Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Danpol

JF-Expert Member
Aug 15, 2013
4,097
2,000
Ulivyo mwehu!! nikutumie picha ya Bus lenye mashine hiyo? Ni injini nyuma 114 hp 380 tena sio haya yakuchongwa kenya au dar coach..
Mzee, bus uliyo endesha ni engine ya gari ya mizigo mmeweka wenyewe , mnatia 113,124 na 114, kimotco, osaka, kisbo na kampuni zinazo fanana na hizo hilo linajulikana ndio maana Oil consumption inaweza fika hadi 0.45 huko, tafuta manual book au peruz hapo mitandao ya hawa wanao zalisha haya mabus, hizi zinazokuja huku kwetu oil consumption zinarange 0.23 na 0.26
 
Salunbote Lyevedu

JF-Expert Member
Jan 5, 2015
663
500
Mzee, bus uliyo endesha ni engine ya gari ya mizigo mmeweka wenyewe , mnatia 113,124 na 114, kimotco, osaka, kisbo na kampuni zinazo fanana na hizo hilo linajulikana ndio maana Oil consumption inaweza fika hadi 0.45 huko , tafuta manual book au peruz hapo mitandao ya hawa wanao zalisha haya mabus, hizi zinazokuja huku kwetu oil consumption zinarange 0.23 na 0.26
Nimekwambia itafute hiyo mashine kwenye picha hapo usome acha kubwabwaja wewe!! Acha kukariri mambo! Hiyo bus imetoka spain kama unavyoiona ikiwa kama ilivyo halafu wewe uje utoe kelele zako hapa ambazo hazina maana! Hata hiyo scania 95 haili mafuta kiwango ulichosema wewe! Labda nikuwekee ushahidi pia wa hiyo gari.

Sisi ndo tulioanza kuingiza bus zenye mashine hiyo 95 mwaka 2009 mwishoni zilikuja 3 tu pale SAAB SCANIA mbili tukawa nazo sisi ziliandikwa Fatima Lupelo Express tulikuwa tunatumia lita 260 kwa km 714.. We unaleta habari za kusimuliwa na wauza korosho
 
Danpol

JF-Expert Member
Aug 15, 2013
4,097
2,000
Nimekwambia itafute hiyo mashine kwenye picha hapo usome acha kubwabwaja wewe!! Acha kukariri mambo! Hiyo bus imetoka spain kama unavyoiona ikiwa kama ilivyo halafu wewe uje utoe kelele zako hapa ambazo hazina maana! Hata hiyo scania 95 haili mafuta kiwango ulichosema wewe! Labda nikuwekee ushahidi pia wa hiyo gari.. Sisi ndo tulioanza kuingiza bus zenye mashine hiyo 95 mwaka 2009 mwishoni zilikuja 3 tu pale SAAB SCANIA mbili tukawa nazo sisi ziliandikwa Fatima Lupelo Express tulikuwa tunatumia lita 260 kwa km 714.. We unaleta habari za kusimuliwa na wauza korosho
mkuu, jifunze ku present hoja yako bila povu , acha kua keyboard worrior , hoja inaeleweka bila povu , asubuhi asubuhi siku haijachanga uko hivi, je ikifika mchana?? ni dalili za nn hz
 
Salunbote Lyevedu

JF-Expert Member
Jan 5, 2015
663
500
Mzee, bus uliyo endesha ni engine ya gari ya mizigo mmeweka wenyewe , mnatia 113,124 na 114, kimotco, osaka, kisbo na kampuni zinazo fanana na hizo hilo linajulikana ndio maana Oil consumption inaweza fika hadi 0.45 huko , tafuta manual book au peruz hapo mitandao ya hawa wanao zalisha haya mabus, hizi zinazokuja huku kwetu oil consumption zinarange 0.23 na 0.26
Hizi hapa ndo 95 hp 310 za kwanza kabisa kuingia nchini wengi waliziogopa kuwa zinatumia umeme zitasumbua sana.. Lakini hazikula mafuta kiwango ulichoandika
FB_IMG_1477573176494.jpg
 
