Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,198
- 7,539
YAANI MIMI MUISLAM LAKINI NATAMANI NINGEKUWA POLISI NIONE WAJINGAWAJINGA WANAANDAMANA NIWAPE NIDHAM.HAO WANAO VURUGA AMANI WANAITWA MA TWAGHUT.POLISI WAPENI CHA IJUMAA ILE.mimi naenda kuswalia zangu ubungo.Nipo mnazi nimepita uhuru road kuna tetesi za maandamano wengne wanasema wataena kusali miskit ya pembezon mwa town ambapo fujo aiwez tokea.,town pamepowa sana watu tupo kimachale chale ,askari wapo kila kona na wengne kwenye magari,maduka mengi yamefugwa tofauti na ilivyozoeleka.