Johnson Fundi
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 1,393
- 1,216
enhee tufundishe na cc kuhu hiliHahah
We jamaa inaonekana haujajifunza hata physics form 2
enhee tufundishe na cc kuhu hiliHahah
We jamaa inaonekana haujajifunza hata physics form 2
jifunze kuhusu mfumo wa hewa ndani ya elopleniSasa ukipanda ndege si utazimia kabisa
Manne? Ukiruka Doha ni masaa 14 ndio unatua Washington. Unalala, unaamka, unalala tena na AC.
Huyu jamaa yetu mgeni mjini
Anachomaanisha kufungua vent zile za juu ya paa la bus kitu ambacho kwenye ndege hakipo au mwenzetu bado unapanda yale mabasi ya mabody ya kuchongwa Kenya?Mkuu ndege inakosaje ventilation, si watu watakufa kwa kukosa hewa. Ndege za abiria zina air conditioning system...unless niwe sikuelewa maana yako.
Kwani hakuna mabasi ambayo hayana Ac wagonjwa wa pumu wapande hayo...Nijuavyo mimi bus za Luxury karibu zote ziko na Ac kwenye ticket wameandika kuna Ac nakadhalika au ulikua unataka watoe taarifa gani??? na hata nauli yao ipo juu kidogo...Sasa kwa nini wagonjwa wa pumu wasikate Semi Luxury..Let say huyo mgonjwa wa Pumu mwanae/ndugu yupo Australia au kapata University Australia (The air travel shortest distance between Australia and Tanzania is 10,603 km= 6,588 miles. If you travel with an airplane (which has average speed of 560 miles) from Tanzania to Australia, It takes 11hours to arrive.Ni masaa karibia 12,Kwa hiyo atafia kwenye ndege au atakodisha ndege binafsi inayofunguka madirisha[emoji23][emoji23]???Ulishawahi ona mtu aliyebanwa na pumu? Joto tutafungua madirisha. Au wangekuwa kwanza wanauliza km kuna mgonjwa wa pumu
Atapanda ndege inayofunguka madirishaKwani hakuna mabasi ambayo hayana Ac wagonjwa wa pumu wapande hayo...Nijuavyo mimi bus za Luxury karibu zote ziko na Ac kwenye ticket wameandika kuna Ac nakadhalika au ulikua unataka watoe taarifa gani??? na hata nauli yao ipo juu kidogo...Sasa kwa nini wagonjwa wa pumu wasikate Semi Luxury..Let say huyo mgonjwa wa Pumu mwanae/ndugu yupo Australia au kapata University Australia (The air travel shortest distance between Australia and Tanzania is 10,603 km= 6,588 miles. If you travel with an airplane (which has average speed of 560 miles) from Tanzania to Australia, It takes 11hours to arrive.Ni masaa karibia 12,Kwa hiyo atafia kwenye ndege au atakodisha ndege binafsi inayofunguka madirisha[emoji23][emoji23]???
I love you Meeyah....i realy do[emoji7][emoji8]Atapanda ndege inayofunguka madirisha
Ooh jamani siku yangu imeanza vizuri Leo. 😘😘😘😘 Mi love u more!I love you Meeyah....i realy do[emoji7][emoji8]
Uhaba wa walimu wa scienceHahah
We jamaa inaonekana haujajifunza hata physics form 2
Mwingine huyu hapa!!Huwa wanabana mafuta mzee baba ukitumia ac wakati gar inatembea ulaj wa mafuta unakuwa mdogo kushinda ukifungua vioo ukiwa unatembea kutokana nguvu Mana gar inashindana na upepo kwenda mbele kwa hyo inatumia nguvu kubwa sana.drag force
Nipo mzee baba kasome vitabu vya physics na kasome mfumo wa ac na mfumo wa injini na soma upepo unakuwaje pind gar inapokuwa inaenda mbele na soma kwann gar ikiwa vioo Waz inakuwa tofauti na kwann vioo vikifungwa inakuwa tofauti na kwann ulaji wa mafuta unakuwa tofauti ndio utajua vizuri alafu ndio uje na hyo comment yako " mwingne huyu hapa"Mwingine huyu hapa!!