sakapal
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 1,804
- 1,424
Jamani mie ndo nimekereka hadi basi, nilienda kariakoo leo mchana saa ya kurudi ndo nilikiona cha moto, ilikuwa nipite dukani ili ninunue baadhi ya vitu vya week end looh!! kero kero kero!!!!
hivi hawa waanauamsho ni wakina nani hata wasababishe kero kwa wakazi wa kariakoo hivi???? kwanini serikali inawachekea tuu??? maduka yote yamefungwa kero tupu taxi hazifanyi kazi kuogopa foleni na kupigwa mabomu, taxi iliyokubali kwenda posta ilicharge elf 20 duuh!! kero zaidi kufioka posta barabara ya azikiwe imefungwa magari yote yanaishia mtaa wa haidery plaza looh!! what a kerooo yaani hapa nimefura na hawa watu hadi basi, ningekuwa na uwezo ningewadhibiti majumbani mwao as uwezo huo uko kwa serikali sina la kufanya zaidi ya kuwaombea.
Hivi hawa watu wamefikiria ni hasara kiasi gani wafanyabiashara waningiza kwa kufunga maduka yao siku ya leo??? au ndo wanataka kuhalalisha ijumaa iwe week end ili justify jumapili kwa wakristo?????
aaaaggggrrrrrrhhhh!!!:A S angry: