Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,266
- 98,310
Hapo chini ni baadhi ya wananchi wa mkoa wa Mbeya wakufanya maandamano leo hii kumpongeza mwenyekiti wa ccm kwa kutekeleza kwa ufasaha ilani ya ccm!
Hii ndiyo Tanzania
Tulio ambiwa maandamano hayaruhusiwi hatuna hadhi ya utanzania?
In God we trust
Hii ndiyo Tanzania
Tulio ambiwa maandamano hayaruhusiwi hatuna hadhi ya utanzania?
In God we trust