Kajolijo
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 3,364
- 4,619
- Thread starter
- #161
Wafukuzwe kwannWaandamanaji wengi ni watumishi wa umma na familia zao. Waliambiwa kama hawataandamana wanaweza kufukuzwa kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wafukuzwe kwannWaandamanaji wengi ni watumishi wa umma na familia zao. Waliambiwa kama hawataandamana wanaweza kufukuzwa kazi.
Kivipi mkuuKwanini mmewaacha wameandamana kwa Amani. Ifike kipindi kila anayetoka kuandamana ajutie Jambo hilo ili kila mtu ajue madhara ya ukandamizaji
Ni wananchi kinda kinda yaani yuvisisiem na wanasisiemu wa keshoKwa bahati nzuri au mbaya, hakuna hata mmoja wa hao anayeweza kutoa ushuhuda kwamba alipokea chochote!
Elfu 3, mtu unapokea, unanunua nini kilo ya nyama? Halafu-----------! Mwananchi huyu CHADEMA (Sugu) atamfuata na kujadiliana naye chochote aweze kutambua maana ya hiyo Tsh 3,000/? Kuuza haki zake na mengi mengine?
Sisi JF tutayajadili haya na kuyaacha hapa, je CHADEMA na wenzenu mtayatumia haya kuwaelimisha wananchi hao?
Niulize: hizo sare za 'Bluu' ni za akina nani?
Kwan kakatazwa mkuu?Natamani na wananchi wa Mbeya wapewe ruhusa na jeshi la polisi kuandamana kwa amani na mbunge wao baada ya hapo afanye mkitano wa hadhara.
Madhumuni ikiwa ni kupima kina cha maji
Kwa hiyo nyie hamkwenda kuandamana. Mmeleta habari za "KISIMULIWA"?
Duh akili za makamanda wa siku hizi!
Tunammiss sana Dr. Alikuwa haongei kitu bila data.
Lakini tangu CHADEMA iuzwe kwa CCM 2015 na akina Tundu - mwendo ni kuropokaropoka tu kwa habari za kusimuliwa.
Sasa hizo zitakua zile fujo anazokataa rais... Ww umeona kiongoz wa jimbo lingine akienda mbeya na kupokelewa?Nashauri Mbowe atembelee mbeya kukagua uhai wa chama,nae apokelewe kwa maandamano
Hapo ndio tutaona uadilifu wa viongozi wetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaogopa vibaya sana, na kamwe hawataruhusu hiyo itokee
Hawa nao wanahitaji kupewa chochote ndipo waandamane? Kama ni hivyo, basi hali ni nzuri sana.