Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,449
- 2,394
Bty ilikuwa meridian engine nyuma sasaivi ina mashine mbele scania 114-380Bty ni gari amabyo ipo barabarami karibu Miaka kumi ikiingiza revenue .
Gari ya kichina haina maisha hayo
Bty ilikuwa meridian engine nyuma sasaivi ina mashine mbele scania 114-380Bty ni gari amabyo ipo barabarami karibu Miaka kumi ikiingiza revenue .
Gari ya kichina haina maisha hayo
Majinjah Dar swanga anapakia mzigo hadi wa mil 3 chuma ikishusha ukapakia kwenye canter haiondoki.Mzee baba, hapo umesema uongo, costs za kuendesha hizo gari ni sawa, Utofaut wa gharama upo kwenye manunuzi , na hiyo trip uliyosema Majinja ataingiza pesa zaidi manake anakula mzigo haswa, michina haipaki mizigo...
Soko la sasa ni la ushindani unatakiwa kwenda nalo kwa wakati huwezi tumia bus miaka 10 wenzio wanabadili we una lile lile abiria wa bongo wanakukimbia kawaida abiroa hawajui hilo la kusema hii ni yuyong hii ni scania neverMzee baba, hapo umesema uongo, costs za kuendesha hizo gari ni sawa, Utofaut wa gharama upo kwenye manunuzi , na hiyo trip uliyosema Majinja ataingiza pesa zaidi manake anakula mzigo haswa, michina haipaki mizigo
Scania atanunua bei juu, ila hiyo bus hata miaka 20 ataitumia na zaidi
mchina bei ndogo ila miaka 3 bus haifai, atambidi anunue nyingine, nani anafaidi hapo?
DPP zilikuja zikiwa kama frester zikiwa mpyaa hazijawahi kuwa new forceKuna watu wanafhani biashara ya gari ni calculator tu.
Hiyo frester Dpp ilimilikiwa na New force ikiwa mpya , then akaiuza kwa huyo frester , infact frester amenunua zaidi ya gari 10 kutoka New force , basi mpya kwake ni chache sana.
Hakuna kitu wamebadili kidogo face tuu na mikanda pembeni basi hakuna kipya ni kama Zhou tuu kwingins kote vile vileYoutong ametoa F12+ upgrade, nadhani zitakua imara sana
✌️✌️✌️🙏Mkuu sasa hivi wapo watu wanazo unajua ishu ya gari ukanda huu watu wanaulizana kwanza vipuri kama sio vya kuagiza ndio wananunua hiyo Man ndio engine diesel iliyofanyiwa majaribio inaweza kwenda umbali mrefu mkawa mnabadili madereva tuu yenyewe hata isizime na itaenda KM za kutosha, test yake ilikua America ya kusini mpaka kaskazini hizi Benz, Scania, Volvo zote zilichemka yenyewe ilifika na mzigo MAN DIESEL...
Sasa kwenye matumizi ya magari ni taarifa ndio power ni kama Zimbabwe watu wa pale wananunua sana International hizi brand zingine zipo ila kwa kiwango kidogo na kweli International mpaka isumbue sio leo ila ukiwauliza wazee wa 113 watakuambia hakuna kitu...
Sio malory hata mabasi likiwa jipya utalipenda ila likishaanza mambo yake hata scania haziingii ndani miezi kadhaa New force alipiga marufuku madereva wake kama watatumia lita zaidi ya 700 kwenda tunduma na kurudi basi watakatwa posho nikashangaa sana zhongtong ile zaidi ya 700??Kweli kabisa , Cha ajabu gari ya kichina huwa haimaintain fuel economy kadiri inavyozeeka , katika machweo yake gari ya kichina huwa very heavy kwenye mafuta, niliona faw moja iliyozeeka ulaji wake wa mafuta ulikuwa majanga
Kweli upo vizuri mkuu. Akibisha na abishe tuKiduku , unaifahamu habari ya Volvo? Kwamba ni lege lege 750 hp@3550Nm torque?
Unafahamu the latest Mercedes 2020, 1863 ambayo ndio the top specs Ina Power rating za scania R620 ambayo ipo barabarami toka 2008?
Kukusaidia tu Merc 2020 , 1863 mirror less Ina 630 go na torque ya 3000Nm.
Scania R620 V8 ya 2008 Ina 620 Hp @2900Nm
Merc zilikuwa ni na zitabaki kuwa gari popular lakini haimaanishi kuwa ni gari bora.
Unafanya interior design fresh tu, linaenda na wakatiSoko la sasa ni la ushindani unatakiwa kwenda nalo kwa wakati huwezi tumia bus miaka 10 wenzio wanabadili we una lile lile abiria wa bongo wanakukimbia kawaida abiroa hawajui hilo la kusema hii ni yuyong hii ni scania never
Ishu ni kwenye makato DPP haijarudisha hela ilihali BTY haidaiwi majinja ndio anapiga faidia sababu hana rejesho benk kama DPP ambayo bado haijarudisha faida
Stability ni hali ambayo unakuwa speed na huoni gari kuyumba. Mfano ukiendesha Benzi GLE/GLS ukiwa hata 180kph unaona kitu kimenata barabarani hakiyumbi. Ila ukiwa kwenye Harrier ikiwa 140kph unaona kitu kinayumba na kimekuwa chepesi hatari.Wakuu hivi
Kwenye gar mkisema stability, comfortable mnamaana gani
Mizani inakuwaje? Haizidi uzito?Majinjah Dar swanga anapakia mzigo hadi wa mil 3 chuma ikishusha ukapakia kwenye canter haiondoki.
Oho nashukuru mkuuStability ni hali ambayo unakuwa speed na huoni gari kuyumba. Mfano ukiendesha Benzi GLE/GLS ukiwa hata 180kph unaona kitu kimenata barabarani hakiyumbi. Ila ukiwa kwenye Harrier ikiwa 140kph unaona kitu kinayumba na kimekuwa chepesi hatari.
Comfortable ni ile hali ukiwa kwenye gari hata ikiwa inapita kwenye makorogesheni wewe wa ndani huyasikii. Unaona upo tambarare.
Njoo unywe soda mkuuEither hujui au haupo makini, gari kukimbia ni kitu kimoja na gari kuhimili kukimbia ni kitu kingine kabisa , mabasi yana speed limit ya 85km/h, lakini wastani wa mwendo hutofautiana kadiri engine inavyokuwa dhaifu milimani.
Mchina basi karibu zote anatumia technology ya euro 1, mechanical injector pump na nozzle , scania za f95 ni euro 5, common rail fuel injection , variable geometry turbocharger etc Ni very efficient, kiasi kwamba waliamua kupunguza cylinder moja , kwa option za mabasi,
F95 Ina uwezo wa kumaintain speed ya 85 kwa kipande kirefu, ndo maana sauli inakuwa ya kwanza kila siku
Sent
Sauli mwanaume wa Ubungo kumiliki Benz pekee yake 800 mill sio utani
Scania za sauli ziko road mwaka wa 3 sasa, ukiziona,ukipanda bado kama mpya.Inapakia idadi ya abiria ile ile kwa nauli ile ile mbaya zaidi ishafunguliwa engine zaidi ya mara 3 sometimes biashara ni akili ili upate faida