji28][emoji28]Mleta mada aukimbia Uzi wake!
[emoji23][emoji23][emoji23] eti kumkata makofiAsante mkuu at least wewe nimekuelewa, wengine wamekazana tu kutaka kum'kata makofi mtoa mada lakini wao wameshindwa kueleza Ac inafanyaje kazi.
Sasa na kule Kwenye ndege hewa safi inatoka wapi kule juu mkuu
Mkuu umefanya utafiti au ni hisia zako tu?Kinachoitwa maendeleo leo, basi ujue ni maondoleo!!!
Usafiri wa mabasi ya siku hizi yananikera sana!
Mabasi mengi hasa haya ya kichina namaanisha Yutong yamefungwa Air conditioner, watu wengi hawajui ufanyaji kazi wa hizi AC.
AC kazi yake sio kuingiza hewa mpya ndani ya chumba ama ndani ya gari bali kuipoza hewa hiyo hiyo unayoivuta.
Wenye mabasi hunikera wanaposema "abiria fungeni madirisha tumewasha AC" yaani maana yake tuendelee kuvuta hewa ya Carbon dioxide ambayo tumeishaipumua.
Hivyo safari nzima mnavuta hewa ile ile, hii ndo sababu ya watu kujisikia hovyo wakati wa safari.
Hata design yenyewe ya mabasi hayana ventilation ukiwa umefunga madirisha.
Hivi hawa TBS hawaoni ubora wa haya mabasi kweli!
Huwezi jua labda ana asili ya mmea [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]Hahaaa...!!! We jamaa acha masihara, uvute carbondioxide masaa mawili na bado uwe mzima tu!!
Hahaa!!!Huwezi jua labda ana asili ya mmea [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Manne? Ukiruka Doha ni masaa 14 ndio unatua Washington. Unalala, unaamka, unalala tena na AC.Umewahi kufikili kuhusu ndege inayosafiri bila hiyo ventilation kwa wastani wa masaa manne..!?