Danpol
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 5,682
- 8,809
Huyo sio Mchina mkuuHuu ni ukweli
Mfano Majinjah anafukia mashimo ya Kyela hadi aibu
Huyo sio Mchina mkuuHuu ni ukweli
Mfano Majinjah anafukia mashimo ya Kyela hadi aibu
Nyingi zimekufa kaka anauza mabody sasaivi amebaki na gari 7 tu barabarani marcopolo zilikuwa 7 ameuza 2 kwa zuberi na tatu kwa Kilimanjaro mbili zipo yard juu ya mawe barabarani amebakisha Higer 5 na yutong 2Zipo. KAchanganya marcopolo na Higer za mchina
Fake hii game ya EURO TRUCK SIMULATOR sio halisiYupo njiani.View attachment 1491639
acha utan mkuuKwa sasa amebakiwa na bus 7 tu barabarani
True ruti ya arusha kaua nairobi kaua kahama na bukoba kaua now ni mwanza na mbeya tuu.acha utan mkuu
True ruti ya arusha kaua nairobi kaua kahama na bukoba kaua now ni mwanza na mbeya tuu.acha utan mkuu
huyu mwamba namna alivyoyumba nilijikuta najiuliza hiyo pesa alipatajeTrue ruti ya arusha kaua nairobi kaua kahama na bukoba kaua now ni mwanza na mbeya tuu.
Terious ina double tyres?Izo body hapo zilikuwa dar lux marcopolo zile zile na hapo unaona Kilimanjaro anafanya manuva kuvisha chasis ya scania baada kitoa takataka za kichina View attachment 1492715
huyu mwamba namna alivyoyumba nilijikuta najiuliza hiyo pesa alipataje
Walijaribu Arusha to Mbeya, Mwanza to Mbeya. Waliishia njianiSema moja ya sababu! Mkuu scania weka mbali na mchina. Route za masafa marefu na zenye milima ndo utajua scania ni baba lao ukitaka muulize mchina why hana route ya mwanza mbeya
TerialsTerious ina double tyres?
Akili yako imekwambia hapo nimezungumzia lori? Nimekwambia bus zenye mashine hizo acha kukurupuka kama hujui! Mie sijawahi endesha lori so kila ninachojibu ni kuhusu bus... Au akili yako inakwambia lori lenye mzigo litatumia lita 280 kwa km 700??nadhan uzi unajieleza ,sio gari za mizigo ..tuna basi mchina vs msweden
Tena jibu langu linajieleza "nilikuwa natembea na bus" halafu unakuja umekurupuka tu ili uwahi kujibu!! Soma kwanza uelewe mdogo angu. Au ulikuwa unawahi darasani?nadhan uzi unajieleza ,sio gari za mizigo ..tuna basi mchina vs msweden
Toka 2002 mpaka leoMacropolo za Abood zipo fresh na zimekula chumvi
Akili yako imekwambia hapo nimezungumzia lori? Nimekwambia bus zenye mashine hizo acha kukurupuka kama hujui! Mie sijawahi endesha lori so kila ninachojibu ni kuhusu bus... Au akili yako inakwambia lori lenye mzigo litatumia lita 280 kwa km 700??
Stress za maisha zinakuua , pambana na hali yakoTena jibu langu linajieleza "nilikuwa natembea na bus" halafu unakuja umekurupuka tu ili uwahi kujibu!! Soma kwanza uelewe mdogo angu. Au ulikuwa unawahi darasani?
Pole sana!! Jaribu kujichanganya na watu usije ukajiua!Stress za maisha zinakuua , pambana na hali yako
114 huko kwenu nj kwaajili ya abiria?Pole sana!! Jaribu kujichanganya na watu usije ukajiua!
Itafute hiyo Mashine uikague ina injini gani na bodi hilo ni irizar toka Spain halafu linganisha na wachina wenu hao sijui Zhongtong, Yutong, Higer, Dragon mara sijui Sunlong114 huko kwenu nj kwaajili ya abiria?