jameeyla
Senior Member
- Aug 12, 2011
- 119
- 29
hii haijakaa vyema watu huwa wanaprotest popote pale kutafuta haki yao haijalishi DICOTA WALA UN bwana, kama kweli mna uchungu basi mngefika UN kuonyesha machungu yenu ili wakuu wa nchi zote wayajue haya,,,haya asipokuja huko ina maana wale wote waliotoka kila pembe ya marekani kwa ajili ya kuprotest itakuwa imekula kwao pamoja na kuacha majukumu yao yote?? acheni propaganda za april fool day hapa!