Mabasi yenye kiyoyozi ni hatari!

Mabasi yenye kiyoyozi ni hatari!

Kinachoitwa maendeleo leo, basi ujue ni maondoleo!!!
Usafiri wa mabasi ya siku hizi yananikera sana!
Mabasi mengi hasa haya ya kichina namaanisha Yutong...yamefungwa Air conditioner, watu wengi hawajui ufanyaji kazi wa hizi AC.
AC kazi yake sio kuingiza hewa mpya ndani ya chumba ama ndani ya gari bali kuipoza hewa hiyo hiyo unayoivuta. Wenye mabasi hunikera wanaposema "abiria fungeni madirisha tumewasha AC" yaani maana yake tuendelee kuvuta hewa ya Carbon dioxide ambayo tumeishaipumua. Hivyo safari nzima mnavuta hewa ile ile, hii ndo sababu ya watu kujisikia hovyo wakati wa safari.
Hata design yenyewe ya mabasi hayana ventilation ukiwa umefunga madirisha.

Hivi hawa TBS hawaoni ubora wa haya mabasi kweli!
Kuna vitu vitatu vinahisikika hapa...

1.. Compressor
2. Condenser
3. Evaporator

Mfumo huu hautofautiani na wa friji.. ila katik autendaji kazi friji inapooza sehemu ndogo....

Kwenye Condenser kuna kimiminika ambacho huwa kinapooza hewa kutoka kwenye compressor kabla ya kuifikisha kwenye Evaporator ambayo huachilia hewa iliyopoa ndani...

Kwa maana hiyo huwa kuna exchange ya hewa kwenda nje na kurudi ndani... Na sio kupooza Carbon dioxide kama ulivyoainisha...!
 
AC kazi yake sio kuingiza hewa mpya ndani ya chumba ama ndani ya gari bali kuipoza hewa hiyo hiyo unayoivuta.
AC kwenye magari ambayo nimeendesha ni kuwa kuna chaguzi mbili: 1. hewa kuzunguka ndani ya gari, 2. hewa kutoka nje ya gari. Lakini matokeo ni yale yale kuwa utapata ubaridi na oksijeni.
Sifahamu vizuri kuhusu hayo mabasi ila hiyo inaonekana ndio standard ya AC ya kwenye gari.

Wenye mabasi hunikera wanaposema "abiria fungeni madirisha tumewasha AC" yaani maana yake tuendelee kuvuta hewa ya Carbon dioxide ambayo tumeishaipumua.

Hivyo safari nzima mnavuta hewa ile ile, hii ndo sababu ya watu kujisikia hovyo wakati wa safari.
Haiwezekani mwanadamu (mnyama) kuvuta carbon dioxide (CO2), na kukaa muda wote huo bila oksijeni (O2). Ukiona mmemaliza safari salama, basi ujue ulikuwa unavuta O2 na sio CO2. Vipi, Biolojia ulikuwa unakosa vipindi kama umepitia O'level?

Hivi hawa TBS hawaoni ubora wa haya mabasi kweli!
Tatizo lako unaona kinyume, yaani kilicho bora kwako sio bora.
 
Mkuu kinachofanyika kwenye air conditioning system ni kwamba kuna system inavuta hewa kutoka nje then inakua filtered kuondoa uchafu baada ya hapo ina exchange temperature na coolant ya kwenye ac (coolant inakua na temperature ndogo sana hivyo ikikutana na ile hewa yenyewe inakua ya moto na hewa inakua ya baridi). then hewa baridi yenye ubaridi inaingia ndani ya gari kupitia zile vent au outlet za ac. Sio kwamba unavuta hewa ileile no hapo ni sawa na kufungua madirisha ila ni namna nyingine tuu imetumika.
 
Mkuu hapa nimepanda Dar Lux from Dar to Nairobi. Full AC.

Mwendo Ni murua kabisa.

Nasoma kitabu Cha Marehem Dr. Mengi.

I Can, I Will, I Must.
 
Hueleweki kabisa ebu tuchue mfano huu tupo dar tuna gari ndogo joto ni kali.je tukifunga vioo na kuwasha ice ni kosa?
Kinachoitwa maendeleo leo, basi ujue ni maondoleo!!!

Usafiri wa mabasi ya siku hizi yananikera sana!

Mabasi mengi hasa haya ya kichina namaanisha Yutong yamefungwa Air conditioner, watu wengi hawajui ufanyaji kazi wa hizi AC.

AC kazi yake sio kuingiza hewa mpya ndani ya chumba ama ndani ya gari bali kuipoza hewa hiyo hiyo unayoivuta.

Wenye mabasi hunikera wanaposema "abiria fungeni madirisha tumewasha AC" yaani maana yake tuendelee kuvuta hewa ya Carbon dioxide ambayo tumeishaipumua.

