FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,776
WEWE WASEMA. Wewe ndie mdini manake mtu akiongelea ufisadi basi unatia karata ya dini. JK ni fisadi, haijalishi awe mkristu ama muislam fisadi ni fisadi tu. Hata swaum yake anafunga bure tuu
Ufisadi wake ni kwa kuwa yeye Muislaam. Ufisadi wenu hata kodi mpaka mmelazimishwa kulipa, miaka yote hata kodi ya serikali mlikuwa mnaiba. Sasa nyinyi wachaga hata kodi basi hamtaki kulipa halafu mnajidai mnaipenda nchi yenu? mnanshangaza!