t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 6,357
- 14,741
Siwezi kuangalia owners nikaacha kuwasikiliza drivers!
drivers wapo na gari mda mwingi kuliko owners hivyo wao ndiyo wanaweza kuzungumZia performance ya gari katika uhalisia na siyo makaratasi!
Kama misimamo wako ndio huo utakuwa umeamua kujiingiza Chaka mwenyewe
Driver yupo kwa ajili ya maslahi tu yeye sana sana atatoa maoni ya comforts hatazungumzia hata fuel economy. owners ndio wenye mitaji ya kampuni , truck brand kama sio reliable litaumiza accounts za owner sio driver
Kuhusu performance zinaanza kwenye karatasi , na Bei za trucks huwa zina reflect performance claimed , wenzetu wanaponunua trucks huwa wanasoma specs na kuamua kitu kipi wanunue , sisi huku tunasikiliza ni kitu kipi maarufu,