Hivyo safari nzima mnavuta hewa ile ile, hii ndo sababu ya watu kujisikia hovyo wakati wa safari.

Hata design yenyewe ya mabasi hayana ventilation ukiwa umefunga madirisha.

Hivi hawa TBS hawaoni ubora wa haya mabasi kweli!
 
Wenye mabasi hunikera wanaposema "abiria fungeni madirisha tumewasha AC" yaani maana yake tuendelee kuvuta hewa ya Carbon dioxide ambayo tumeishaipumua.
Unaijua vizuri cobcept ya aircondioning au unaropoka tu?
Uwe unafanya utafiti wa kutosha
Kama hayo mabasi yanapoiza hewa tunayoitoa tu,watu wangekufa kwa kukosa oxygen
Ukiona mtu anapata tabu kwenye mazingira ya kiyoyozi ujue mfumo wake wa kupumua haupo sawa,nenda hospitali
 
Kinachoitwa maendeleo leo, basi ujue ni maondoleo!!!

Usafiri wa mabasi ya siku hizi yananikera sana!

Mabasi mengi hasa haya ya kichina namaanisha Yutong yamefungwa Air conditioner, watu wengi hawajui ufanyaji kazi wa hizi AC.

AC kazi yake sio kuingiza hewa mpya ndani ya chumba ama ndani ya gari bali kuipoza hewa hiyo hiyo unayoivuta.

Wenye mabasi hunikera wanaposema "abiria fungeni madirisha tumewasha AC" yaani maana yake tuendelee kuvuta hewa ya Carbon dioxide ambayo tumeishaipumua.

Hivyo safari nzima mnavuta hewa ile ile, hii ndo sababu ya watu kujisikia hovyo wakati wa safari.

Hata design yenyewe ya mabasi hayana ventilation ukiwa umefunga madirisha.

Hivi hawa TBS hawaoni ubora wa haya mabasi kweli!
kama basi limeshapata vibali vyote mpaka unaoana linatembea jiulize hiyo injini,umeme,mafuta,ac vilitengenezwa kwa kubahatisha ,unalitia aibu taifa,hata ukiulizwa umeme unakuaje sizani kama utatupa jibu
 
Kinachoitwa maendeleo leo, basi ujue ni maondoleo!!!

Usafiri wa mabasi ya siku hizi yananikera sana!

Mabasi mengi hasa haya ya kichina namaanisha Yutong yamefungwa Air conditioner, watu wengi hawajui ufanyaji kazi wa hizi AC.

AC kazi yake sio kuingiza hewa mpya ndani ya chumba ama ndani ya gari bali kuipoza hewa hiyo hiyo unayoivuta.

Wenye mabasi hunikera wanaposema "abiria fungeni madirisha tumewasha AC" yaani maana yake tuendelee kuvuta hewa ya Carbon dioxide ambayo tumeishaipumua.

Hivyo safari nzima mnavuta hewa ile ile, hii ndo sababu ya watu kujisikia hovyo wakati wa safari.

Hata design yenyewe ya mabasi hayana ventilation ukiwa umefunga madirisha.

Hivi hawa TBS hawaoni ubora wa haya mabasi kweli!
Nunua mtungi wa oxygen uwe unasafiri nao.
 
Wewe jamaa na yule anaejiita #mwanahabarihuru wote ni viazi kabisa, naye aliwahi kutuletwa maada kuhusu Gas yaani nilishangaa sana.

Mpaka msomaji unaona aibu

Unajiuliza huyu anajua anachoandika ama?
 
Mpeni majibu aelewe jamani msimzodoe

Mkuu kazi ya ac ni kupoozesha au kuongeza joto la hewa, kuongeza unyevu wa hewa au kupunguza ( humidification or drying, heating or cooling), mantiki ya kufunga madirisha ni kuwezesha ac kufanya kazi ktk uwezo wake halisi ( load capacity ) kama kukiwa kuna hewa inayoingia na kutoka kwa gari ac itazidiwa uwezo, kumbuka ile hewa iliyopoozwa itakua bado inazunguka ndani ya gari hivyo ac itatutmia nguvu kidogo kuendelea kupooza hewa iliyopo ndani, mkifungua madirisha maana yake ni mnailazimisha ac ipooze dunia yote, haiwezi kwa hiyo itazidiwa uwezo, ndio maana kila ukitaka kuwasha ac hakikisha umefunga madirisha ( ac yenyewe inauwezo wa kuingiza hewa ndani na kuipooza na kuisambaza kwa hyo ata ukifunga madirisha poa tu)
Asante mkuu at least wewe nimekuelewa, wengine wamekazana tu kutaka kum'kata makofi mtoa mada lakini wao wameshindwa kueleza Ac inafanyaje kazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom