Mabasi yenye kiyoyozi ni hatari!

Mabasi yenye kiyoyozi ni hatari!

Wenye mabasi hunikera wanaposema "abiria fungeni madirisha tumewasha AC" yaani maana yake tuendelee kuvuta hewa ya Carbon dioxide ambayo tumeishaipumua.

Mbona yapo mabasi mengi yasiyo na AC kwanini usipande hayo ili kuondkana na hiyo kero
 
Hii mada nimecheka mpaka nimekaa chini.....huyu mtoa mada ndio wale wajuaji wasiokua na facts afu wanaongeaga kwa sauti gari zima wawaskie....karibu mjini bwana mwakaeisii
 
Kinachoitwa maendeleo leo, basi ujue ni maondoleo!!!

Usafiri wa mabasi ya siku hizi yananikera sana!

Mabasi mengi hasa haya ya kichina namaanisha Yutong yamefungwa Air conditioner, watu wengi hawajui ufanyaji kazi wa hizi AC.

AC kazi yake sio kuingiza hewa mpya ndani ya chumba ama ndani ya gari bali kuipoza hewa hiyo hiyo unayoivuta.

Wenye mabasi hunikera wanaposema "abiria fungeni madirisha tumewasha AC" yaani maana yake tuendelee kuvuta hewa ya Carbon dioxide ambayo tumeishaipumua.

Hivyo safari nzima mnavuta hewa ile ile, hii ndo sababu ya watu kujisikia hovyo wakati wa safari.

Hata design yenyewe ya mabasi hayana ventilation ukiwa umefunga madirisha.

Hivi hawa TBS hawaoni ubora wa haya mabasi kweli!
Huwa wanabana mafuta mzee baba ukitumia ac wakati gar inatembea ulaj wa mafuta unakuwa mdogo kushinda ukifungua vioo ukiwa unatembea kutokana nguvu Mana gar inashindana na upepo kwenda mbele kwa hyo inatumia nguvu kubwa sana.drag force
 
Bora kukaa kimya watu wakuite mjinga kuliko kuongea watu waujue ujinga wako
 
They are specially designed kwa kuangalia hayo yote... ni wewe ndiyo mwenye matatizo...

Cc: mahondaw
 
Kinachoitwa maendeleo leo, basi ujue ni maondoleo!!!

Usafiri wa mabasi ya siku hizi yananikera sana!

Mabasi mengi hasa haya ya kichina namaanisha Yutong yamefungwa Air conditioner, watu wengi hawajui ufanyaji kazi wa hizi AC.

AC kazi yake sio kuingiza hewa mpya ndani ya chumba ama ndani ya gari bali kuipoza hewa hiyo hiyo unayoivuta.

Wenye mabasi hunikera wanaposema "abiria fungeni madirisha tumewasha AC" yaani maana yake tuendelee kuvuta hewa ya Carbon dioxide ambayo tumeishaipumua.

Hivyo safari nzima mnavuta hewa ile ile, hii ndo sababu ya watu kujisikia hovyo wakati wa safari.

Hata design yenyewe ya mabasi hayana ventilation ukiwa umefunga madirisha.

Hivi hawa TBS hawaoni ubora wa haya mabasi kweli!

Watanzania bhana, hiyo hadith umeisikia wapi?
 
Hajui chochote! Anaongea pumba tupu. Haelewi venting system, haelewi air circulation/ recirculation system..nk nk..
Huyu jamaa. Mshamba sana

Hivi ashawahi kuona mfumo was AC ulivyo
 
Mkuu nunua AC afu ipulize 72 hrs uone kama utakufa kwa carbon dioxide.
 
Kabla sijasoma content tu..mana nmeshtushwa na title naomba kuuliza kwani walio weka izo A.C ni wajinga kiasi hicho?.. hawakua Proactive kiasi cha kuliona ilo!?? au wewe ndio visa vi..?
 
Asee! hii ndiyo taabu ya shule za kata,ila nimekusamehe tu
Wew umesoma shule gan? Acha upunga wewe kama haujasoma shule ya kata mbona unaonekana akil yako kama mapunga waliojazana pale Lumumba kuimba mapambio ya kusifu uwe upumbavu au vingnevyo.
 
Ni hoja dhaifu na haina ukweli.... air circulation ya ndani ya gari kupitia AC kuna hewa inangia ikiwa imepoozwa..... na inayo toka. Hakuna kitu kama hiyo unayoelezea.
inaingia kupitia wapi?!!?
 
Umewahi kufikili kuhusu ndege inayosafiri bila hiyo ventilation kwa wastani wa masaa manne..!?
ndugu tangu ndege INA mfumo maalumu wa kusupply hewa ya oksjeni.usiingize hoja ya ndege kwenye Uzi wa huyu jamaa,wewe tufundishe tu mfumo wa yutong kwenye hii hoja ukoje?!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom