Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,467
- 113,557
- Thread starter
- #161
Mkuu Chakaza, amini nakuambia mimi sijawahi kuwa Team Lowassa, na ni kweli safu iliishapangwa naijua na mimi sikuwemo, ila ni watu wangu, hivyo angeingia, kwa upande wangu ni matenda tuu ya serikali, tenda kuu ya kwanza ni consultancy ya kuanda Communication Strategies za MDAs, kila moja is TZS 50M. ila inakuwa inflated to TZS 100M. for kicks backs.P. akiona Uzi huu anaingia chumbani analiaaaa akimaliza anafuta machozi na kuja JF kushusha nondo za "kwa naslahi ya taifa".
Kwa nini analia? Anakumbuka wakati huo alikuwa na ndoto ya kuwa mkurugenzi wa Gerson wa magogoni
Sasa ni kweli nalia maana kale ka PPR kaliajiri watu 20 kakipanga full house ya NHC pale Mkwepu for rent ambayo ni mshahara wa DC!. Lakini baada ya kuingia Poti, tenda za Saba Saba na Nane Nane zimefutwa, nimepunguza wafanyakazi 15!, tumebaki 5!. Ofisi imehamia Posta House kwenye a single room!. Uchumi wa Magufuli: Sekta Binafsi ina-Suffer. Yalianza Maduka, Yakafuata Mashirika, Sasa ni Zamu ya Media Ina-suffer
Kiukweli tunaisoma number!, next week ni X-mass up to now hakuna hata dalili, this might be the first Christmas ya menu ya ugali maharage mlo mmoja kwa siku, usiku chai kavu, boxing day kitafunio muhogo wa kuchemsha!.
Hiki ni kishindo cha Awamu ya ...
P