Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.
Upuuzi mtupu. Mmeimba maandamano mbona hakuna kilichotokea. Acheni propaganda na kutumika vibaya.
 
Propaganda na kejeli na ulaghai wa Chadema. hakuna lolote ila zilikuwa tambo tu za kisiasa kama zile wanazofanya Igunga kuonyesha kuwa mgombea wao anapendwa zaidi.

Mwisho wa siku chaliiiiiii na sasa wanapata sababu ya kuleta vurugu.

Poleni sana
 
Nafikiri muachane na mambo hayo kwa sasa Rais wetu ni mulewa sana na nimsikivu mpeni nafasi Mungu ibariki Tanzania na watu wake wote
 
Updates zenyewe zimejaa shaka. Mara ooo asipofika DC basi, mara mmekataa rushwa si munge walengesha kwa hao makachero sasa eti mnataka bahasha wapeleke wenyewe, JK yupo USA mvagaeni popote kama mna ubavu.
 
Hii singo naona inakaribia kupoteza ladha. Mwingereza na wenzako mnatupotezea muda tu wa kusoma updates kila siku wakati wenyewe huko mnasemekana mshaparaganyika
 
Updates zenyewe zimejaa shaka. Mara ooo asipofika DC basi, mara mmekataa rushwa si munge walengesha kwa hao makachero sasa eti mnataka bahasha wapeleke wenyewe, JK yupo USA mvagaeni popote kama mna ubavu.

Mkuu, DC ni kubwa sio kama Igunga au kijiji fulani. Unless unataarifa kamili mtu fulani atakuwa wapi kwa kipindi cha muda gani; unaweza ukapoteza nguvu nyingi sana na usifanikiwe kumuona huyo mtu ikiwa utakurupuka. Nafikiri kwasasa tuwape protesters benefit of the doubt; However kama JK akienda kwenye mkutano wa DICOTA na pasitokee kitu nafikiri ndio tunaweza kutoa judgement, asipokwenda kwenye mkutano wa DICOTA vile vile itakuwa na maana fulani.Let us wait and see!
 
Mkuu DC ni kubwa sio kama Igunga au kijiji fulani. Unless unataarifa kamili mtu fulani atakuwa wapi kwa kipindi cha muda gani unaweza ukapoteza nguvu nyingi sana kama ukikurupuka.

Hakuna mapinduzi ambayo hayana gharama na penye nia pana njia.
 
Mtoa Hoja, wekeni picha tuone quality ya kazi mliyoifanya ya kumpinga JK hapo Washington D.C maana yuko hapo na tayari mlikuwa na strategy.
 
SAMMOSSES:SISI huku shinyanga tulikwisha fanya maandamano ya kuikata serikali yake,maisha bora kwa kila mtanzania yameshindikana .kama rais anatoa ahadi hewa za kuwahada watanzania tunasubiri nini kama siyo kumuajibisha kwa kumpinga kwa maandamano makubwa.

Shime wanawadanganyika ifke muda tuseme basi,saa ya ukombozi wa kifikra imewadia tunasubiri nini.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom