Mabasi yenye kiyoyozi ni hatari!

Mabasi yenye kiyoyozi ni hatari!

Mpeni majibu aelewe jamani msimzodoe

Mkuu kazi ya ac ni kupoozesha au kuongeza joto la hewa, kuongeza unyevu wa hewa au kupunguza ( humidification or drying, heating or cooling), mantiki ya kufunga madirisha ni kuwezesha ac kufanya kazi ktk uwezo wake halisi ( load capacity ) kama kukiwa kuna hewa inayoingia na kutoka kwa gari ac itazidiwa uwezo, kumbuka ile hewa iliyopoozwa itakua bado inazunguka ndani ya gari hivyo ac itatutmia nguvu kidogo kuendelea kupooza hewa iliyopo ndani, mkifungua madirisha maana yake ni mnailazimisha ac ipooze dunia yote, haiwezi kwa hiyo itazidiwa uwezo, ndio maana kila ukitaka kuwasha ac hakikisha umefunga madirisha ( ac yenyewe inauwezo wa kuingiza hewa ndani na kuipooza na kuisambaza kwa hyo ata ukifunga madirisha poa tu)
Mkuu umeelezea vizuri sana. Lakini nashindwa kuelewa watu wanabwatuka mapovu baadala ya kuotoa elimu kwa mtoa mada. Hapakua na haja ya kumkejeli mtu badala ya mweleza na kumsahihisha . Asnte mkuu.
 
Kinachoitwa maendeleo leo, basi ujue ni maondoleo!!!

Usafiri wa mabasi ya siku hizi yananikera sana!

Mabasi mengi hasa haya ya kichina namaanisha Yutong yamefungwa Air conditioner, watu wengi hawajui ufanyaji kazi wa hizi AC.

AC kazi yake sio kuingiza hewa mpya ndani ya chumba ama ndani ya gari bali kuipoza hewa hiyo hiyo unayoivuta.

Wenye mabasi hunikera wanaposema "abiria fungeni madirisha tumewasha AC" yaani maana yake tuendelee kuvuta hewa ya Carbon dioxide ambayo tumeishaipumua.

Hivyo safari nzima mnavuta hewa ile ile, hii ndo sababu ya watu kujisikia hovyo wakati wa safari.

Hata design yenyewe ya mabasi hayana ventilation ukiwa umefunga madirisha.

Hivi hawa TBS hawaoni ubora wa haya mabasi kweli!
Cooling sytem yoyote lazima mfumo uvute hewa toka nje kwa maana In-let na kisha kuipoza na baada ya hapo kuiruhusu kuzunguka katika chamber. Afterall huwezi vuta kwa kupumua hewa iliyokwisha tumika ya carbon dioxide kwa zaidi ya dakika 30 akabaki kuwa hai. Mfumo kama huu ndani ya mabasi ya kisasa hutumika hata katika ndege ambazo zinasafiri non-stop trip zaidi ya masaa 12 angani bila madhara yoyote. Punguza wasiwasi hiyo ni Oxygen iliyopozwa yaani OXYGEN baridi..
 
Kwa hio mtoa mada ukipanda ndegfe la masaa 14 itabidi ufe kabla hujafika?

Nikikula British Airways kutoka KIA mpaka Amsterdam mpaka Sao Paul pale tukakaa masaa matatu wakaingia watoto wazuri tukapaa tena mpaka Mji unaitwa Porto Alegre.
Ni masaa 19 angani.

Kwa hio mdau ungefungua madirisha ya ndege?
 
Duh nimecheka mpaka basi tena, Abiria ukipanda Basi linatumia AC ndani ya Basi katikati angaliajuu kuna wavu mkubwa hapo ndipo kazi yake ya kutoa hewa carbon
 
Kinachoitwa maendeleo leo, basi ujue ni maondoleo!!!

Usafiri wa mabasi ya siku hizi yananikera sana!

Mabasi mengi hasa haya ya kichina namaanisha Yutong yamefungwa Air conditioner, watu wengi hawajui ufanyaji kazi wa hizi AC.

AC kazi yake sio kuingiza hewa mpya ndani ya chumba ama ndani ya gari bali kuipoza hewa hiyo hiyo unayoivuta.

Wenye mabasi hunikera wanaposema "abiria fungeni madirisha tumewasha AC" yaani maana yake tuendelee kuvuta hewa ya Carbon dioxide ambayo tumeishaipumua.

Hivyo safari nzima mnavuta hewa ile ile, hii ndo sababu ya watu kujisikia hovyo wakati wa safari.

Hata design yenyewe ya mabasi hayana ventilation ukiwa umefunga madirisha.

Hivi hawa TBS hawaoni ubora wa haya mabasi kweli!
Ila nadhani ungefahamu ya kuwa Ac ina kazi ya kubalance room temperature katika chumba. Sasa unapoacha wazi mlango au dirisha katika chemba husika inaifanya ifanye kazi mara mbili zaidi sababu inabidi iabsorb joto katika hewa mpya ili kubalancce the set temperature level......

Sasa ukifungua kioo cha gari wakati ac inarun unaifanya ishindwe kubalance jotoridi na kuweka ubaridi unaotakiwa
 
Kinachoitwa maendeleo leo, basi ujue ni maondoleo!!!

Usafiri wa mabasi ya siku hizi yananikera sana!

Mabasi mengi hasa haya ya kichina namaanisha Yutong yamefungwa Air conditioner, watu wengi hawajui ufanyaji kazi wa hizi AC.

AC kazi yake sio kuingiza hewa mpya ndani ya chumba ama ndani ya gari bali kuipoza hewa hiyo hiyo unayoivuta.

Wenye mabasi hunikera wanaposema "abiria fungeni madirisha tumewasha AC" yaani maana yake tuendelee kuvuta hewa ya Carbon dioxide ambayo tumeishaipumua.

Hivyo safari nzima mnavuta hewa ile ile, hii ndo sababu ya watu kujisikia hovyo wakati wa safari.

Hata design yenyewe ya mabasi hayana ventilation ukiwa umefunga madirisha.

Hivi hawa TBS hawaoni ubora wa haya mabasi kweli!
Daaah we jamaaa... hivi hata maofisini huoni kwanza wanafunga madirisha ndipo AC ifanye kazi kiufasaha? Kabla ya kuandika hili ulifanya utafiti mdogo wa AC ni nini na hufanyaje kazi? Umejiuliza kwenye ndege huwa inakuwaje? Basi linabeba abiria 65 lakini ndege hata abiria 300.. je huwa kule angani wanafungua madirisha? Unadhani kabla ya huduma hiyo kutumika hakuna tafiti zilifanyika? AU wewe ndio umekuwa mwerevu sana? Hao wote waliokupa hizo likes walijiuliza hayo au pia ni uleule uvivu wa kufikiri tulio nao?
 
Mkuu umeenda mbali sana,rud kdogo
Aisee mkuu japo mwaka kuisha bado mbali sana lakini unaweza kuwa mjinga mkuu wa mwaka huu humu jf, afu waweza kuta na wewe umesoma kwa mkopo wa serikali na sasa uko kitengo muhimu cha kutoa maamuzi. Hizi ndizo akili za fisiemu
 
Ndege ipo sealed haina sehem hata moja inayopitisha hewa toka nje, inapotaka kuruka mlango ukifungwa huwa inatengeneza H2O yake, inakuwa pressurised ndo inaruka,
Pamoja na ndege kuwa pressurized ila ndege ina mfumo wa Ac mkuu. Kwa ndege za kisasa 50% ya hewa ya kwenye cabin inatoka nje ya ndege kupitia air conditioning system zilizopo kwenye engine.

Hii system huchukua baadhi ya hewa inayopita kwenye engine na kuisafirisha kwenye mfumo wa hewa wa ndege then hui process na kui release kwenye cabin.
 
Kinachoitwa maendeleo leo, basi ujue ni maondoleo!!!

Usafiri wa mabasi ya siku hizi yananikera sana!

Mabasi mengi hasa haya ya kichina namaanisha Yutong yamefungwa Air conditioner, watu wengi hawajui ufanyaji kazi wa hizi AC.

AC kazi yake sio kuingiza hewa mpya ndani ya chumba ama ndani ya gari bali kuipoza hewa hiyo hiyo unayoivuta.

Wenye mabasi hunikera wanaposema "abiria fungeni madirisha tumewasha AC" yaani maana yake tuendelee kuvuta hewa ya Carbon dioxide ambayo tumeishaipumua.

Hivyo safari nzima mnavuta hewa ile ile, hii ndo sababu ya watu kujisikia hovyo wakati wa safari.

Hata design yenyewe ya mabasi hayana ventilation ukiwa umefunga madirisha.

Hivi hawa TBS hawaoni ubora wa haya mabasi kweli!
Kwani kwenye ndege huwa wanafungua madirisha?
 
Umasikini ni kitu kibaya mno aisee, mtu anaweza kupiga chafya ukadhani anakuzomea
 
Kanifurahisha sana, ndege yenye abiria karibu 300 inasafuri angani kwa masaa 17 bila kutua na haina ventilation,

Ajifunze mfumo wa ac na kwa kawaida ac huchukua hewa nje ya bus, na 'nyingi zimefungwa kwa juu ya bas' na kuingiza ndan
Kuna mdau nimesoma comment yake hapo juu anasema AC inatoa gesi ya carbon nje nakuingiza Oxgen ndani, sasa kwenye ndege uko angani uwa nasikia eti gesi kubwa ni nitrogen kwahyo kwahyo hapo inakuwaje?
 
Kinachoitwa maendeleo leo, basi ujue ni maondoleo!!!

Usafiri wa mabasi ya siku hizi yananikera sana!

Mabasi mengi hasa haya ya kichina namaanisha Yutong yamefungwa Air conditioner, watu wengi hawajui ufanyaji kazi wa hizi AC.

AC kazi yake sio kuingiza hewa mpya ndani ya chumba ama ndani ya gari bali kuipoza hewa hiyo hiyo unayoivuta.

Wenye mabasi hunikera wanaposema "abiria fungeni madirisha tumewasha AC" yaani maana yake tuendelee kuvuta hewa ya Carbon dioxide ambayo tumeishaipumua.

Hivyo safari nzima mnavuta hewa ile ile, hii ndo sababu ya watu kujisikia hovyo wakati wa safari.

Hata design yenyewe ya mabasi hayana ventilation ukiwa umefunga madirisha.

Hivi hawa TBS hawaoni ubora wa haya mabasi kweli!

Umekuja lini mjini mkuu
 
Usiwe unaongea tu mkuu. Mtoa mada kasema aircon za mabasi hazibadilishi hewa ila zinapoza hewa ile ile Dar to Manyoukni. Ya kwa ofisi inatoa hewa chafu na kuingiza fresh air.
Tumia akili kidogo sio unaandika tu
Working principle ya AC ni sawa iwe ni ya ndege, ofisini, bajaj, bus n.k.
 
Mtoa hoja nakuunga kwa 100% a/c kwenye bus ni upuuzi tu,Tahmeed wananijua vzr nikipanda bus zao hali ikiwa ni tete nafungua vioo kama kawa tu.
Wanakujua kwa ushamba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom