Mabasi yenye kiyoyozi ni hatari!

Mabasi yenye kiyoyozi ni hatari!

Usiwe unaongea tu mkuu. Mtoa mada kasema aircon za mabasi hazibadilishi hewa ila zinapoza hewa ile ile Dar to Manyoukni. Ya kwa ofisi inatoa hewa chafu na kuingiza fresh air.
Tumia akili kidogo sio unaandika tu
Hivi Ac inafanyaje kazi wa uelewa wako?
 
Mkuu kama unakerwa na AC ni afadhali ukadai wafungue vent zile za juu, kama zipo.

Hii uliyoandika hapa ni maelezo ya kizushi kwenye mambo ya kitaalam,AC ukiifungulia madirisha inafanya kazi nyingine kabisa ambayo hata wewe mtaalam wetu huwezi kuiona.
 
Kinachoitwa maendeleo leo, basi ujue ni maondoleo!!!
Usafiri wa mabasi ya siku hizi yananikera sana!
Mabasi mengi hasa haya ya kichina namaanisha Yutong...yamefungwa Air conditioner, watu wengi hawajui ufanyaji kazi wa hizi AC.
AC kazi yake sio kuingiza hewa mpya ndani ya chumba ama ndani ya gari bali kuipoza hewa hiyo hiyo unayoivuta. Wenye mabasi hunikera wanaposema "abiria fungeni madirisha tumewasha AC" yaani maana yake tuendelee kuvuta hewa ya Carbon dioxide ambayo tumeishaipumua. Hivyo safari nzima mnavuta hewa ile ile, hii ndo sababu ya watu kujisikia hovyo wakati wa safari.
Hata design yenyewe ya mabasi hayana ventilation ukiwa umefunga madirisha.

Hivi hawa TBS hawaoni ubora wa haya mabasi kweli!
Mkuu hujui uyendaji kazi wa ac, inapoza hewa, inatoa nje carbondioxide na kuingiza hewa oxygen kutoka nje.
 
Kinachoitwa maendeleo leo, basi ujue ni maondoleo!!!
Usafiri wa mabasi ya siku hizi yananikera sana!
Mabasi mengi hasa haya ya kichina namaanisha Yutong...yamefungwa Air conditioner, watu wengi hawajui ufanyaji kazi wa hizi AC.
AC kazi yake sio kuingiza hewa mpya ndani ya chumba ama ndani ya gari bali kuipoza hewa hiyo hiyo unayoivuta. Wenye mabasi hunikera wanaposema "abiria fungeni madirisha tumewasha AC" yaani maana yake tuendelee kuvuta hewa ya Carbon dioxide ambayo tumeishaipumua. Hivyo safari nzima mnavuta hewa ile ile, hii ndo sababu ya watu kujisikia hovyo wakati wa safari.
Hata design yenyewe ya mabasi hayana ventilation ukiwa umefunga madirisha.

Hivi hawa TBS hawaoni ubora wa haya mabasi kweli!
Mkuu vtu vngne uwe unagoogle Kwanza kabla ya kuanzisha nyuzi

Sio kosa lako mkuu hata mm ningekuwa ww ningechapia ivo ivo
 
Kama AC ingekua na tatizo ULAYA wangekwisha kufa wote,
Kwani AC zilianza kutumika muda mrefu!

Nb: soda, mikate, royco, tomato ketchup vyote tunaambiwa madhara yake lakini tunaishi
 
Aisee mkuu japo mwaka kuisha bado mbali sana lakini unaweza kuwa mjinga mkuu wa mwaka huu humu jf, afu waweza kuta na wewe umesoma kwa mkopo wa serikali na sasa uko kitengo muhimu cha kutoa maamuzi. Hizi ndizo akili za fisiemu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom