t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 6,375
- 14,776
Hiyo ratio ya Lori ni kwa gari gani na njia ipi? , 0.2 empty na 0.4 loaded ? Utakuwa unatengeneza pesa nyingi Sana kwenye hiyo biasharaSasa kama anatumia 280ltr kucover 700km wakati lori tupu 280 linacover km 1200, na likiwa na mzigo km 1200 linafika kwa lita 490 vizuri kabisa, huoni mzani unalalia wapi?
Sent