The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,100
- 13,698
Askari wa Miguu mwanangu umekurupuka. Hujui unachosema. Mimi sina tatizo na technicalities zinazoweza kusababisha mtu anyimwe bail. Pia sina ugomvi na exception to the general rule. Ugomvi wangu ni kwamba dhamana ni haki ya mshitakiwa especially kama tutajielekeza kwenye rule of law under the presumption of innocence till proved otherwise. Hivyo mwanangu usidhani sheria uliisoma peke yako. Tunaijua kuliko unavyofikiria. Kama kuna kipingamizi kinachokubalika kisheria mimi ni nani nipinge. Tusihukumu kwa discretion wala imani zetu jamani. Hakuna anayeshabikia maafa anayoandaa Ponda ila kama binadamu ana haki ya kufaidi haki zake za kikatiba.