tembajr

JF-Expert Member
May 27, 2016
841
1,000
Kama ni engine mbele utakuwa unatudanganya mkuu mfano halisi wa 114-380 ni majinja anazo nyingi sana hata BUL ni 114 380 ila chasis zile na engine katoa kwenye malori
Itafute hiyo Mashine uikague ina injini gani na bodi hilo ni irizar toka Spain halafu linganisha na wachina wenu hao sijui Zhongtong, Yutong, Higer, Dragon mara sijui Sunlong View attachment 1492968
Nimekwambia itafute hiyo mashine kwenye picha hapo usome acha kubwabwaja wewe!! Acha kukariri mambo! Hiyo bus imetoka spain kama unavyoiona ikiwa kama ilivyo halafu wewe uje utoe kelele zako hapa ambazo hazina maana! Hata hiyo scania 95 haili mafuta kiwango ulichosema wewe! Labda nikuwekee ushahidi pia wa hiyo gari.. Sisi ndo tulioanza kuingiza bus zenye mashine hiyo 95 mwaka 2009 mwishoni zilikuja 3 tu pale SAAB SCANIA mbili tukawa nazo sisi ziliandikwa Fatima Lupelo Express tulikuwa tunatumia lita 260 kwa km 714.. We unaleta habari za kusimuliwa na wauza korosho
Iyo lupelo ni CAIO kwa sasa ipo kwa NBS hadi leo inapiga kazi.
 
mlima wa mizeituni

JF-Expert Member
Sep 7, 2019
320
500
Stress za maisha zinakuua , pambana na hali yako
114 hiyo ni engine ya bus ?? hili ni bus limeundwa hapa hapa
Yani bus ilambe wese wastan wa 0.42 per KM?? iwe mchina iwe bennz iwe nani hazili huo wastani , huo ni wastan wa gari za mizigo ,ni o.23 hadi 0.26
Gari ya mizigo ikila hivyo mafuta tupa! Labda 113 ndo zinakula hivyo..

Bus consumption yake lazima iwe juu!
Inafikia wakati rpm inasoma 1600 huko.

hakuna mlima hakuna tambarare ni mwendo wa mbio tu! Safari ya siku mbili hadi tatu kwa lori wao wanatumia siku moja tu.
 
tembajr

JF-Expert Member
May 27, 2016
841
1,000
Gari ya mizigo ikila hivyo mafuta tupa! Labda 113 ndo zinakula hivyo..

Bus consumption yake lazima iwe juu!
Inafikia wakati rpm inasoma 1600 huko.

hakuna mlima hakuna tambarare ni mwendo wa mbio tu! Safari ya siku mbili hadi tatu kwa lori wao wanatumia siku moja tu.
Kwamba bus inakula wese kuliko lorry?
 
Salunbote Lyevedu

JF-Expert Member
Jan 5, 2015
663
500
Kama ni engine mbele utakuwa unatudanganya mkuu mfano halisi wa 114-380 ni majinja anazo nyingi sana hata BUL ni 114 380 ila chasis zile na engine katoa kwenye malori
Duuhh hatari sana! Yaani umequote panapojieleza kabisa ni injini nyuma na pia kuna picha ya hiyo Hausung hapo inamaana haieleweki ni injini mbele au nyuma hiyo? nashangaa maelezo yanasema kama ni injini mbele nadanganya
 
tembajr

JF-Expert Member
May 27, 2016
841
1,000
Hayo majibu yalikuwa ya ile Hausung sio hiyo CAIO mkuu! Hiyo Lupelo nimeituma baadae sana tena hiyo body ni Brazil
Hausung zilitua used wakati zinakuja zilikuwa na jina la white star ni kampuni moja huko ulaya ila sio nchini spain, ni kweli ilitengenezwa spain ila halikuwa likitumika spain

pili sijui ilikuwa na mashine gani so siwezi kukubishia kama ni 114 basi itakuwa K114 hp haiwezi kuwa chini ya 380 uko sahihi.

Hausung zilikuja mbili alipiga dar njombe kisha akaongeza hadi madaba na kwa sasa nadhani zinabeba wanafunzi
 
Salunbote Lyevedu

JF-Expert Member
Jan 5, 2015
663
500
Iyo lupelo ni CAIO kwa sasa ipo kwa NBS hadi leo inapiga kazi.
Haya naomba unisaidie ni bus gani la mchina lenye umri huo wa hiyo Lupelo ambalo hadi leo linapiga kazi! Watu tukiwaambia msweden atabaki kuwa juu wanapinga. Sisi tumeitembeza hiyo gari km 714 kila siku kwa mwaka na miezi 8 tena mwendo hasa.. Kipindi kile ukiwa speed ya kawaida ni 100 muda wote speed meter imelala na rpm inagonga 25
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom