Uloi nga mâché68
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 486
- 153
UHAROOO! Unafikiri kwa ma.... Tangu lini machinga wakapiga kura! Jidanganyeni tu. CCM haiwezi kung'olewa na mtu mmoja mwenye kupania kwenda IKULU kwa gharama yoyote
Mwalimu amkatae asimkatae kumbuka kuwa lengo ni kuing'oa ccm, jambo linalowatoa kijasho chembamba, pia usisahau Mwalimu alisema upinzani wa kweli utatoka ndani ya ccm, Kwa hiyo usikariri mistari, isome halafu changanya Na zako, ukizingatia wakati
Pasco vipi slaa kweli kaonndoka CHADEMA?
Finally showing your true colours...
Is good idea if will be like ' mungu ijaalie Tanzania amani msimu wote wa uchaguzi
Niwakati sasa wa CHADEMA na Dr. Slaa lujitokeza kuweka wazi polojo za magazeti. wafuasi wa Chadema wako katika hali ya wasiwasi
Media ni silaha kubwa sana katika siasa. Ikiwa ni kweli basi ujio wa Lowassa utaambatana na rapid expansion ya CHADEMA na UKAWA.
Chadema kilikuwa chama cha Ukombozi mpaka alipoingia Lowasa sasa kimekuwa Chama cha Matumaini! Kwa chama cha matumaini, ni vizuri wahamie kwenye magorofa marefu kule Samora ndo kwao. Wawaachie wakombozi ufipa yao!
Kama lengo makao makuu ya hadhi, basi chadema ingekuwa imeshahamia Bilcanas
Kwani ruzuku zilikuwa zinatolewa kujenga majengo au kujenga chama?
Itakuwa na maana gani kuwa na jengo la kisasa ilihali chama kikiwa kipo jijini Dar Es Salaam tu waliopo wakina Pasco wanaoenda kunusa habar?
Kwa hiyo alienda kulala ofisini mikocheni?Wewe ulitaka alale hapohapo?