MC44
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 2,168
- 3,306
Sisi Arusha tufanye maandamano ya AMANI YA KUMPA POLE MBOWE NA ESTA KWA KUKAA NDANI SIKU KIBAO
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
kama ni maandamano hayo,mbona hakuna bango lolote linaloonyesha hicho ulichoandika.acha uhuni wewe.Mji wa mbeya umefurika watu wanaompongeza JPM kwa kazi nzuri anazoendelea kuwatendea wananchi. Ni watu wa kada zote walimu, wafabyabiashara, watumishi mbalimbali. Mytake upinzani ujitafakari mheshimiwa anakubarika mno kwa namna watu walvofurika huwez kujua n jimbo la mh SuguView attachment 1051763View attachment 1051766View attachment 1051767
Sent using Jamii Forums mobile app
Honest. Hata wana ccm wanaompongeza watajitokeza barabaraniNajribu kuwaza na ikitokea waandamane ambao hawajaridhishwa na utendaji je idadi itapungua au kuongezeka? Jijibu kimya kimya.
Swali je sale ambao hawakubaliani na Magufuli wakiandamana kupinga maovu anayoyafanya mtaruhusu?Mji wa mbeya umefurika watu wanaompongeza JPM kwa kazi nzuri anazoendelea kuwatendea wananchi. Ni watu wa kada zote walimu, wafabyabiashara, watumishi mbalimbali. Mytake upinzani ujitafakari mheshimiwa anakubarika mno kwa namna watu walvofurika huwez kujua n jimbo la mh SuguView attachment 1051763View attachment 1051766View attachment 1051767
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa si ni wanachama wa CCM na wanafunzi tu.Wanamuomba radhi kwa kumchagua sugu na wanamuahidi kutimchagua sugu 2020View attachment 1051794View attachment 1051795View attachment 1051798
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata km ni kweli,hii sio airi,ni umbea umefichuka,weka evidence tuidanyie kazi 2020Wengi wamekuwa wakijiuliza inakuwaje wananchi wa Mbeya , mkoa ambao Tangu Rais achaguliwe hajawahi kukanyaga , Mkoa unaoongoza kwa ajali za kutisha za magari kutokana na uduni wa barabara baada ya wenye mamlaka kujiapiza kutoziboresha ili kuwakomesha wananchi walioikataa ccm kidemokrasia eti wananchi waandamane kuunga mkono juhudi ?
Ukweli ni huu hapa , maandamano yale yaliwezeshwa kwa watu kupewa fedha taslimu , watu wamelipwa kuanzia elfu 3 , 5 , hadi elfu 10 kulingana na hadhi ya muhusika , malipo yalisimamiwa na watendaji wa vijiji na wajumbe wa nyumba 10 , bado haijafahamika kilikotoka kitita hicho ( tunaendelea kufukunyua ) , sare nyingi mpya za ccm ziligawiwa , angalieni vizuri mavazi ya waandamanaji , pamoja na wafanyakazi kutishwa wasipoandamana lakini pia walilipwa posho kwa viwango tofauti kulingaba na hadhi .
Watu wanajiuliza kuna kipi kilichofanyika hadi watu wa Mbeya waandamane , mbona Chato hakujawahi kufanyika maandamano kama hayo pamoja na neema ya uwanja wa ndege waliojengewa ? Ama hakika propaganda za ccm ni rahisi mno kuzing'amua.
SIRI IMEFICHUKA
wanajua mtu hakubaliki wanatafuta njia za kuhalalisha haramu! Lakini watashindwa mashetaniWengi wamekuwa wakijiuliza inakuwaje wananchi wa Mbeya , mkoa ambao Tangu Rais achaguliwe hajawahi kukanyaga , Mkoa unaoongoza kwa ajali za kutisha za magari kutokana na uduni wa barabara baada ya wenye mamlaka kujiapiza kutoziboresha ili kuwakomesha wananchi walioikataa ccm kidemokrasia eti wananchi waandamane kuunga mkono juhudi ?
Ukweli ni huu hapa , maandamano yale yaliwezeshwa kwa watu kupewa fedha taslimu , watu wamelipwa kuanzia elfu 3 , 5 , hadi elfu 10 kulingana na hadhi ya muhusika , malipo yalisimamiwa na watendaji wa vijiji na wajumbe wa nyumba 10 , bado haijafahamika kilikotoka kitita hicho ( tunaendelea kufukunyua ) , sare nyingi mpya za ccm ziligawiwa , angalieni vizuri mavazi ya waandamanaji , pamoja na wafanyakazi kutishwa wasipoandamana lakini pia walilipwa posho kwa viwango tofauti kulingaba na hadhi .
Watu wanajiuliza kuna kipi kilichofanyika hadi watu wa Mbeya waandamane , mbona Chato hakujawahi kufanyika maandamano kama hayo pamoja na neema ya uwanja wa ndege waliojengewa ? Ama hakika propaganda za ccm ni rahisi mno kuzing'amua.
SIRI IMEFICHUKA
Hata km ni kweli,hii sio airi,ni umbea umefichuka,weka evidence tuidanyie kazi 2020
Sent using Brain