Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.
lazima na sisi tuandaye ya kwetu hapa tanganyika ya kumg'oa huyu Fisadi papa Kikwete na Genge lake la Majambazi ya rasilimali zetu
 
lazima na sisi tuandaye ya kwetu hapa tanganyika ya kumg'oa huyu Fisadi papa Kikwete na Genge lake la Majambazi ya rasilimali zetu

Sawa mkuu yakiisha huku macho inaelekea nyumbani. hapakaliki tena kwa huyu mbuzi
 
Bora wewe uko wazi na situation ilivyo,me naamin either ni siasa au waandaaj wana nia ambayo kiuhalisia kutimizka kwake ni ngumu.Nadhan kikwete ni mmoja wa viongoz wa africa ambao USA inawakubari so sidhan kama haya mjambo ya against JK ndani ya usa yanawezekana

...Kama ww huna makaratasi husifikiri wote ni hivyo ! Na wewe unayedhani huyo kilaza anakubalika pole sijui unaishi wapi lakini kwa taarifa yako hapa USA kuna uhuru, watu wanaandamana kila siku kupinga issue za Obama hata nje ya Ikulu, au watu wake leo hii ije kuwa huyo joni mtembezi ? Tena na hivi baadhi ya watu na hata media wanavyopinga sera za kusaidia sana nje kwa kutumia pesa za walipa kodi wakati wao nchini USA watu wanaumia watapenda sana kitu hii... !
 
attachment.php

Tunasubiri matokeo maana ndo muda muafaka
 
Mimi ninasupport maandamano ingawaje sio a quick solution lakini pole pole tutafika....ninachosema ni kuwa...Huwa ninafuatilia hii forum lakini ukweli ni kuwa tutokage huku na kuspread news za mambo mengi kwenye social networks nyingine pia. Kuna wengi hawajui hii forum na kuna wengine wameshapeleka habari kuwa huku ni wahuni tu ndio wako basi mambo mengi yanaishia huku bila kufika au kujulikana na watu wengi. Hivyo tujitahindi kwenda na msg hixi hizi kwenye social networks nyingine ili watu wengi wapate huu ujumbe. Nadhani ni watu wachache sana wanaofahamu kuhusu haya maandamano.. Mimi mwenyewe nimeyafahamu kuwa yattakuwapo week hii sasa ujue ni wanagapi wangependa kuhudhuria lakini hawana habari ya haya maandamano? Na unajua kuna bloggers hawapost haya mambo....

Na kingine tukienda kwenye hizo social networks nyingine tutumie majina yetu kamini na watu watujue ni nani? Mimi niko kwenye twitter na utashangaa nikipost kitu watu kinachowagusa wengi badala ya watu kupost nao mawazo yao wanavyofikiria ni kunitumia personal emails na kusupport hoja au kuadd kitu kingine juu ya hoja. Kwa nini ni watu wachache wanaopenda kujulikana hadharani ni vipi wanafikiria kuhusu mambo fulani? Ni uoga au unafiki tulionao...Tukiwa AKA anonymous tunajidai tuna hasira na uchungu na nchi yetu lakini kwenye sehemu ya watu wanao kufahamu wewe ni nani uko kimya...Au ni fasadi within us...leo unakosoa watu kesho unapokea rushwa...TUjivue na sisi magamba ya anonymous bila hivyo hatutafika kwa vile hatujui nani anatetea mafisadi, nani anakula nao sahani moja.

Ni hayo tu together we can....My 2 cents
 
Hivi kweli mmepewa Billion 4.8 TSHS mkagoma kuacha hayo maandamano? Kama ni kweli basi mnastahili pongezi kazeni buti msirudi nyuma mpaka kieleweke.
 
Huu ndo unafiki,hamna uthabiti wa nia,unaonekana si muumini wa unachokihubiri.Ungemalizia kwa kujitambulisha jina lako halisi ningekuona wa ukweli.Lakini sasa potea na hizi por6jo zako.
 
natanguliza shukrani zangu hata kama lisipo fanyika kuliweka wazi hapa na kuonyesha dhamira ya kuthubutu mmefanya kitu kikubwa sana! nimeipenda hii
 
Bla bla tu wote njaa kali tu zinatusumbua. You can not be against the global system. Even thousand or million people can not win the global system. Take it or leave it. Thanks
 
hahhahahha...HUYU DEMU SI NDIO ALIPEWA MADINI AN CHARLZ STEILA???????????????
HUWEZI JUA LABDA JK NAYE KUNA KITU KAMPA ..WHO KNOW?

Ivi hizi picha huyu jamaa huwa anapiga kwa akili zake au huyu jamaa amekuwa mwehu aa? JeyKey unatukera na kutudhalilisha mbona hatuoni wenzio wakipiga picha za kishenzi kama hizi huku wakiwa wanacheka. Si kweli kuwa tunaokereka sote ni Chadema bali sote sasaiv tunakereka. Rais gani unapenda picha za kipuuzi kama Beckham? Ee jamani washauri wake mshaurini huyu Rais wetu aheshimu hiyo taasisi ya Urais eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh! aghh
 
Akina Mwingereza wako kwenye maandamano sasa ndo maana hatupati update, wakishamaliza jukwaa hili litafurika picha za mabango na nyuzo za wabongo waishio huko bara lililovumbuliwa na Christopher Columbus, akikatishwa kwa farasi toka NY hadi St Fransisco, njia ambayo alipita imejengwa highway rout 80 yenye jina aka Christopher Columbus.
 
Wanajuwa dawa ya mzinzi ni kumpa wanawake!

Huyu Jakaya sijui akili yake imekaaje, wakati weekleaks wakimwanika halafu yeye anazidi kujianika na mambo nyeti ambayo kwa mkulu hayatakiwi hivi. Amekuwa presidaa celeb....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom