Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Sasa kama anatumia 280ltr kucover 700km wakati lori tupu 280 linacover km 1200, na likiwa na mzigo km 1200 linafika kwa lita 490 vizuri kabisa, huoni mzani unalalia wapi?
Hiyo ratio ya Lori ni kwa gari gani na njia ipi? , 0.2 empty na 0.4 loaded ? Utakuwa unatengeneza pesa nyingi Sana kwenye hiyo biashara

Sent
 
Hausung zilitua used wakati zinakuja zilikuwa na jina la white star ni kampuni moja huko ulaya ila sio nchini spain, ni kweli ilitengenezwa spain ila halikuwa likitumika spain

pili sijui ilikuwa na mashine gani so siwezi kukubishia kama ni 114 basi itakuwa K114 hp haiwezi kuwa chini ya 380 uko sahihi.

Hausung zilikuja mbili alipiga dar njombe kisha akaongeza hadi madaba na kwa sasa nadhani zinabeba wanafunzi
K114 ilikuja Mara mbili 340 hp na 380hp

Sent
 
114 zipo za bus

K114 engine nyuma
114-330 aka F330 ni bus original
Hata 113 imeshawahi kuja Kama basi original, k113 za tawqqal matema beach , air msae na abood alikuwa nazo zilikuwa 5 speed na zilikuja mpya kabisa mashine nyuma.
114 Kama unavyo sema ilikuja Kama f330 na zilikuwa ni 8 speed kutoka kiwandani , irizar za dar express zilikuwa na engine hii ya 114 f330, Ottawa ,luwinzo Njombe , abood walikua nazo hizo basi

Kitaalamu f330 Ni chassis ya Lori , Ni Brazil tu ndo waliamua kuvisha chassis hiyo kwenye basi zao kutokana na mazingira magumu ya huko kwao , na ndio sababu ilikuwa inakuja na gearbox ya range change (grs 808, 8 speed) ndio sababu f330 zilikuwa zinakuja na mlango wa abiria ukiwa Kati , hi ni sababu by default scania chassis ya Lori pneumatics valves zote zinakuwa upande wa kushoto mbele , sehemu ambayo kwa kawaida mlango wa abiria unatakiwa uwepo,
Ukiona basi yoyote ya scania mlango upo Kati , jua ipo kwenye chassis ya Lori,

Mkuu acha ubishi f330 ni chasis original ya bus we unaona dar express ana f330 body irizar spain unasema mambo ya brazil?? Ushawahi ona marcopolo f330?? F330 ni chasis original ya bus ndio maana hukuti lorry ina chasis ya f330 kamwe kama ipo nionyeshe nileft humu.
 
Mzungu kila anachounda anaunda kulingana na mazingira kaunda 330 na nyingi zimekuja tumiwa huku africa sababu ya mazingira korofi tuliyo nayo na hakuna lorry yenye chasis ya f330
 
Irrizar f330 sio body ya Spain , ni luxury body ya Brazil. katika Irrizar century class ambayo ndo hizo dar express , Ni f330 pekee ndio ilikuwa mlango Kati unalifahamu hilo? Nimepanda body hiyo ikiwa na chassis ya MAN Zimbabwe (chriss Vega) nimepanda pia volvo ikiwa katika body hiyo na zote zilikuwa na mlango wa abiria mbele kushoto . Sababu ya f330 kuwa na mlango Kati ni technical uliza guru yoyote wa scania ,
Kitaalamu pia gearbox ya range change haiko rasmi kwa ajili ya basi , Ni kwa ajili ya Lori, Ni complex na ghali pia ,F330 ilikuja na range change gearbox ya 8 speed, hujiulizi kwa nini? Mbona 95 inakuja na 6speed ?

Marcopolo sidhani Kama aliwahi kuwa na basi ya f330 , Ila nafahamu wakati irrizar inatoka na f330 marcopolo tayari alikuwa na k124 ,400, powerful kuliko hiyo f330, Kama utakumbuka CR. Zambia walikuwa nayo 8x2 miaka ya 2006. ilikuwa Ni double deck ile basi.
F330 ndio hiyo hiyo 114 340, mambo ya decimal points tu , engine Ni 10.6cc ndo hiyo 11cc @ 335 hp, ndo hiyo 340 unayoiona kwenye badge.

Sent
 
Mzungu kila anachounda anaunda kulingana na mazingira kaunda 330 na nyingi zimekuja tumiwa huku africa sababu ya mazingira korofi tuliyo nayo na hakuna lorry yenye chasis ya f330
F330 Kama basi haikuwa option kutoka kwa mzungu, ilikuwa Ni Brazil, , yes wao waliofanya hizo kwa kuwa Wana safari ndefu za njia korofi ndio sababu wakaamua kuifanya chassis hiyo kuwa basi !
Kwa taatifa yako hazikuuzwa nyingi hizo f330 hapa nyumbani na waliokuwa nazo karibia wanahesabika , zilikuwa ghali Kama chassis na zilikuwa heavy kwenye diesel sababu diff ratio ilikuwa ni kwa ajili ya mizigo (3 .08) ,

Nitajie mjenga mabody yoyote wa ulaya amabaye alitumia f330 Kama basi, ukiachana na irrizar brazzil ambaye kwa miaka hiyo alikuwa anahangaika na kuipiku marcopolo.

Sent
 
Hata 113 imeshawahi kuja Kama basi original, k113 za tawqqal matema beach , air msae na abood alikuwa nazo zilikuwa 5 speed na zilikuja mpya kabisa mashine nyuma.
114 Kama unavyo sema ilikuja Kama f330 na zilikuwa ni 8 speed kutoka kiwandani , irizar za dar express zilikuwa na engine hii ya 114 f330, Ottawa ,luwinzo Njombe , abood walikua nazo hizo basi

Kitaalamu f330 Ni chassis ya Lori , Ni Brazil tu ndo waliamua kuvisha chassis hiyo kwenye basi zao kutokana na mazingira magumu ya huko kwao , na ndio sababu ilikuwa inakuja na gearbox ya range change (grs 808, 8 speed) ndio sababu f330 zilikuwa zinakuja na mlango wa abiria ukiwa Kati , hi ni sababu by default scania chassis ya Lori pneumatics valves zote zinakuwa upande wa kushoto mbele , sehemu ambayo kwa kawaida mlango wa abiria unatakiwa uwepo,
Ukiona basi yoyote ya scania mlango upo Kati , jua ipo kwenye chassis ya Lori,

Sent
Mkuu Luwinzo hajawahi kumiliki scania special bus! Ila alichonga kenya body ila injini ni 114 iliandikwa nyuma KIUMENI.. Na Ottawa alikuwa na 114 za kuchonga hadi leo zipo! Ila zile Marcopolo zilikuwa 94, zilirudishwa SAAB SCANIA ila zile 114 hadi leo zipo japo sijui kama chasis ilikuwa ya bus au lori.. Ila nachojua body lilichongwa na kampuni ya choda kenya
 
Maelezo yamenyooka
 
Ewaaaaa! Mkuu una kumbukumbu nzuri sana , ilikuwa inaitwa kiumeni for some reason , sijasema kuwa ilikuwa Ni special body nakumbuka ilikuwa Ni body ya kuchonga , nilikuwa namfahamisha mdau habari za hizo 114 f 330 ., Kama unaikumbuka vzr ile basi ilikuwa na mlango Kati , a typical remedy for a lorry chassis.
Ottawa pia alikuwanazo hizo 114 zipo Hadi leo japo hazitembei

Sent
 
Irrizar sio body ya Spain , ni luxury body ya Brazil. katika Irrizar century class ambayo ndo hizo dar express , Ni f330 pekee ndio ilikuwa mlango Kati unalifahamu hilo? Nimepanda body hiyo ikiwa na chassis ya MAN Zimbabwe (chriss Vega) nimepanda pia volvo ikiwa katika body hiyo na zote zilikuwa na mlango wa abiria mbele kushoto . Sababu ya f330 kuwa na mlango Kati ni technical uliza guru yoyote wa scania ,
Kitaalamu pia gearbox ya range change haiko rasmi kwa ajili ya basi , Ni kwa ajili ya Lori, Ni complex na ghali pia ,F330 ilikuja na range change gearbox ya 8 speed, hujiulizi kwa nini? Mbona 95 inakuja na 6speed ?

Marcopolo sidhani Kama aliwahi kuwa na basi ya f330 , Ila nafahamu wakati irrizar inatoka na f330 marcopolo tayari alikuwa na k124 ,400, powerful kuliko hiyo f330, Kama utakumbuka CR. Zambia walikuwa nayo 8x2 miaka ya 2006. ilikuwa Ni double deck ile basi.
F330 ndio hiyo hiyo 114 340, mambo ya decimal points tu , engine Ni 10.6cc ndo hiyo 11cc @ 335 hp, ndo hiyo 340 unayoiona kwenye badge.

Sent
Irizar body ya Spain zipo mkuu hata hiyo Hausung niliyopost hapo ni ya Spain
 
Uko vyema sana mkuu.. Ni kweli ilikuwa mlango kati ilikuwa na uwezo ile gari hadi sio poa
 
Irizar body ya Spain zipo mkuu hata hiyo Hausung niliyopost hapo ni ya Spain
Upo sahihi pia irrizar Ni kampuni ya Spain , Ila hizi ninazozungumzia f330 zilitoka plant ya Brazil, nafikiri hzio zenu za kutoka Spain direct mlinunua Kama mtumba wa ulaya.

Hv kwann kampuni za hapa hua hazitengenez haya zikauza nje, Dar Coach nimeona wamezalisha lao wanaliita Tanzanite, liko vyema , ila sasa litaishia hapa hapa
(changamoto waliyonayo hata hapa wanaweza shindwa kuliuza)
 
Irrizar sio body ya Spain , ni luxury body ya Brazil. katika Irrizar century class ambayo ndo hizo dar express , Ni f330 pekee ndio ilikuwa mlango Kati unalifahamu hilo? Nimepanda body hiyo ikiwa na chassis ya MAN Zimbabwe (chriss Vega) nimepanda pia volvo ikiwa katika body hiyo na zote zilikuwa na mlango wa abiria mbele kushoto . Sababu ya f330 kuwa na mlango Kati ni technical uliza guru yoyote wa scania ,
Kitaalamu pia gearbox ya range change haiko rasmi kwa ajili ya basi , Ni kwa ajili ya Lori, Ni complex na ghali pia ,F330 ilikuja na range change gearbox ya 8 speed, hujiulizi kwa nini? Mbona 95 inakuja na 6speed ?

Marcopolo sidhani Kama aliwahi kuwa na basi ya f330 , Ila nafahamu wakati irrizar inatoka na f330 marcopolo tayari alikuwa na k124 ,400, powerful kuliko hiyo f330, Kama utakumbuka CR. Zambia walikuwa nayo 8x2 miaka ya 2006. ilikuwa Ni double deck ile basi.
F330 ndio hiyo hiyo 114 340, mambo ya decimal points tu , engine Ni 10.6cc ndo hiyo 11cc @ 335 hp, ndo hiyo 340 unayoiona kwenye badge.

Sent
Specification ulizotaja zijazibishia ni kweli zinawina na lorry lakini f330 sio chasis ya lorry ndio maana unaona hakuna lorry lenye chasis iyo sijui unanielewa mpaka hapo?? Dar ex pekee ndio ana f330 na sio za kimagumashi ni scania wenyewe ndio wamemkubalia zivishwe sababu ni bus Og, ingawaje specifications zinashabihiana ila huwezi pingana na fact kwamba f330 ni chasis ya bus na kuhusu gear transmission ni kweli bus og nyingi zinatumia gear 6 je nikuulize unajua F360 ina gear ngapi? Na ina tofauti gani na P360??
 
Hv kwann kampuni za hapa hua hazitengenez haya zikauza nje, Dar Coach nimeona wamezalisha lao wanaliita Tanzanite, liko vyema , ila sasa litaishia hapa hapa
(changamoto waliyonayo hata hapa wanaweza shindwa kuliuza)
Technology wanayotumia ulaya kujenga mabody ya mabasi Ni ghali mno sisi hatuwezi , wao wanatumia carbon composite na fibres kujenga kuta za body zao , sisi bado tunatumia mabati,
Hatutawaweza kamwe

Sent
 
Specification ulizotaja zijazibishia ni kweli zinawina na lorry lakini f330 sio chasis ya lorry ndio maana unaona hakuna lorry lenye chasis iyo sijui unanielewa mpaka hapo?? Dar ex pekee ndio ana f330 na sio za kimagumashi ni scania wenyewe ndio wamemkubalia zivishwe sababu ni bus Og, ingawaje specifications zinashabihiana ila huwezi pingana na fact kwamba f330 ni chasis ya bus na kuhusu gear transmission ni kweli bus og nyingi zinatumia gear 6 je nikuulize unajua F360 ina gear ngapi? Na ina tofauti gani na P360??

Tunabishana bure , nimekutolea tu fact ukiona basi mlango wa abiria unakuwa Kati , jua hiyo Ni chassis ya Lori
Kwenye lori unaponyanyua cabin, upande wa tairi la kushoto ndo kuna hizo pneumatics zote hapo , air drier , distribution valves and the likes , wanapounda , chassis ya basi toka kiwandani hizo valves hapo huwa Kuna different plumbings kuhamisha eneo Hilo ili mlango uwe accommodated, na Ni procedure tofauti kabisa at extra costs .

F330 ilianza Brazil na kusambaa nchi masikini tu , hata ulaya hazikuuzwa kwa sababu zilikuwa hazikidhi bus specification requirements za ulaya . Ni kama vile sisi tulivyokuwa tunageuza Kia kuwa basi (chai maharage Kama unazikumbuka) haikuwa standard ya basi but it worked for some reasons

Umeniuliza f360 Ina gia ngapi , jibu ni gia 6 F360 f310 zinakuja toka kiwandani Kama chassis ya basi, p360 Ina gia ngapi ? Jibu inategemea 8 au 12 kutegemeana na aliyemunua anaitumiaje

Mkuu una Kilimanjaro zinavishwa chasis gani na milango unaona daily ipo mbele bus kibao zina milango mbele icho sio kigezo cha f330 kusema ni lorry nimekuomba uniletee lorry f330 tuache kubishana hujaleta nimekuuliza f360 ina gia ngapi umesema 6 uko sure kuna opticruise ina gia 6??hata google haikukusaidia??
 
Kilimanjaro ana f330? Kaitoa wapi ? Kilimanjaro nafahamu ana p280 na nyingi hzio zilikuja Kama Lori na bado anazo zinabeba mizigo,
Yqp zile zote zina mlango mbele unajua kwa nini? Yeye huwa anahamisha ile plumbing ya valve pale mbele na kuileta katikati ya chassis ili mlango ukae , anafanya hivo kwa sababu yeye zile gari ni mtumba, ukifanya hicho kwenye chassis mpya ya scania , wanafuta warranty yote , ndio sababu wenye akilinzao huwa hawa temper hiyo kitu , wanahamisha tu mlango na kuuleta Kati, Ottawa peke yake ndo alifanya hivo bila kuogopa mambo ya warranty .
Swali lako la f360 nilijua limekaa kimtego na nimekujibu kimtego vile vile , 95 inakuja Mara mbili f310 na f360 , ikiwa manual inakuwa na 6speed Kama zile Sauli. ikiwa opticruise inakuja na gia 12
P360 inakuja na gia 8 na 12 manual or opticruise

Situmii Google kwenye scania mkuu , ipo kichwani.

Sent
 
Back
Top Bottom