Maandamano ya kumpongeza Rais Magufuli Mbeya

Maandamano ya kumpongeza Rais Magufuli Mbeya

View attachment 1052612
Wengi wamekuwa wakijiuliza inakuwaje wananchi wa Mbeya , mkoa ambao Tangu Rais achaguliwe hajawahi kukanyaga , Mkoa unaoongoza kwa ajali za kutisha za magari kutokana na uduni wa barabara baada ya wenye mamlaka kujiapiza kutoziboresha ili kuwakomesha wananchi walioikataa ccm kidemokrasia eti wananchi waandamane kuunga mkono juhudi ?

Ukweli ni huu hapa , maandamano yale yaliwezeshwa kwa watu kupewa fedha taslimu , watu wamelipwa kuanzia elfu 3 , 5 , hadi elfu 10 kulingana na hadhi ya muhusika , malipo yalisimamiwa na watendaji wa vijiji na wajumbe wa nyumba 10 , bado haijafahamika kilikotoka kitita hicho ( tunaendelea kufukunyua ) , sare nyingi mpya za ccm ziligawiwa , angalieni vizuri mavazi ya waandamanaji , pamoja na wafanyakazi kutishwa wasipoandamana lakini pia walilipwa posho kwa viwango tofauti kulingana na hadhi .

Watu wanajiuliza kuna kipi kilichofanyika hadi watu wa Mbeya waandamane , mbona Chato hakujawahi kufanyika maandamano kama hayo pamoja na neema ya uwanja wa ndege waliojengewa ? Ama hakika propaganda za ccm ni rahisi mno kuzing'amua.

SIRI IMEFICHUKA
Acha dharau kwa watu wa Mbeya. Ina maana wana dhiki sana hadi wapoteze muda wao kwa elfu 3!?
Hizi dharau zenu ndio sababu ya hilo lichama lenu linakufu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mji wa mbeya umefurika watu wanaompongeza JPM kwa kazi nzuri anazoendelea kuwatendea wananchi. Ni watu wa kada zote walimu, wafabyabiashara, watumishi mbalimbali. Mytake upinzani ujitafakari mheshimiwa anakubarika mno kwa namna watu walvofurika huwez kujua n jimbo la mh Sugu
View attachment 1052679
View attachment 1051763View attachment 1051766View attachment 1051767

Sent using Jamii Forums mobile app
INASHANGAZA IDADI YA WATU ILIVYOKUWA NDOGO KWA NAMNA NAVYOIFAHAMU MBEYA ! KUNA NINI MBEYA??

MAANDAMANO YA KUMPONGEZA RAIS WATU WACHACHE?INAKUAJE? WANAMBEYA WANAMANISHA NINI?

UJUMBE GANI WANATOA KWA MH RAIS ??

MBEYA MBONA KAMA HAINA NAFASI YA SIASA MAJI TAKA!
NATUMAINI KADA MWAMINIFU MARK MWANDOSYA ALIKUWEPO !
 
Ndo tatizo la uzuzu wenzako wanapiga pesa wewe unaendaenda sasa unataka nani akupe pesa ya bure au unatangaza biashara ya Amber ubwabwa,,?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo nyie hamkwenda kuandamana. Mmeleta habari za "KISIMULIWA"?
Duh akili za makamanda wa siku hizi!
Tunammiss sana Dr. Alikuwa haongei kitu bila data.
Lakini tangu CHADEMA iuzwe kwa CCM 2015 na akina Tundu - mwendo ni kuropokaropoka tu kwa habari za kusimuliwa.
 
Mwambie Magu aje huku Mbeya apime mwenyewe kama ana kubalika ama laaa ,acha kuandikia mate wakati wino upo
Mji wa mbeya umefurika watu wanaompongeza JPM kwa kazi nzuri anazoendelea kuwatendea wananchi. Ni watu wa kada zote walimu, wafabyabiashara, watumishi mbalimbali. Mytake upinzani ujitafakari mheshimiwa anakubarika mno kwa namna watu walvofurika huwez kujua n jimbo la mh Sugu
View attachment 1052679
View attachment 1051763View attachment 1051766View attachment 1051767

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom