Maandamano ya kumpongeza Rais Magufuli Mbeya

Maandamano ya kumpongeza Rais Magufuli Mbeya

Mtu ukiwa unatafakari kitu kigumu kwa ajili ya matokeo mazuri lazima unune.Hivyo watanzania Tuko kwenye tafakari Kwann sisi tunawapigia magoti mabeberu na hali nchi yetu ni tajiri,soon tutakuwa na furaha chini ya jemedari wetu Dr. Magufuli.
Kushika hizo namba za mwisho hakujaanza leo wala jana.
Kwa hiyo nyie mnatafakari miaka yote. Bila shaka mtakuwa na furaha wakati mkiwa kwenye kile chumba cha futi sita kwenda chini.
 
Wanamuomba radhi kwa kumchagua sugu na wanamuahidi kutimchagua sugu 2020View attachment 1051794View attachment 1051795View attachment 1051798

Sent using Jamii Forums mobile app

Unajuwa ukifikiri kwa kina sana, kwamba hayo mabango yametengenezwa na watumishi na kugundua sio ila wao wamepewa kubeba tuu na kulazimishwa kuandamana basi unapata jumuisho moja.
Kwamba viongozi wa ccm na serikali huku chini yaani mikoani na wilayani wana mkebehi Rais na kumuona ni mtu wa hovyo asiyeweza kupima mambo.
Hivi hawa wanatofauti gani na wale wa kwenye hadithi ya Mfalme aliyetembezwa uchi mitaani akiaminishwa joho alilo vaa ni zuri ajabu na akaanza kushangiliwa "joho la mfalme ni zuri ajabu!" hadi pale alipotokea mtoto mdogo asiyejua unafiki alipopiga kelele "mfalme yuko uchi,mfalme anatembea uchi!" Ndipo akashtuka.
Mheshimiwa Magu, hivi wewe ungekuwa ndio huyo mfalme jee ni nani mtu bora kwako? Kati ya hao wanaokudanganya joho zuri (mawaziri, RC's, DC's) na huyo mtoto mdogo?
 
Mji wa mbeya umefurika watu wanaompongeza JPM kwa kazi nzuri anazoendelea kuwatendea wananchi. Ni watu wa kada zote walimu, wafabyabiashara, watumishi mbalimbali. Mytake upinzani ujitafakari mheshimiwa anakubarika mno kwa namna watu walvofurika huwez kujua n jimbo la mh SuguView attachment 1051763View attachment 1051766View attachment 1051767

Sent using Jamii Forums mobile app
Je, wanaweza wakaruhusu wa wale wanaomlaani kuandamana? Halafu tuone mafuriko yatakuwa upande gani? Tumechoka kuona upande mmoja wa shilingi. Mkiruhusu wanaompongeza kuandamana mruhusu na wanaompinga na kumlaani nao waandamane
 
Back
Top Bottom