Mabasi yenye kiyoyozi ni hatari!

Mabasi yenye kiyoyozi ni hatari!

Mkuu mtu ukivuta Carbondioxide unakufa so kama hewa husafishwa na kurudishwa kutumika tena shida ipo wapi. Mbona unapanda ndege kwa masaa 24 tena mkiwa 800+ kwenye ndege moja na mnafika salama
Kinachoitwa maendeleo leo, basi ujue ni maondoleo!!!

Usafiri wa mabasi ya siku hizi yananikera sana!

Mabasi mengi hasa haya ya kichina namaanisha Yutong yamefungwa Air conditioner, watu wengi hawajui ufanyaji kazi wa hizi AC.

AC kazi yake sio kuingiza hewa mpya ndani ya chumba ama ndani ya gari bali kuipoza hewa hiyo hiyo unayoivuta.

Wenye mabasi hunikera wanaposema "abiria fungeni madirisha tumewasha AC" yaani maana yake tuendelee kuvuta hewa ya Carbon dioxide ambayo tumeishaipumua.

Hivyo safari nzima mnavuta hewa ile ile, hii ndo sababu ya watu kujisikia hovyo wakati wa safari.

Hata design yenyewe ya mabasi hayana ventilation ukiwa umefunga madirisha.

Hivi hawa TBS hawaoni ubora wa haya mabasi kweli!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vizuri kuficha ujinga kwa kunyamaza.Hufahamu AC inafanyaje kazi.Hewa anayovuta binadamu ni Oksijeni na anayotoa ni hewa ya ukaa(carbondioxide),sasa unadhani unaweza kuendelea kuishi kwa kuvuta hewa ya ukaa iliyopozwa?
Kinachoitwa maendeleo leo, basi ujue ni maondoleo!!!

Usafiri wa mabasi ya siku hizi yananikera sana!

Mabasi mengi hasa haya ya kichina namaanisha Yutong yamefungwa Air conditioner, watu wengi hawajui ufanyaji kazi wa hizi AC.

AC kazi yake sio kuingiza hewa mpya ndani ya chumba ama ndani ya gari bali kuipoza hewa hiyo hiyo unayoivuta.

Wenye mabasi hunikera wanaposema "abiria fungeni madirisha tumewasha AC" yaani maana yake tuendelee kuvuta hewa ya Carbon dioxide ambayo tumeishaipumua.

Hivyo safari nzima mnavuta hewa ile ile, hii ndo sababu ya watu kujisikia hovyo wakati wa safari.

Hata design yenyewe ya mabasi hayana ventilation ukiwa umefunga madirisha.

Hivi hawa TBS hawaoni ubora wa haya mabasi kweli!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ndani ya gari hamna hewa nzuri kama ile ya in-car circulation

Ukiweka tu mode ya kutoka nje yani unasikia moshi na vumbi fastaaa dk 2 nyingi

Msalimieni mzungu shkamoooo
 
Kinachoitwa maendeleo leo, basi ujue ni maondoleo!!!

Usafiri wa mabasi ya siku hizi yananikera sana!

Mabasi mengi hasa haya ya kichina namaanisha Yutong yamefungwa Air conditioner, watu wengi hawajui ufanyaji kazi wa hizi AC.

AC kazi yake sio kuingiza hewa mpya ndani ya chumba ama ndani ya gari bali kuipoza hewa hiyo hiyo unayoivuta.

Wenye mabasi hunikera wanaposema "abiria fungeni madirisha tumewasha AC" yaani maana yake tuendelee kuvuta hewa ya Carbon dioxide ambayo tumeishaipumua.

Hivyo safari nzima mnavuta hewa ile ile, hii ndo sababu ya watu kujisikia hovyo wakati wa safari.

Hata design yenyewe ya mabasi hayana ventilation ukiwa umefunga madirisha.

Hivi hawa TBS hawaoni ubora wa haya mabasi kweli!
Mkuu ulishawahi kumiliki japo Vitz? Kuna kakibonyezo ka hewa ya nje au ndani. Fuatilia mfumo wa AC utajua umekurupuka.

Itabidi Rais Magufuli awe anatembea vioo wazi ikiwa ndio hivo. Pitia upya tafiti yako
 
Kinachoitwa maendeleo leo, basi ujue ni maondoleo!!!

Usafiri wa mabasi ya siku hizi yananikera sana!

Mabasi mengi hasa haya ya kichina namaanisha Yutong yamefungwa Air conditioner, watu wengi hawajui ufanyaji kazi wa hizi AC.

AC kazi yake sio kuingiza hewa mpya ndani ya chumba ama ndani ya gari bali kuipoza hewa hiyo hiyo unayoivuta.

Wenye mabasi hunikera wanaposema "abiria fungeni madirisha tumewasha AC" yaani maana yake tuendelee kuvuta hewa ya Carbon dioxide ambayo tumeishaipumua.

Hivyo safari nzima mnavuta hewa ile ile, hii ndo sababu ya watu kujisikia hovyo wakati wa safari.

Hata design yenyewe ya mabasi hayana ventilation ukiwa umefunga madirisha.

Hivi hawa TBS hawaoni ubora wa haya mabasi kweli!
Hivi umesoma air conditioning course au unatype tu kwakuwa Una simu?? Unajua kwanini zile machine zinazofungwa nje huwa zinatoa Maji?? Tatizo Wabongo wanapenda kuongea Bila Elimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachoitwa maendeleo leo, basi ujue ni maondoleo!!!

Usafiri wa mabasi ya siku hizi yananikera sana!

Mabasi mengi hasa haya ya kichina namaanisha Yutong yamefungwa Air conditioner, watu wengi hawajui ufanyaji kazi wa hizi AC.

AC kazi yake sio kuingiza hewa mpya ndani ya chumba ama ndani ya gari bali kuipoza hewa hiyo hiyo unayoivuta.

Wenye mabasi hunikera wanaposema "abiria fungeni madirisha tumewasha AC" yaani maana yake tuendelee kuvuta hewa ya Carbon dioxide ambayo tumeishaipumua.

Hivyo safari nzima mnavuta hewa ile ile, hii ndo sababu ya watu kujisikia hovyo wakati wa safari.

Hata design yenyewe ya mabasi hayana ventilation ukiwa umefunga madirisha.

Hivi hawa TBS hawaoni ubora wa haya mabasi kweli!
Kwenye ndege vipi Mheshimiwa?
 
Kabla ya kuandika uliza ujue utendaji kazi wa A/C, unapotumia A/C inatakiwa chumba kifungwe ili kuzuia hewa ya nje isiingie ndani na kutengeneza unyevunyevu unaoweza kusababisha vichomi ukivutwa, pia A/C inakidhibiti baridi ikifikia kipimo ulichoweka na kuizima, endapo hewa itaingia kama usemavyo basi A/C itafanya kazi mfululizo na kuichosha pia kutumia nishati kubwa bila sababu.
 
Kinachoitwa maendeleo leo, basi ujue ni maondoleo!!!

Usafiri wa mabasi ya siku hizi yananikera sana!

Mabasi mengi hasa haya ya kichina namaanisha Yutong yamefungwa Air conditioner, watu wengi hawajui ufanyaji kazi wa hizi AC.

AC kazi yake sio kuingiza hewa mpya ndani ya chumba ama ndani ya gari bali kuipoza hewa hiyo hiyo unayoivuta.

Wenye mabasi hunikera wanaposema "abiria fungeni madirisha tumewasha AC" yaani maana yake tuendelee kuvuta hewa ya Carbon dioxide ambayo tumeishaipumua.

Hivyo safari nzima mnavuta hewa ile ile, hii ndo sababu ya watu kujisikia hovyo wakati wa safari.

Hata design yenyewe ya mabasi hayana ventilation ukiwa umefunga madirisha.

Hivi hawa TBS hawaoni ubora wa haya mabasi kweli!
Usitoe maelezo ya jambo ambalo hata wewe mwenyewe haulielewi. Ni bora kuuliza kwa wajuzi wakueleze mfumo wa ufanyaji kazi wa AC.
 
Wewe nawe ndo walewale mboga kabisa Sijui mlikimbia umande [emoji2959][emoji2959][emoji2959]
Waelekezeni jamani hata kwenye gari Kuna systems zinazoruhusu hewa safi kutoka nje na kuingia ndani,hao hao wanakunywa mwisho watasema vyakula vilivyotunzwa kwenye friji havipo salama
 
Mtu ajambe sasa

Au avue soksi

Humo ndani

Ova
 
Mtoa mada leo aangaliwe kwa ukaribu, anaweza kujinyonga kwa kujiona yeye ndo Rais wa wajinga Duniani. Ndo maana mim kabla ya kukurupuka kuuliza kitu huwa nagoogle kwanza. Nin hiki hahhahahhaahahahah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom