Maandamano ya waislamu yazuiwa

Maandamano ya waislamu yazuiwa

wametuambia kuwa tukifia dini tutaenda peponi na tutapewa mabikra wenye macho kama vikombe, acha tuandamane, leka tutigite
sasa wanaume mtapewa mabikira wanawake watapewa nini maskini! Basi nawashauri wanawake wasiandamane wawaachie wanaume ili.
 
moshi wa kiti moto unakusumbuwa bila shaka.
 
Haya ni ya kweli mkuu,isije ikawa ndalalilo ili tusiingie town.
 
jamani tuwe tunapeana updates ... Hapa msikiti wa magomeni hali ni shwari kabisa hakuna askari wala nini watu wanaendelea na mambo yao
 
Waislam ndio wameamua sasa leoooooooooo...................wengi mtalala majumbann
 
Kama nilivyosema na narudia kusema nguruwe ukicheka nae anaingia na wewe..........
sasa ndicho kinachoendelea sasa njia zote huku mjini zinafungwa kwa wajili ya punguan wachache
ukiwauliza nani kawaruhusu maandamano awana jibu na hii ni kutokana na kuachwa na kuchekewa
walipoanza na sensa

Raha ya sensa umpe ee bwana na Mwanga wa Ponda umuangazie apumzike segerea kwa Amani

amin

We Pdidy umepinda, unamaana gani hapo?
 
Nipo mnazi nimepita uhuru road kuna tetesi za maandamano wengne wanasema wataena kusali miskit ya pembezon mwa town ambapo fujo aiwez tokea.,town pamepowa sana watu tupo kimachale chale ,askari wapo kila kona na wengne kwenye magari,maduka mengi yamefugwa tofauti na ilivyozoeleka.
 
Mimi na amini kuna kitu nyuma ya pazia kimejificha, maana Watanzania wengi familia zetu zimechanganya dini kwa namna tofauti tofauti na tunaishi kwa amani kila mtu akiheshimu dini ya mwenzake, mfano; mimi mama mwislamu. baba mkristo, mimi mkristo na nimeolewa na mkristo, mdogo wangu mkristo kaolewa na mwislamu. Je, unafikiri katika mchanganyo kama huu kuna mtu angependa kumdhuru baba au mama au dada ua kaka au mjomba wake kisa dini?
Huwenda kuna watu wachache wenye maslahi yao binafsi ktk hili na wanawatumia watanzania wachache wasioweza kutumia vyema vichwa vyao kupambanua mambo ili kufikia malengo yao.
 
Hivi inaingia akilini mtu utoke mkoani, kwa gharama zako, kuja kupigwa na mabomu Dsm kisa, eti mnaandamana Ponda aachiwe.
Nyuma ya hili ni lazima kuna wafadhili wanaowalipia watu nauli, chakula na malazi, pia kuwapa posho ili washiriki kwenye maandamano.
WAISLAM AMKENI MNATUMIWA NA WAJANJA WACHACHE KWA MASLAH YAO BINAFSI

Umeongea kitu cha msingi sana bujibuji na tusipokuwa makini watu hao watatupeleka katika machafuko makubwa sana. Hivi huyo ponda ni nani katika nchi hii mpaka aweke amani ya nchi yetu rehani? Hivi kwanini wadanganyika tumekuwa watu wa kudanganywa tu kama jina letu lilivyo? Ebu tujaribu kujiepusha kuiga mambo yasiyokuwa na msingi katika nchi yetu na tuache dola ifanye kazi yake. Libya,Misri,Siria ni kati ya mataifa machache ambayo wajinga wachache waliojiona kuwa na nguvu zaidi ya serikali wamesababisha maelfu ya wananchi wasiokuwa na hatia kupoteza maisha yao so msitumie njia ya dini zetu kutufikisha huko.
 
huu mtandao umeshavamiwa na wahuni. yaani mtu unaweza kuitupia habari bila ya hata chanzo cha hiyo habari na ukapata wehu wengi wa kuinga mkono kaaazi kwelikweli!
 
Back
Top Bottom