Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.
Unasumbuliwa na moja au yote katika haya hapa:

When the brain is healthy it functions quickly and automatically. However, when problems occur, the results can be devastating. Some of the major types of disorders include:

  • neurogenetic diseases, eg. Huntington’s disease and muscular dystrophy;
  • developmental disorders, eg. cerebral palsy;
  • degenerative diseases, eg. Parkinson’s disease and Alzheimer’s disease;
  • metabolic diseases, eg. Gaucher’s disease;
  • cerebrovascular diseases, eg. stroke and vascular dementia;
  • trauma, eg. spinal cord and head injury;
  • convulsive disorders, eg. epilepsy;
  • infectious diseases, eg. AIDS dementia; and
  • brain tumors

Hukupewa ufahamu mkuu mbona liko wazi sana hilo, ila mbwembwe unaziweza kweli!!

Enhe, na huo utumbo woote uliouandika unahusu maandamano?!

Halafu, mbona msiandamane hapa hapa maana jamaa ana machale, hukawii kusikia kaghaili halafu hayo mabango sijui mtampelekea Obama...
 
Kama utakuwa umesoma shule za boardn neno puppet kwa wanafunzi sio geni kwako. Nahisi mpaka hapa JF wapo..haiwezekani m2 unatetea upande ambao hata mtoto wa primary anakuona mjinga!
 
Nimetoka kuongea na Rais wa Dicota Dr Ndaga Mwakabuta, kaniambia mkutano utafanyika Marriot Washington Dulles Airport Hotel.
Ni marufuku Mtanzania ambaye hana makaratasi overstay immigrate, kuhudhuria huo mkutano sababu US Immigration watakuwepo wakifanya Operation yao kupambana na wahamiaji halamu pamoja na kupambana na mtandao wa Illegal Wealth
 
Unajuwa Marekani ni saa ngapi sasa hivi?
 
Hajui huyo msaidie, umfahamishe na masaa ambayo mitandao ya simu marekani inaoparate maana yeye anadhani ni masaa 24 kama hapa bongo sedi wedi kantri...
 
Kama huamini nikupe website kadhaa Marekani na Ulaya uchaguwe event unayotaka kuhudhuria kama haujaona wamekutumia mwaliko kwenye p.o.box yako na email yako.
Huyu jamaa kweli debe tupu! ukitumiwa mwaliko ndio umeruhusiwa kuingia Marekani!
US embassy kitengo cha Viza wanakupa Viza lakini wanakuambia kabisa kupewa kwako Viza ya Marekani lakini sio kigezo cha kuingia Marekani, unaweza kufika airport na Viza yako ukarudishwa kwenu!
 
Nimetoka kuongea na Rais wa Dicota Dr Ndaga Mwakabuta, kaniambia mkutano utafanyika Marriot Washington Dulles Airport Hotel.
Ni marufuku Mtanzania ambaye hana makaratasi overstay immigrate, kuhudhuria huo mkutano sababu US Immigration watakuwepo wakifanya Operation yao kupambana na wahamiaji halamu pamoja na kupambana na mtandao wa Illegal Wealth

pamoja na kujaa upuuzi na ukilaza pia hata lugha hujui

JF Hate Preacher ....kama unavyojulikana humu
 
Unajuwa Marekani ni saa ngapi sasa hivi?
Mcharuko mwingine huyu ananiuliza eti Marekani ni saa ngapi saizi!
Anadhani Marekani kama Tanzania. Mbeya ikiwa saa mbili usiku na Dar es Salaam na Mwanza nako saa mbili usiku.
Hizi shule za kata kweli ni janga la taifa kama vile Umeme
 
Muandaaji wa haya Maandamano bwana Mallya, anasema Maandamano yao yataishia STATE DEPARTEMENT, ni wapi na wanausika na nini ndani ya Marekani kwa faida ya Watanzania tujuze STATE DEPARTEMENT
 
pamoja na kujaa upuuzi na ukilaza pia hata lugha hujui
<font size="3"JF Hate Preacher/font ....kama unavyojulikana humu
Giving advice but no one listens
 
Mcharuko mwingine huyu ananiuliza eti Marekani ni saa ngapi saizi!
Anadhani Marekani kama Tanzania. Mbeya ikiwa saa mbili usiku na Dar es Salaam na Mwanza nako saa mbili usiku.
Hizi shule za kata kweli ni janga la taifa kama vile Umeme
Unapojipanga kudanganya ni lazima ujuwe unadeal na watu wa aina tofauti, swali langu ni rahisi sana, unajuwa muda huo uliosema umetoka kuongea nahuyo kiongozi wa Dicota ni saa ngapi kwa saa za Marekani? kuna ugumu gani hapo kunijibu kwamba ni saa fulani!
Na shule za kata unazoongelea ni janga la ccm wenzako kama wewe, mimi nimesoma shule za serikali wakati huo Tanzania ilikuwa na uongozi unaojuwa nini maana ya Elimu.

