Maandamano ya waislamu yazuiwa

Maandamano ya waislamu yazuiwa

Kama nilivyosema na narudia kusema nguruwe ukicheka nae anaingia na wewe..........
sasa ndicho kinachoendelea sasa njia zote huku mjini zinafungwa kwa wajili ya punguan wachache
ukiwauliza nani kawaruhusu maandamano awana jibu na hii ni kutokana na kuachwa na kuchekewa
walipoanza na sensa

Raha ya sensa umpe ee bwana na Mwanga wa Ponda umuangazie apumzike segerea kwa Amani

amin

Ingekuwa police wa arusha ni lazima wangeua_wa dar kidogo wastaarabu.
 
Tutapewa mabikira 72 huko akhera.. "TUACHENI TUPUMUWE"
 
Kwahiyo kila Ijumaa siku hizi ni ulinzi tu kuanzia barabarani hadi angani? Kweli askari wamekosa kazi.
Askari ndiyo kazi yao kulinda usalama wa raia na mali zao...jiulize vizuri utajua ni akina nani waliokosa kazi...!
 
Tutapewa mabikira 72 huko akhera.. "TUACHENI TUPUMUWE"

itakuwa shughuli kweli kweli_maake mpaka uwamalize kuwabikiri hao 72...lazima jasho la damu likutoke...lo.
 
humu kuna watu punguani kweli, kwani maandamano ni kuvunja amani , kwani nani atakufa waislam wakiandamana. Acheni uchochezi jamani.
 
Nasikia Kariakoo Msikiti wa Idrisa Ndio Mabumu Yanagigwa Maeneo Hayo
 
Kwahiyo kila Ijumaa siku hizi ni ulinzi tu kuanzia barabarani hadi angani? Kweli askari wamekosa kazi.

Hii ndo kazi yao, kulinda raia na mali zao.......kwahiyo wewe unataka wakashike chaki wafundishe, au wawahudumie wagonjwa,
 
humu kuna watu punguani kweli, kwani maandamano ni kuvunja amani , kwani nani atakufa waislam wakiandamana. Acheni uchochezi jamani.

Punguani wewe usiojua madhara ya maandamano, waulize syria wao walianzaje
 
naingia posta sasa hivi pako shwari tu watu wanaendelea na shughuli zao kama kawaida.lakini nilipishana na defender 2 za polisi na gari moja la maji ya kuwasha likiwa linaelekea maeneo ya stesheni likitokea mnazi mmoja
 
YAANI MIMI MUISLAM LAKINI NATAMANI NINGEKUWA POLISI NIONE WAJINGAWAJINGA WANAANDAMANA NIWAPE NIDHAM.HAO WANAO VURUGA AMANI WANAITWA MA TWAGHUT.POLISI WAPENI CHA IJUMAA ILE.mimi naenda kuswalia zangu ubungo.

we umeenda shule vizuri na uislam unaujua.
 
Jamani hadi sasa ninavyoandoka niko maeneo ya Maktba Kuu- Posta sijaona maandamano yoyte japo kuna viji-FFU na silaha za moto
 
we umeenda shule vizuri na uislam unaujua.
ninaujua vyema na ninauamini na kisha naufuata. uislamu sio ujinga ujinga bwana.na laiti kila mtu angeujua na kuufuata dunia ingekuwa na hali safi.
 
kumekuchaaaaaaaaaaaa kumechaaaaaaaaaaaaa kumekuchaaaaaaaaaaaaa leooooooooooooooo cceeeeeeeeemuuuuuu cciiieeeeeeeeeeeeemuuuuuuuuuuuuuuuuuuu chama cha mapinduuuuuuuuuziiiiiii
 
Kama nilivyosema na narudia kusema nguruwe ukicheka nae anaingia na wewe..........
sasa ndicho kinachoendelea sasa njia zote huku mjini zinafungwa kwa wajili ya punguan wachache
ukiwauliza nani kawaruhusu maandamano awana jibu na hii ni kutokana na kuachwa na kuchekewa
walipoanza na sensa

Raha ya sensa umpe ee bwana na Mwanga wa Ponda umuangazie apumzike segerea kwa Amani

amin

pdidy wewe ni yule wa marekani eeh?
 
inasikitisha sasa siku maalumya kuabudu watu fulan serikali inafikiria akujaza magari mafuta ya maji ya kuwasha na vingora kisa akuogopa fujo jamani kwa nini serikali wasipige marufuku ijummaa kusali tusali woteeeee jumapili alafu tuone hiyo fujo wayo wajue si kila siku ni jumapiliiiiiiiiiiiiii

Dawa ni serikali kufunga makufuli ijumaaaaa nzimaaaaaaaaaaaaaaaa misikitin na kuawafungulia jumapili asbh tusALI ALAFU WAANDAMANE WAKRISTO TUTAOMBA SERIKALI MTUACHIE HII SIKU NI YETU MAALUM NA WAO WATUJUE TUPO
 
Back
Top Bottom