Maandamano ya kumpongeza Rais Magufuli Mbeya

View attachment 1052612
Wengi wamekuwa wakijiuliza inakuwaje wananchi wa Mbeya , mkoa ambao Tangu Rais achaguliwe hajawahi kukanyaga , Mkoa unaoongoza kwa ajali za kutisha za magari kutokana na uduni wa barabara baada ya wenye mamlaka kujiapiza kutoziboresha ili kuwakomesha wananchi walioikataa ccm kidemokrasia eti wananchi waandamane kuunga mkono juhudi ?

Ukweli ni huu hapa , maandamano yale yaliwezeshwa kwa watu kupewa fedha taslimu , watu wamelipwa kuanzia elfu 3 , 5 , hadi elfu 10 kulingana na hadhi ya muhusika , malipo yalisimamiwa na watendaji wa vijiji na wajumbe wa nyumba 10 , bado haijafahamika kilikotoka kitita hicho ( tunaendelea kufukunyua ) , sare nyingi mpya za ccm ziligawiwa , angalieni vizuri mavazi ya waandamanaji , pamoja na wafanyakazi kutishwa wasipoandamana lakini pia walilipwa posho kwa viwango tofauti kulingana na hadhi .

Watu wanajiuliza kuna kipi kilichofanyika hadi watu wa Mbeya waandamane , mbona Chato hakujawahi kufanyika maandamano kama hayo pamoja na neema ya uwanja wa ndege waliojengewa ? Ama hakika propaganda za ccm ni rahisi mno kuzing'amua.

SIRI IMEFICHUKA
Tarumbeta la SACCOS kwenye ujinga wake
 
Mi nimeandamana lakini sijapewa kamanda. Ebu nirushie namba ya aliyekuwa anagawa nidili naye?
 
Kwanini mmewaacha wameandamana kwa Amani. Ifike kipindi kila anayetoka kuandamana ajutie Jambo hilo ili kila mtu ajue madhara ya ukandamizaji
 
Ukweli ni huu hapa , maandamano yale yaliwezeshwa kwa watu kupewa fedha taslimu , watu wamelipwa kuanzia elfu 3 , 5 , hadi elfu 10 kulingana na hadhi ya muhusika , malipo yalisimamiwa na watendaji wa vijiji na wajumbe wa nyumba 10 , bado haijafahamika kilikotoka kitita hicho ( tunaendelea kufukunyua ) , sare nyingi mpya za ccm ziligawiwa , angalieni vizuri mavazi ya waandamanaji , pamoja na wafanyakazi kutishwa wasipoandamana lakini pia walilipwa posho kwa viwango tofauti kulingana na hadhi .

Kwa bahati nzuri au mbaya, hakuna hata mmoja wa hao anayeweza kutoa ushuhuda kwamba alipokea chochote!

Elfu 3, mtu unapokea, unanunua nini kilo ya nyama? Halafu-----------! Mwananchi huyu CHADEMA (Sugu) atamfuata na kujadiliana naye chochote aweze kutambua maana ya hiyo Tsh 3,000/? Kuuza haki zake na mengi mengine?

Sisi JF tutayajadili haya na kuyaacha hapa, je CHADEMA na wenzenu mtayatumia haya kuwaelimisha wananchi hao?

Niulize: hizo sare za 'Bluu' ni za akina nani?
 
Ni maandamano ya wanaccm siyo maandamano ya wananchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo nilijua wanaume wa pwani ndio wanayo kumbe hata wa bara.

Mkuu Shigongo anatafuta watafuta tetesi.
 
Back
Top Bottom