Oga Sabinus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 471
- 1,396
Kipindi kile tulikuwepo mkuu. Salim Alikuwa waziri Mkuu kwenye utawala wa Nyerere kwa mwaka mmoja tu tena baada ya Sokoine kututoka lkn baada ya Mzee Mwinyi kuingia Madarakani Salim alirudishwa kama Naibu waziri Mkuu[1986-1989] na waziri wa ulinzi huku Waziri Mkuu kipindi hicho akiwa Joseph Warioba.No, Salim alikuwa waziri mkuu kabisa bwana baada ya kifo cha Sokoine na ndio akashinikiza rais Nyerere akakubali mitumba ingizwe nchini kwa kuwa watanzania walikuwa wakitembea nusu uchi.
Akina Salim walikuwa na kipawa cha uongozi lkn hawa tulio nao leo ni wachumia tumbo tu. Bure kabisa.