Mabasi yenye kiyoyozi ni hatari!

Mabasi yenye kiyoyozi ni hatari!

Mamie... Wewe hupendi kuonekana una busara? Si ungekaa kimya?

Kinachoitwa maendeleo leo, basi ujue ni maondoleo!!!

Usafiri wa mabasi ya siku hizi yananikera sana!

Mabasi mengi hasa haya ya kichina namaanisha Yutong yamefungwa Air conditioner, watu wengi hawajui ufanyaji kazi wa hizi AC.

AC kazi yake sio kuingiza hewa mpya ndani ya chumba ama ndani ya gari bali kuipoza hewa hiyo hiyo unayoivuta.

Wenye mabasi hunikera wanaposema "abiria fungeni madirisha tumewasha AC" yaani maana yake tuendelee kuvuta hewa ya Carbon dioxide ambayo tumeishaipumua.

Hivyo safari nzima mnavuta hewa ile ile, hii ndo sababu ya watu kujisikia hovyo wakati wa safari.

Hata design yenyewe ya mabasi hayana ventilation ukiwa umefunga madirisha.

Hivi hawa TBS hawaoni ubora wa haya mabasi kweli!
 
Usiwe unaongea tu mkuu. Mtoa mada kasema aircon za mabasi hazibadilishi hewa ila zinapoza hewa ile ile Dar to Manyoukni. Ya kwa ofisi inatoa hewa chafu na kuingiza fresh air.
Tumia akili kidogo sio unaandika tu
Ama kweli hizi shule siku hizi mnasomea ujinga
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kasahau kukumbuka kwanini system ya AC inakaaga nje ya chumba au nje ya Bus kwa juu.

Tumkumbushe tuu, ni kwasbabu ya yenyewe kujipooza na kuchukua hewa safi kuingiza ndani na chafu ya ndani kuitoa nje
 
Sasa na kule Kwenye ndege hewa safi inatoka wapi kule juu mkuu
 
Bila shaka basi alilopanda AC ilikuwa ina hitilafu
 
Nilitegemea mleta mada angeileta kwa mfumo wa swali! Angejifunza mengi!!
 
Kinachoitwa maendeleo leo, basi ujue ni maondoleo!!!

Usafiri wa mabasi ya siku hizi yananikera sana!

Mabasi mengi hasa haya ya kichina namaanisha Yutong yamefungwa Air conditioner, watu wengi hawajui ufanyaji kazi wa hizi AC.

AC kazi yake sio kuingiza hewa mpya ndani ya chumba ama ndani ya gari bali kuipoza hewa hiyo hiyo unayoivuta.

Wenye mabasi hunikera wanaposema "abiria fungeni madirisha tumewasha AC" yaani maana yake tuendelee kuvuta hewa ya Carbon dioxide ambayo tumeishaipumua.

Hivyo safari nzima mnavuta hewa ile ile, hii ndo sababu ya watu kujisikia hovyo wakati wa safari.

Hata design yenyewe ya mabasi hayana ventilation ukiwa umefunga madirisha.

Hivi hawa TBS hawaoni ubora wa haya mabasi kweli!
Kwahyo ukiwasha af watu wote wakatoka nje kinatokea nini?
 
Nashukuru kwa uzi huu nami nimejua utendaji kazi wa AC.
 
Mpeni majibu aelewe jamani msimzodoe

Mkuu kazi ya ac ni kupoozesha au kuongeza joto la hewa, kuongeza unyevu wa hewa au kupunguza ( humidification or drying, heating or cooling), mantiki ya kufunga madirisha ni kuwezesha ac kufanya kazi ktk uwezo wake halisi ( load capacity ) kama kukiwa kuna hewa inayoingia na kutoka kwa gari ac itazidiwa uwezo, kumbuka ile hewa iliyopoozwa itakua bado inazunguka ndani ya gari hivyo ac itatutmia nguvu kidogo kuendelea kupooza hewa iliyopo ndani, mkifungua madirisha maana yake ni mnailazimisha ac ipooze dunia yote, haiwezi kwa hiyo itazidiwa uwezo, ndio maana kila ukitaka kuwasha ac hakikisha umefunga madirisha ( ac yenyewe inauwezo wa kuingiza hewa ndani na kuipooza na kuisambaza kwa hyo ata ukifunga madirisha poa tu)
Sasa wewe ndio great thinker.
 
nilichogundua wabongo wengi tuna roho mbaya na ujuaji mwingi. yani mtu akikosea kidogo ndo tunamalizia hasira zetu na ujuaji. binafsi sijaona big deal hapo, tungeweza kumuelewesha vizuri tu akaelewa.. ila nachofarijika ni kua katika wote tunaotukana hakuna mwenye ujuzi wa kutengeneza hata wembe tuu.. yani jamaa katukanwa mpaka amechakaa
 
Ndio maana niliacha shule baada ya kugundua wanatufundisha ujinga
Ulifanya jambo la kheri... Yaani katika Sayansi ya kawaida kabisa kijana hata hajui AC inafanyaje kazi.... Yaani dah!
 
feni ndo inazungusha hewa ya ndani hiyohiyo, lakini AC inatoa nje.
 
Wewe
Kinachoitwa maendeleo leo, basi ujue ni maondoleo!!!

Usafiri wa mabasi ya siku hizi yananikera sana!

Mabasi mengi hasa haya ya kichina namaanisha Yutong yamefungwa Air conditioner, watu wengi hawajui ufanyaji kazi wa hizi AC.

AC kazi yake sio kuingiza hewa mpya ndani ya chumba ama ndani ya gari bali kuipoza hewa hiyo hiyo unayoivuta.

Wenye mabasi hunikera wanaposema "abiria fungeni madirisha tumewasha AC" yaani maana yake tuendelee kuvuta hewa ya Carbon dioxide ambayo tumeishaipumua.

Hivyo safari nzima mnavuta hewa ile ile, hii ndo sababu ya watu kujisikia hovyo wakati wa safari.

Hata design yenyewe ya mabasi hayana ventilation ukiwa umefunga madirisha.

Hivi hawa TBS hawaoni ubora wa haya mabasi kweli!
wewe inaonekana hujui nini maana ya AC embu google definition yake halafu urudi tena kuandika hapa Mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom