Esoterica
Member
- Jun 18, 2011
- 48
- 11
Akina Mwingereza wako kwenye maandamano sasa ndo maana hatupati update, wakishamaliza jukwaa hili litafurika picha za mabango na nyuzo za wabongo waishio huko bara lililovumbuliwa na Christopher Columbus, akikatishwa kwa farasi toka NY hadi St Fransisco, njia ambayo alipita imejengwa highway rout 80 yenye jina aka Christopher Columbus.
Asante Mkuu kwa kunijuza kwa hilo. Twasubiri picha na mpango mzima ulivyoenda.
Jana ktk taarifa ya habari saa 2 usiku nimeona MTOTO MCHANGA HUKO SONGEA ANA UVIMBE MKUBWA KICHWANI LKN MAMA YAKE HANA HELA YA KUPELEKA HOSPITAL KUBWA KUMTIBIA. HOSPITAL YA HUKO ALIKO WAMEJITOLEA KUMPA SENTI KIDOGO NA MANESI WA KUMFIKISHA DAR; KWA HALI ILE NAJUA ATATANGAZWA KWENYE TV SIKU ZIJAZO AKIOMBEWA MSAADA WA PESA ZA KUMPELEKA INDIA-KUTIBIWA.
LAKINI HAPOHAPO KUNA WATU WAMEPELEKWA MAREKANI NA BILIONI 4.8(USD 3.0 Mil) KAMA RUSHWA........ INAUMA SAAA.......NA!!!!!