Maandamano ya waislamu yazuiwa

Maandamano ya waislamu yazuiwa

Basi huyo aliyekwambia kuwa alioa mwanamke wa miaka sita hakukufundisha yote, katafute historia ya huyu mtukufu wa darja then msome thn hakikisha kama alioa mtoto wa miaka sita kama unavyosema, kwani si tunatafuta haki? basi nakuomba kafanye hvyo, thn utaelewa vzr na wala hutokuwa mwenye kupandikizwa chuki tu

Hukunielewa vizuri, nikiwa na akili zangu timamu siwezi andika kitu kama 'mwanamke wa miaka 6'. Hakuna mwanamke wa miaka 6 kwa mujibu wa imani yangu, mtu yeyote wa miaka 6 ni mtoto.

Chuki gani niliyopandikiza, wewe vipi? Hebu soma Sunan Nasai (Book of Marriage) No.3256. Au unazikana Hadithi za marehemu? Kasome maneno ya Aisha mwenyewe
 
Kibaya ni kwamba wengi wa wanaoandamana hawajui wanaandamana kwa sababu gani?
So funny yaani kila nnaemuuliza hajui ila wanasema wao wanaandamana tu

Kesho muvi tamu hilo sijui niwe KGB kwa muda niishuhudie laivu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Saa hizi maafande hawapati usingizi kwa shauku ya mapambazuko. Mi umri hauruhusu ningejiunga na FFU. Kule zenj wanamenya kichwa kama kiazi mbatata
 
Heshima kwenu wadau,

Nimeisikia strategy mpya ambayo wafuasi wamepanga kuitumia kesho ijumaa ya kuandamana mpaka police head quarter kwa ajili kumtoa shehe ponda.

Baada ya majaribio yao kutofanikiwa kwa kuzuiliwa njian kabla hawajafika polis steshen, wameamua kutumia style ya treni la mwakyembe as kila mtu anapandia kituo chake na wahakikishe wafuasi wote wanapanda treni kwa muda muafaka as treni lina uwezo wa kubeba watu zaidi ya 1000 na likifika steshen tu pale posta wanashuka wote na kuvamia makao makuu ya polisi na kuanza kudai ponda aachiwe huru,,, inavyosemekana watu wa uamsho wengi wamekuja kutoa sapoti kwenye hili.. So tutegemee kuona suprise hiyo kesho...
 
jamaa wamedhamilia leo kuandama hatanii kuhusu maandamano.jpg
 
Waislam waache kiburi. Nasadiki kuwa mungu wao si huyu Mungu wa amani tunaemjua. Bali ni Ibilisi Shetani. Kw nn hawaskii? Tunataka amani.
 
Hivi wadau kuna connection gani kati ya waislamu na wali? yaani hapo hua nashindwa kuelewa
Siku moja jirani yangu muislam alikua na harusi ya mwanae akniomba nishiriki ktk hrusi hiyo kwa kuwabeba ndg zake ktk gari langu. Tulipofika kule tulikoenda kuoa nikawakuta waislam ktk vikundi wakijadili kuhusu hali ya machafuko. Walionekana ni watu wazima wakichangia mada iliyopo kwa jazba sana. Sasa wakati wakiendelea na majadiliano zikatoka sinia za ubwabwa, nakwambia hali ya hewa maeneo yale ilibadilika kabisa watu walikua wakigombania yale masinia kama mpira wa gombania goli na ule mjadala ukafungwa. Nashindwa kuelewa connection iliyopo kati ya Ubwabwa na hawa jamaa

Ubwabwa ni SUNNA mkuu
 
Hapa waislamu wana hoja. Kosa aliloshitikiwa kwalo Ponda linadhaminika. Kwanini wanamnyima dhamana kama ametimiza masharti ya dhamana? Sheria haipaswa kutumika kibaguzi, kikandamizaji na kiupendeleo. Hapa wanampa sababu Ponda ya kuonewa huruma. Maana haki yake ya msingi ya kikatiba yaani dhamana inachezewa na anateseka bure.

Kama hujui uliza wanasheria wakusaidie, in Law(Tanzania Law na Common Law yote kwa ujumla) bail can be denied hata kwa makosa yanayodhaminika iwapo utoaji wa dhamana husika utasababisha threat kwa National Security na ni ki2 cha kueleweka kabisa tena kipo wazi wanasheria tunajua
Jiulize nchi kama Marekani ambayo democracy na rule of law viko juu kama wanawapa dhamana watuhumiwa wa Ugaidi hata cku 1 ingawa ni kosa lenye dhamana! Hyo ni exception ndugu, National security iz at stake hapa so unataka Ponda aachiwe ili akaendeleze mihadhara ya Chuki au?
 
