@bajabiri amepigwa ban kali yani mods nawashukuru sanaWapi BAJABIRi?haonekani jamvini na hizi ndio mada zake....Au ndio anajikoki kwa maandamano muda huu?
kwani muislamu ni nani?uislamu ni nini?uislamu tunajifunza kutoka kwa nani?na kwenye maandiko gani?baada ya kujijibu maswali haya;baada ya hapo utajua kati ya anae fanya fujo na kuwahujumu watu wasiokuwa na hatia na wale wanao yakwepa hayo waislam ni nani na wasiokuwa waislamu ni nani.wewe usitake kufanya mambo ya kipuuzi kwa kujificha nyuma ya uislamu utaenda motoni lazma.si kila anaedai muislam ni muislam na ataenda peponi.Fuata mafundisho ya uislam ili upate kurehemewa vinginevyo ukifuata matamanio yako na kufanya fujo hovyo mitaani badala ya kufanya mambo ya maana utaishia motoni.Heeh! Makubwa haya anajiita Muislam halafu anatamani kuuwa Waislam wenziwe ili awafurahishe makafiri, sasa huko ubungo unakwenda sali nini! Nadhani waislam wapo wengi humu lakini wamenyamaza basi hao walionyamaza ni bora zaidi mbele ya Mwenyezi Mungu kuliko wewe uliezihirisha chuki zako mbele ya ndugu zako. Tafakari.
Huu ni ukumbusho tu! Kwamba hawatorizika mayahudi na manaswara hadi pale utakafuata mila yao.
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
raba zinasaidia nini kama huna mbio?unaweza ukaenda ila usiende na vitu vinavyoweza kuvunjika.pia unashauriwa kuvaa raba.
maskini mimi na wahurumia wake wa watakao andamana leo maana wengi wao huenda wakakosa haki zao za ndoa kwa muda mrefu kidogo tangu sasa.maskini!
Nahisi Uislam ni kitu nyeti sana, tena nyeti kuliko nyeti tulizonazo..!
Acha kutusingizia kama una picha weka hapa...
talent show gani na wakati wengine wamedondoka angani kama viroba? tumeonesha udhaifu wetu hata kwa watu wa nje....