Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 4,952
- 12,527
Mkuu hapo kwenye cabin hizo figure nilidhani ni engine displacement kisha inafuata horsepower kumbe sikuwa sahihi.Huu mjadala wa daf niliukwepa hapo juu baada ya kugundua mnajadili daf za kwenye makaratasi.
Daf CF 85 yenye 9l ina 360hp, wewe hiyo ya 8500cc with 410hp umeitoa wapi? Au ukiona pale mlangoni imeandikwa 85.410 unafikiri 85 ndiyo 8500cc?
Hiyo CF 85.410 ina 13l engine displacement. Lazima ujue 65,75,85,95,105 &106 ain't indicate engine displacement
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Miaka 4 iliyopita nilipokuwa Morogoro nilikuwa na rafiki yangu fundi wa Maroli pale Msamvu karibu na Midland Hotel yeye ana gereji yake pale na nje kuna Daf kama mbili zimepaki.
Alikuwa akisifia sana uwezo wa Daf na yeye alikuwa na msemo wake anasema Daf hata ikipewa mzigo mzito itafika popote na Kwa spidi.
Kama ni mkongwe utakuwa unamjua alikuwa anapiga sana ishu za kuset nozzle za diesel engine maarufu kama Mzee wa 0.5 km