Taarifa ambazo ninazo hivi sasa kuna watu wameshuka airport na wengine wanakuja na boti hapa Dar lengo likiwa ni kujumuika pamoja katika Maandamano. Pamoja na hayo pia kuna watu waliotoka Morogoro wote lengo ni Kuanzamana baada ya kutoka msikitini. Nimejaribu kufuatilia kwa kiasi na nimeona kuna baadhi ya watu wana uelekeo mmoja. Hasa kwenye vituo vya daladala wote wanaelekea maeneo ya mjini. Sijajua kama tutaandamana au tutasali kwa Amani na kurudi makwetu kwa kuzingatia kukatazwa kwa maandamano.
 
Mimi ninachoogopa ni fujo tu,ee mungu tuepushe na kadhia hii........................ndugu zangu wa mama karibu wote ni waislam,baba wakristu,,,,,,,,,,,,,,,nisimame wapi?
 
Hivi inaingia akilini mtu utoke mkoani, kwa gharama zako, kuja kupigwa na mabomu Dsm kisa, eti mnaandamana Ponda aachiwe.
Nyuma ya hili ni lazima kuna wafadhili wanaowalipia watu nauli, chakula na malazi, pia kuwapa posho ili washiriki kwenye maandamano.
WAISLAM AMKENI MNATUMIWA NA WAJANJA WACHACHE KWA MASLAH YAO BINAFSI
 
taarifa ambazo ninazo hivi sasa kuna watu wameshuka airport na wengine wanakuja na boti hapa dar lengo likiwa ni kujumuika pamoja katika maandamano. Pamoja na hayo pia kuna watu waliotoka morogoro wote lengo ni kuanzamana baada ya kutoka msikitini. Nimejaribu kufuatilia kwa kiasi na nimeona kuna baadhi ya watu wana uelekeo mmoja. Hasa kwenye vituo vya daladala wote wanaelekea maeneo ya mjini. Sijajua kama tutaandamana au tutasali kwa amani na kurudi makwetu kwa kuzingatia kukatazwa kwa maandamano.
ee uwiii!ee uwiii!ee uwii!

 
hivi inaingia akilini mtu utoke mkoani, kwa gharama zako, kuja kupigwa na mabomu dsm kisa, eti mnaandamana ponda aachiwe.
Nyuma ya hili ni lazima kuna wafadhili wanaowalipia watu nauli, chakula na malazi, pia kuwapa posho ili washiriki kwenye maandamano.
Waislam amkeni mnatumiwa na wajanja wachache kwa maslah yao binafsi
hivi waafrika na dhana ya kutumiwa hivi ina maana hatuna akili timamu au?kwa sababu kila kitu tunasema tunatumiwa na watu wengine klakini tunakubali kutumika huku tukiendelea kulalamika.sasa sijui kama sisi vichwa vetu vimejaa kweli.
 
Mimi ninachoogopa ni fujo tu,ee mungu tuepushe na kadhia hii........................ndugu zangu wa mama karibu wote ni waislam,baba wakristu,,,,,,,,,,,,,,,nisimame wapi?

Huna haja ya kuogopa, Muislamu yeyote mwenye kuwahi kukaa na Wakristo karibu anajua ya kuwa Wakristo hawana shida na Waislamu. Kuna ufadhili kutoka nje ya nchi yetu ndio unawatumia magwiji wachache na wajinga wengi kufanya haya unayoyaona.

Mi nataka waandamane, kwa kuwa haya maonyo hayana budi kufikia kikomo na watu wafundishwe kuwa na heshima. Madai yasiyo na kikomo si tija. Wengi wa waandamanaji hata hawamjui bosi wao, ni hulka tu ya kupenda fujo na ushabiki.
 
hivi waafrika na dhana ya kutumiwa hivi ina maana hatuna akili timamu au?kwa sababu kila kitu tunasema tunatumiwa na watu wengine klakini tunakubali kutumika huku tukiendelea kulalamika.sasa sijui kama sisi vichwa vetu vimejaa kweli.

wametuambia kuwa tukifia dini tutaenda peponi na tutapewa mabikra wenye macho kama vikombe, acha tuandamane, LEKA TUTIGITE
 
Kama nilivyosema na narudia kusema nguruwe ukicheka nae anaingia na wewe..........
sasa ndicho kinachoendelea sasa njia zote huku mjini zinafungwa kwa wajili ya punguan wachache
ukiwauliza nani kawaruhusu maandamano awana jibu na hii ni kutokana na kuachwa na kuchekewa
walipoanza na sensa

Raha ya sensa umpe ee bwana na Mwanga wa Ponda umuangazie apumzike segerea kwa Amani

amin
 
Yaani ijumaa badala ya kuwa siku ya kuabudu imegeuka ni siku ya vurugu. Hapo wamepewa mapumziko ya masaa tu je wakipewa siku nzima yote ya ijumaa si patakuwa hapatoshi!

Hawa watu bana!
 
Back
Top Bottom