Sasa unapozungumzia shule za kata nakushangaa sana mimi sio wa umri wako ambae umepitia shule zama za Benjamini Mkapa + Kikwete, ndio maana huna nidhamu unadhani kila mtu ambae yupo humu kwenye forum unadhani amezaliwa miaka ya 80s na 90s kama wewe.
Angalizo ninalokupa sisi wengine twaweza kuwa ni baba zako ila kwa utukutu wako uoni mbali.
 
BIG up Fighters, Mungu awatangulie, for the mission to be accomplished successfully!
 
Muandaaji wa haya Maandamano bwana Mallya, anasema Maandamano yao yataishia STATE DEPARTEMENT, ni wapi na wanausika na nini ndani ya Marekani kwa faida ya Watanzania tujuze STATE DEPARTEMENT

rubish

huu ndiyo ukilaza tunaousema

unahangaika tuu ..... haya maandamano yanakuuma nini ..... siku hizi mikusanyiko ya kula pilau hamna .... kuna thread moja jamaa wanasema wewe ni messenger wa radio uhuru yaani kazi yako ni kutumwa kwenda kuchukua na kupeleka habari za uzushi na chuki
 
hili nalo neno!
Kwa sisi tulio huku Bongo, tunapiga magoti na kuwaombea Kwa Mugngu ili awatie ujasiri wa kufanya hilo ambalo ni JEMA sana kwa ajili ya ukombozi wa wa-TZ wootee
 
Unapojipanga kudanganya ni lazima ujuwe unadeal na watu wa aina tofauti, swali langu ni rahisi sana, unajuwa muda huo uliosema umetoka kuongea nahuyo kiongozi wa Dicota ni saa ngapi kwa saa za Marekani? kuna ugumu gani hapo kunijibu kwamba ni saa fulani!
Na shule za kata unazoongelea ni janga la ccm wenzako kama wewe, mimi nimesoma shule za serikali wakati huo Tanzania ilikuwa na uongozi unaojuwa nini maana ya Elimu.
Sasa unapozungumzia shule za kata nakushangaa sana mimi sio wa umri wako ambae umepitia shule zama za Benjamini Mkapa + Kikwete, ndio maana huna nidhamu unadhani kila mtu ambae yupo humu kwenye forum unadhani amezaliwa miaka ya 80s na 90s kama wewe.
Angalizo ninalokupa sisi wengine twaweza kuwa ni baba zako ila kwa utukutu wako uoni mbali.
Teh teh teh! Nimecheka mpaka machozi yamenitoka eti mimi nimezaliwa mwaka 80!
Wakati mwaka 1980 ndio napata kijana wa kwanza, kweli Ngo'mbe hawawezi kwisha ata wachinjwe vipi, Kijana unaweza kuwa ujui mimi nimesoma chuo na mzazi wako wa kike!
 
Nimetoka kuongea na Rais wa Dicota Dr Ndaga Mwakabuta, kaniambia mkutano utafanyika Marriot Washington Dulles Airport Hotel.
Ni marufuku Mtanzania ambaye hana makaratasi overstay immigrate, kuhudhuria huo mkutano sababu US Immigration watakuwepo wakifanya Operation yao kupambana na wahamiaji halamu pamoja na kupambana na mtandao wa Illegal Wealth
Acha uwongo.
Nimehudhuria mikutano yote ya DICOTA na hatukulazimika kuwa na pasipoti au makaratasi ya immigration. Unachotakiwa ni kujiandikisha tu. Huu mkutano hauhusu watu wa Immigration hata kidogo. Acha uwongo.
 
Teh teh teh! Nimecheka mpaka machozi yamenitoka eti mimi nimezaliwa mwaka 80!
Wakati mwaka 1980 ndio napata kijana wa kwanza, kweli Ngo'mbe hawawezi kwisha ata wachinjwe vipi, Kijana unaweza kuwa ujui mimi nimesoma chuo na mzazi wako wa kike!
Muda ulikuwa unaongea na Kiongozi wa DICOTA ni saa ngapi kwa saa za Marekani? kuna shida gani kwenye swali hili? kumbuka ukiwa muongo na usiwe msahaulifu.
 
Tumemtumia Yule Dada Kipenzi cha Watanzania Lisa Rockerfeller kuwa Mzungumzaji mkuu. tunasubiria majibu toka kwake

Huyo "Lisa Rockerfeller" wako feki can kiss JK's dumb a.ss. Wewe ni Mwongo! Mwongo! Mwongo! Hii thread nzima ni feki through and through!! Huna aibu hata kidogo???
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom