Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.

UPDATE
Habari njema ni kwamba, kuna familia moja ya kitajiri ambayo ina interest kubwa Tanzania na wanashangaa kuona taifa letu linavyodidimia. Kwa maana hiyo, wamejitolea kulipia mabango, pamoja na mabasi sita.

1. Basi 2 yataanzia NY (Ni ya watu wa Boston, NY, Long-Island, NJ etc...)
2. Yanayotokea Ohio (Ohio, Maryland, Pensylvania, Michigani etc..)
3. MaBasi ya mwisho yatatokea Atlanta Georgia (Texas, Virginia, Florida, Alabama,Kansas, etc..)

Tumemtumia Yule Dada Kipenzi cha Watanzania Lisa Rockerfeller kuwa Mzungumzaji mkuu. tunasubiria majibu toka kwake

TUUNGANE FACEBOOK PROTEST AGAINST KIKWETE

Mkuu mimi naunga mkono huu mpango na hayo maandamano.
Ila kuhusu huyo tajiri mwenye interest na Tanzania, naomba unifafanulie zaidi, ni aina gani ya interest aliyo nayo? na kwa manufaa ya nani? Maana hisije ikawa nae anataka kutumia hiyo chance kupata justification na connections za kuja kuzidi kulididimiza taifa letu. Pengine ningeomba kabla ya kukubali huo usamaria wema wake, muulize interest zake ni zipi?

Pili kuhusu huyo dada, ni kipenzi cha watanzania? Watanzania gani? Mbona watanzania hawamfahamu?

Otherwise, all the best in your plans, but watch out for those vampires.
 
Huyu hapa.

Lisa M Rockefeller

I love Africa, and my heart is always in Tanzania. I love People of Mbeya, and get sickened to hear of their suffering. People of Tanzania may need to borrow the carriculum from Egypt and Tunisia to rid the country of Kikwete and the Corrupt Makamba plague. Mungu ulinde Tanzania na Bariki Wote
 
[h=2]DICOTA BOARD OF TRUSTEES[/h] Dr. Lennard M. Tenende
Mr. Abdul Majid
Mr. Frederick Mjema
Mr. Iddy Mtango
Dr. Crispin Semakula
[h=2]DICOTA OFFICERS[/h] Dr. Ndaga Mwakabuta – President
Dr. Lyungai Mbilinyi – Secretary
Mr. Joel Mburu – Dep. Secretary
Ms. Emma Kasiga – Treas
.....
........
.........
.... Hakuna mbeba maboksi hapo.

You said it !
Hawawezi kujua Wa TZ wana pitia adha za namna gani ndani ya nchi yao!
 
Huyu hapa.

Lisa M Rockefeller

I love Africa, and my heart is always in Tanzania. I love People of Mbeya, and get sickened to hear of their suffering. People of Tanzania may need to borrow the carriculum from Egypt and Tunisia to rid the country of Kikwete and the Corrupt Makamba plague. Mungu ulinde Tanzania na Bariki Wote

Kwahiyo kwa maneno yako hayo ndio anakua kipenzi cha watanzania?!?!?
 
Tuko pamoja wakuu wa kazi, hali ni mbaya sana kila kona ya tanzania. ninaunga mkono maandamano ya kumpinga huyu mdudu.
 
Nyie sio watanzania , nyie ni wamarekani , shughulikieni kwanza matatizo ya uchumi ya nchi yenu. Hamuoni nchi yenu inavyo didimia sasa

Hapana hawa ni Watanzania wamarekani hawana habari na Tanzania mimi nawaunga mkono it is about time Dunia ijue kwamba Ma CCM na JK si kitu ni hovyo
 
Jamani andamaneni... acheni hawa makada wa CCM waendelelee kupiga kelele.. their days are numbered
 
Kwahiyo kwa maneno yako hayo ndio anakua kipenzi cha watanzania?!?!?
Labda mkuu ungenieleza kosa langu ni lipi? wewe umesema humjui, mimi nimekurahisishia umjuwe sasa unaniuliza vipi mimi maswali hayo? kwani wewe huwezi kumuuliza yeye mwenyewe direct? kuna wakati busara kidogo inatosha.
 
Kwahiyo kwa maneno yako hayo ndio anakua kipenzi cha watanzania?!?!?

What's your point? Someone is trying to help us solve our problems, the least we can do is welcome them! You dont have to see the glass as half empty all the time.
 
Were together wakuu, tunaitaj uhuru wa pili, hakikisheni CNN, Aljazeera, BBC waone, kilaza mkubwa huyo.
Mkutano wa DICOTA ni lini?

Wewe kama hujui lini basi hata hujui wanini! unanchekesha.
 
Dr. Willibrord Slaa

Tunaye Rais asiyependa kusemea matatizo ya wananchi wake. Matatizo wanayoyapata Wananchi kwa sasa ni matunda ya uongozi mbovu usiojali maslahi ya wananchi wake.

Matatizo yepi? tuanze moja moja. Na pia ukubali kuwa njia ya pekee ya kutatua matatizo kwa muda mrefu ni kuwapa wananchi elimu na si kuwajaza mapesa mifukoni. Kikwete anatoa wanafunzi wengi kwenye nyanja zote sasa hivi zaidi ya awamu zote ukichanganya pamoja, Jee, huko sio kutatua matatizo?
 
Hapana hawa ni Watanzania wamarekani hawana habari na Tanzania mimi nawaunga mkono it is about time Dunia ijue kwamba Ma CCM na JK si kitu ni hovyo

Pumba hizo, Kuna Rais yupi Tanzania alyefanya mema zaidi ya Kikwete? nitajie mmoja na alichofanya ambacho Kikwete hajakipiku.
 
JK ni janga la kitaifa, hakubaliki.

Usiyemkubali ni wewe na Magwanda wenzako. Tena nna uhakika isiyokubalika ni dini yake lakini si utendaji wake, kwani mpaka sasa ameshawapita wote waliomtangulia kwa maendeleo ya kutolewa mfano.
 
Ufisadi wake ni kwa kuwa yeye Muislaam. Ufisadi wenu hata kodi mpaka mmelazimishwa kulipa, miaka yote hata kodi ya serikali mlikuwa mnaiba. Sasa nyinyi wachaga hata kodi basi hamtaki kulipa halafu mnajidai mnaipenda nchi yenu? mnanshangaza!
Umeanza kuleta siasa zako za chuki za kikabila?
 
Matatizo yepi? tuanze moja moja. Na pia ukubali kuwa njia ya pekee ya kutatua matatizo kwa muda mrefu ni kuwapa wananchi elimu na si kuwajaza mapesa mifukoni. Kikwete anatoa wanafunzi wengi kwenye nyanja zote sasa hivi zaidi ya awamu zote ukichanganya pamoja, Jee, huko sio kutatua matatizo?

Ugonjwa wa akili ni mbaya kuliko kitu chochote. Hujui hata matatizo ya umeme, mafuta, uwekezaji, uchakachuaji na ufisadi, nk
 
mh! kwa hakika naona uelewa wa watanzania unaanza kufunguka toka kwenye minyororo ya ujinga na ukandamizaji kuelekea kwenye ukombozi halisi wa kifikra na kiamendeleo. naamini hii muv sio bure yapo matunda na tena yanakuja soon
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom