Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,812
- 40,419
Mabango yanasema wanachama wa ccm wewe unasema wananchi wa MBEYA, unadhani ungesema CCM Mby wameandamana ingekupunguzia nini? Au kwako wananchi wote wa MBEYA ni ccm?Hawajalazishwa mkuu... si unaona walivofunika mwenyewe. wamekuja kwa mapenzi yao na si hao tu ni karibia watumishi wote
Sent using Jamii Forums mobile app